Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo, tarehe 02 Novemba, 2026, atawaapisha viongozi wafuatao aliowateua hivi karibuni:
1. Bi. Angeline Lubala Mabula kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora;
2. Bw. Dunford George Mpelumbe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za...