huanza

Huanza District is one of thirty-two districts of the province Huarochirí in Peru.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

    Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
  2. Zitto: Mbwa wakitaka kufa huanza kukosa uwezo wa kunusa

    Ni baada ya lema kusema kuwa CCM inafanya mpango na ACT WAZALENDO ili kukifanya kiwa chama kikuu cha upinzani USSR
  3. Tetesi huanza na minong'ono

    Tetesi huanza na minong'ono.. Hiyo minong'ono ikikoma huwa tetesi na tetesi zikikoma huwa breaking news. Dunia ya sasa iko uchi kutokana na maendeleo makubwa ya teknolojia. Dunia haina siri tena! Unafanya jambo gizani. Tena giza totoro kabisa lakini unakuja kushangaa jambo hilo linakuja kuwekwa...
  4. Baadhi ya matajiri huanza mambo za kishirikina kwa lengo la kujilinda

    Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na kuibiwa muda wote hivyo wanashawishika kwenda kwa ajili ya ulinzi na huko ndipo wanapokutana na...
  5. Kila mabadiliko mazuri huanza kama kuanguka kwa domino

    Maana yake ni kwamba ili uwe na mafanikio makubwa sana lazima uanze na uhodari kiasi na uwe nao kwa muda . Huenda watu hupokea vitu fulani kwa ubaya ndio maana vinawatesa. Nilitamani sana kujua kwanini Hayati John Magufuri alipenda sana kuwakumbuka wanyonge. Ila jibu nikalipata ni...
  6. S

    Timu bora huanza kujichuja kuanzia hatua ya Robo Fainali

    Huu ndio ukweli kwani humu katika makundi na kufuzu kuingia hatua ya makundi, huwa kuna timu dhaifu sana kutegemea na ligi yao na pia kwa kanuni za siku hiz,i wanaoshiriki sio wote ni mabingwa katika ligi zao bali ni utaratibu tu wa siku hizi unawabeba tofauti na zamani. Hivyo, kuanzia hatua ya...
  7. Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  8. Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
  9. Wanaume wengi wakifikia 40+ huanza Kupiga Moko tu

    Ndio maumbile Yao story na mashost saloon utasikia akipiz tu kule. Analala. Utasikia yaani ana 48 akifikisha 50 basi tena nitakuwa Sina mume mwenzenu
  10. Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  11. Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

    Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
  12. Kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya muda gani kama hajalalia mayai?

    Habari wanajamvi, Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
  13. Mtoto wa Yoweri Museveni kuwa Rais huko Uganda? Mvua huanza na mawingu

    Hello Banzukulu, I salute you in the greatest spirit of news alert for transition and dispensesion ni regional politics. Taarifa za kustaafu ama kuomba ruhusa ama kibali cha kustaafu utumishi wa jeshi la Uganda kwa mtoto wa Rais Museveni wa Uganda, ndugu Lt. Gen Muhoozi, si ajabu si mshituko...
  14. SoC01 Elimu ni silaha muhimu, lakini Maisha huanza kwa kuthubutu

    Habari wanaJF, Mimi ni kijana niliyehitimu shahada ya bsc in math and ICT kutoka chuo kikuu Cha Mzumbe Morogoro mwaka 2018. Kipindi nipo chuo mtazamo wangu nilikuwa nawaza nisome nimalize chuo then niajiriwe, kwakweli nilijitahd sana kusoma kwa bidii na namshukuru sana Mungu nilifanikiwa...
  15. Demokrasia ya unapoishi (Local Democracy) huanzia mtaani, kijijini mjini, wilayani hadi mijini kufikia Demokrasia kamili

    Pamoja na mambo mengine yote siasa ni majadiliano, au mgogoro wa hoja baina ya watu, vyama katika kutafuta kutwa madaraka au mamlaka. Mtazamo wa mwanafilosofia aitwae Aristotle kuhusu siasa anamfananisha mwanasiasa na fundi kwamba mwanasiasa ni mtu alie na elimu wezeshi (practical knowledge) na...
  16. Sababu ya kusema neno ‘Hellow’ kwenye simu kabla ya maongezi

    Habari zenu wakuu humu ndani natumai nyie ni wazima wa afya kabisa. Leo nitashare nanyi hiki: Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini ukiwa unaongea na simu iwe umepiga au kupigiwa, kabla ya maongezi Neno la kwanza kuongea ni Hellow? Leo nakujuza sababu, wengine watasema Neno hilo humaanisha Habari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…