idadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idadi ya Watalii wanaoingia Zanzibar yaporomoka

    Idadi ya watalii walioingia Zanzibar imeshuka kwa asilimia 4.9 kwa mwezi Februari 2023 kutoka wageni 68,813 mwezi Januari 2023 hadi wageni 65,430 Febuari 2023, huku Bara la Ulaya likiongoza kwa uingizaji wa wageni hao. AZAM TV
  2. Miaka 30 ijayo Tanzania itakuwa na idadi kubwa ya wazee masikini

    Godbless lema ametoa kauli ya kuhusu boda boda na baadhi ya makundi ila watu wengi wamemponda. Savings Bodaboada wengi hawana saving swali la kujiuliza wakiwa wazee nani atakayewatunza, sector rasmi wanalazimishwa kuweka saving na inawasaidia wakiwa wazee kwenye kuwatunza. Mimi nasimama na...
  3. Nick Cannon asema Mungu ndiye ataamua idadi ya Watoto atakaokuwa nao

    Mtangazaji #NickCannon akifanya mahojiano na kipindi cha #EntertainmentTonight, amesema suala la idadi ya Watoto halimhusu yeye na hivyo hawezi kusema kama amefikia mwisho wa kupata wengine. Kuhusu malengo ya Watoto wake hapo baadaye, Rapa na Mwigizaji huyo amesema wakikua wataamua wenyewe kitu...
  4. Tunafanya kazi saa moja hadi saa saa 12, Kuna watu wanataka wagome

    Standard working hours
  5. Mchengerwa, ingia katika historia kwa kuongeza idadi ya visiwa vitakavyokuwa chini ya hifadhi ya taifa ya Saanane, ndani ya ziwa Victoria

    Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia mbele, nashauri iongeze idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini yake, hii itakuwa ni kwa kuangalia...
  6. Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

    UPDATE, FEBRUARY 13: VIFO VYA #TURKEYEARTHQUAKE VYAFIKIA 36,257 Vikosi vinaendelea kuokoa walionusurika kwenye Vifusi vya majengo yaliyoangushwa na Matetemeko mawili ya ukubwa wa Richa 7.8 na 7.6 wakiwemo Watoto 2 wa miaka 10 na 13 waliotolewa kwenye Kifusi baada ya kusubiri kwa saa 183. Hadi...
  7. Siku ya kuzaliwa Rais wetu leo 27 Januari imeonesha idadi ya wanafiki katika siasa

    Naangalia mitandao na hasa Twitter imejaa salamu za kheri ya siku ya kuzaliwa rais Samia. Hadi Wakenya wanatuma salamu za hongera na pongezi. Najiuliza ni kwa nini kiasi hiki hadi ndani ya serikali? Wana CCM wanashindana kutoa salamu. Huu ni unafiki ili waonekane. Karibuni ni hawa hawa...
  8. I

    Nchi ambazo idadi ya watu inatarajiwa kupungua

    Nchi nyingi -- haswa za Ulaya na Asia -- zitaona idadi ya watu ikipungua katika miongo ijayo, ikiwa utabiri wa 2100 uliochapishwa na UN Julai iliyopita utathibitishwa. Katika maeneo mengine, idadi ya watu tayari inapungua. Idadi ya watu tayari imepungua Nchi nane zenye wakazi zaidi ya milioni...
  9. Watalaamu watuambie, Mahitaji ya Umeme yanaendana na idadi ya watu?

    Maharage Chande bosi wa Tanesco anasema kuwa Kwa kuwa idadi ya watanzania ni milioni 60 basi Mahitaji ya Umeme ni megawatt 60000. Kweli jamani Megawatt 60000 anazijua huyu ama anabwabwaja tu. Mkurugenzi mtendaji wa shirika la umeme ndugu Maharage Chande amesema kuwa watanzania tutaendelea...
  10. Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  11. Idadi ya wawekezaji nchi yazidi kupaa

    Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka. Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
  12. C

    Idadi ya 'single parents' itaongezeka zaidi

    Kwa mtazamo wangu, ninaona miaka 10 ijayo idadi ya single parents itaongezeka mara dufu ukilinganisha na kipindi kilichopita kuanzia miaka ya 90 kurudi nyuma. Kwa miaka hiyo, wanandoa walikuwa wanapatana kuishi pamoja hasa baada ya kupendana. Dhana kuu ya umoja wa ndoa ilikuwa ni kuishi bila...
  13. Nitumie Plexi, showbox, Febbox au huduma ipi yenye uhakika na idadi kubwa ya movies / series ?

    Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
  14. Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

    Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa" ======== LUGANSK, December 2 Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by...
  15. S

    Working hours na idadi ya kuhudumia wagonjwa kwa siku ipunguzwe

    Hawa watu wa kada za afya wanafanya kazi muda mrefu mno 24/7 na wanahudumia wagonjwa wengi sana ndio maana wanachoka sana mwisho wa siku huduma inakuwa chini ya kiwango Hivyo serikali wawapunguzie idadi ya kuhudumia wagonjwa, daktari mmoja ahudumie wagonjwa wasiozidi 20 kwa siku then asign out...
  16. L

    Maonesho ya Biashara ya China CIIE yaongeza idadi ya wateja wa makampuni ya Afrika

    Maonesho ya kimataifa ya Uagizaji Bidhaa nchini China (CIIE) ya mwaka 2022, yamemalizika hivi karibuni huko Shanghai. Maonesho haya yameonekana kuongeza chachu kwenye uhusiano wa kiuchumi na kuufanya uendelee mbele zaidi, baada ya mikataba iliyosainiwa na makampuni yaliyoshiriki kwenye maonesho...
  17. Urusi imepoteza wanajeshi 100,000. Hiyo ni sawa na ukijumuisha JWTZ, KDF, UPDF, RDF na uche

    Mpaka sasa Urusi imepoteza idadi ya wanajeshi sawia na active personel wote wa EAC na uchee.....na wameambulia asilimia 15% ya Ukraine ambayo na yenyewe inawatokea puani wanaikimbia... Russia's announced retreat from Kherson, a regional capital in southern Ukraine that it seized early in the...
  18. Quran na idadi ya watu ulimwenguni

    Nimepitia Quran tafsiri, nimeshangaa Muhammad karne ya tano huko amewezaje kujua kuhusu wanawake kuwa wengi ulimwenguni kuliko wanaume " بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ مِنْ نَفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ...
  19. NABI bado yupo sana. Ajabu wanaotaka Nabi aachwe Yanga ni Wanasimba kuliko Idadi Kubwa ya Wanayanga

    Simba wanamchukia sana Nabi. Wanamchukia mpaka unawaona usoni kabisa ukitaja jina la Nabi, Ukitana jina la Mayele, Ukitaja jina la Aziz na Ukitaja jina la Feisal. Wanaacha kula, wanaacha kunya wanaondoka hivyo hivyo. Nabi hawezi fukuzwa. Malengo ya team kwa asilimia 99 ametimiza. Asifupoteze...
  20. Ripoti: Tanzania yaongoza kwa idadi ya Nyati Afrika

    Wanyamapori wa aina 46 tofauti wameongezeka katika mfumo wa ikolojia ya Ruaha – Rungwa na Katavi – Rukwa baada ya kudhibitiwa kwa matukio ya ujangili. Takwimu hizo zimebainishwa katika ripoti ya sensa ya wanyamapori ambayo imefanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (Tawiri) kuanzia Septemba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…