Baada ya nyimbo na tambo zilizotolewa tokea siku ya upangaji wa droo hatimaye first leg imekamilika huku waliokuwa wanapigwa vijembe kwanzia siku ya kwanza ya upangwaji wa droo ya robo fainali wakijipapatua kwa kikosi chao hafifu kilichokosekana wazee wa kazi watatu ( Pacome, Yao na injinia...