Hukumu yako ambayo nitaiweka hapa imenikumbusha bold Judges wachache ambao Tanzania imewahi kuwa nao kama Jaji Lugakingita, Mwalusanya, Katiti, Mlay, Kalegeya na wengine wachache ambao sijawataja.
Ukisoma Judgement yako na wenzako,unaona high reasoning, philosophy and psychology employed to...