Wakuu inakuaje,,stay safe,,stay home tujilinde na Corona inaua...tufate maagizo yote ya serikali.ahsante
Nirudi kwenye mada,,Jana siku ya ijumaa mimi na mshikaji wangu tulitoka kuswali mida ya saa nane,,tupo njiani tukaona acha twende buguruni malapa kwa msela wetu tumcheki...