hotuba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hotuba ya Mama Samia Inatoa Mwelekeo wa Tanzania Mpya

    Hotuba ya mama inatoa uelekeo wa Tanzania mpya. Ameongea mambo mengi lakini nitatoa maoni kwenye manne; 1. KODI Mama hataki matumizi ya nguvu kwenye kodi. Anajua wafanyabiashara wanatishwa kupewa kesi za uhujumu uchumi ili kulipa kodi. Huu ndio ulikua mchezo wa TRA kwenye utawala wa...
  2. Kwa hotuba hii ya rais Samia, hakika inatibu msongo wa mawazo

    HOTUBA YA SAA 1 NA DAKIKA 16 YA MHE RAIS NI TIBA YA MSONGO WA MAWAZO. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo hotuba ya Mh Rais inaendelea kujenga matumaini mapya katika Taifa letu. Ni hotuba nzito ambayo inajiegemeza kwenye misingi ya utawala bora na yenye kuleta mawanda mapya ya fikira juu ya nguvu...
  3. Baada ya miaka 6 ndio nimeanza kusikiliza hotuba ya Rais tena

    To be honest mimi niliacha kabisa kuangalia hotuba za Rais aliyepita baada ya kuona kwamba mh alikuwa anatukuna na kufokea watu km kawazaa yeye, maneno mengine ni kwenye nyimbo za mioasho lakini utayakuta kwenye hotuba yake, na jamaa alipenda mno kudharau watangulizi wake as if yeye ameleta...
  4. "Hats Off" Rais Samia Suluhu hii ni moja ya Hotuba za kuwekwa kwenye rekodi

    Wanajukwaa habari zenu, Ni siku nyingine baada ya mapumziko marefu ya Pasaka, kama tunavyofahamu leo kulikuwa na zoezi la kuapishwa Makatibu na Manaibu Katibu wa wizara mbali mbali, pamoja na wakuu wa mashirika na taasisi mbalimbali. Baada ya zoezi la uapisho zilifuata salamu kutoka kwa Waziri...
  5. Dkt. Mwigulu alizidisha sana nidhamu kwenye hotuba ya Rais

    Yani Mama Samia Rais wa jamhuri ya muungano alipokuwa akihutubia waziri mpya wa fedha na mipango Mwigulu Nchemba mara kwa mara alikuwa akisimama na kuinamisha kichwa na kukaa. Hata wajapani kwa nidhamu hii hawana. Jamaa alizidisha sana. Mara moja tu yatosha. Nidhamu ya uwoga.
  6. B

    Tundu Lissu mubashara VOA

    Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa. Karibu tumsikilize , nilitamana sana mahojiano Kama haya yangekuwa yanafanywa na televisheni na media zetu kama ilivyokuwa enzi ya JK lakini...
  7. Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  8. N

    Ni Rais gani mwingine aliyekuwa kwenye hotuba zake anawaambia wahutubiwa watamkumbuka?

    Hotuba nyingi za JPM alikuwa anapenda sana kutuambia sisi wanyonge kuwa tutamkumbuka! Hakuwa akisema tutakumbuka aliyofanya yeye mazuri. Ni sawa na kawaida kwa mfano Mwl anapowafundisha wanafunzi kusema mtakumbuka niliyowafundisha lakini hasemi kuwa mtamkumbuka yeye kama yeye. Nimefuatilia...
  9. J

    BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

    Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri. Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir. Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
  10. M

    Ni matumaini yangu Waziri Kabudi utakuwa umejifunza jinsi ya kutoa Hotuba fupi na yenye Mambo yote Muhimu kama aliyoitoa Rais Mwinyi wa Zanzibar

    Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi. Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
  11. Rais Samia Suluhu ametoa moja ya hotuba bora sana, nina matumaini ataziba nyufa nyingi za utawala uliopita

    Binafsi nilikuwa na mashaka na namna atavolimiliki jukwaa mbele ya viongozi wabobezi na malegandary wa siasa za kusini mwa Afrika. Ila ukweli kabisa nimeridhika, kwa hotuba ya leo nampa maksi 97% hizo maksi 3% nilizomnyima ni makosa madogo madogo ambayo nadhani yanachangiwa na ugeni na...
  12. Rais Uhuru asitisha hotuba kwenye maombolezo ya marehemu Magufuli ili kuheshimu adhana ya msikiti uliokua karibu

    Nimeipenda hii rais, muhimu sana kuheshimu dini licha ya yote....
  13. Uchaguzi 2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  14. J

    Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  15. Ni kituko kwamba Rais Biden hataki kuulizwa maswali. Je, hawezi kujibu kama Marais waliopita?

    Mzee Biden amekuwa maarufu kwa hii tabia yake mpya ya kuchomoka nduki akimaliza hotuba, Hataki kuulizwa maswali kabisa. Akimaliza kusoma hotuba yake kwenye telepromter, huwa anaondoka bila kupokea maswali, huenda hii ni kwa sababu majibu ya maswali hayahitaji teleprompter bali kichwa. Kama...
  16. Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

    Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe. Rais Magufuli amenukuliwa akisema...
  17. Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

    Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka. Ni vibaya kwa rais kutoonesha imani na chanjo...
  18. Video: Hotuba ya Sugu kwenye msiba wa Mwabulanga yawaacha wana CCM wakijiinamia kwa aibu

    Huyu mtu hajawahi kumung'unya maneno. Hiki kilichotokea mbeya leo ni salamu tosha kwa CCM kwamba Sugu ni Rais wa mioyo ya wana Mbeya, pole sana Tulia haya yanatokea mbele ya macho yako chadema hua tunachana ukweli tu no kupepesa macho
  19. Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania - Jan 2021

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA (T) Mhe. Freeman Mbowe kwa Taifa na Watanzania, mwelekeo wa 2021.
  20. U

    Show ya Diamond Platnumz yajaza watu 100,000 Sudan

    Hakika huyu kiumbe kashindikana. Hii ni zaidi ya ile ya kigoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…