ikulu ya marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania TBS mko wapi? Trump na Ikulu ya Marekani wamesema Mirija ni hatari kuliko hata plastiki!

    Ikulu ya Marekani imekiri kuwa mirija ya kunywea kinywaji ni hatari kuliko hata chupa za plastiki. Ikumbukwe chupa hizo ni hatari zaidi kwa afya na zinasababisha kansa. chupa za Maji na vinywaji za Dar es
  2. JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vya CNN, MSNBC, na Politico vyapigwa marufuku kuingia Ikulu ya Marekani,

    Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza kuwa anapiga marufuku mara moja vyombo vya habari vya CNN, MSNBC, na Politico kuingia Ikulu ya Marekani, kutokana na kile alichokiita kuripoti habari za uongo bila kukoma. Pia alisema kuwa vyombo vingine vya habari vinatarajiwa kuzuiwa kuingia huko hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

    Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump. Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa...
  4. JamiiForums Tanzania Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

    Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani. Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua...
  5. JamiiForums Tanzania Superbug natarajia kwenda kutembelea fensi ya ikulu ya Marekani nitaleta picha humu

    Ni kawaida raia wa marekani na hata wageni kutembelea ikulu ya marekani aidha pale nje kwenye fensi au ndani kabisa Kwa kibali maalumu unachoomba mapema ili maombi yachakatwe. Binafsi kibali changu hakitahusika na mchakato huo ila Mimi nitapekuliwa kidogo pale viunga vya white house.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Trump amtoa hadharani mtuhumiwa wa kupiga risasi ikulu ya Marekani

    Anaitwa Cole Allen ni Mwalimu na Dini yake MKIRISTO . 10 minutes ago White House dinner shooting suspect was California teacher - CBS News The man who opened fire outside the White House Correspondents' Dinner in Washington, where US President Donald Trump was attending, was identified as a...
  7. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mdau bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani. Je, ni halisi?

    Mdau wa JamiiCheck.com bainisha dosari zinazoonekana kwenye picha hii inayowaonesha baadhi ya viongozi wa Ulaya wakiwa Ikulu ya Marekani akiwemo Emmanuel Macron na Ursula von der Leyen wakiwa wamekaa kwenye korido ya White house kwa unyenyekevu wakimsubiri Donald Trump, iwapo ni halisi la...
  8. JamiiForums Tanzania Matukio & maonevu 8 yanayofanana ya donald Trump na Lissu yaliyosababisha Trump kuweka historia adimu ya kurudi ikulu ya Marekani. Lissu ataweza?

    Wanajf, Mwaka juzi na mwaka Jana nilifuatilia uchaguzi mkuu wa Marekani wa 2024 kwa miaka miwili mfululizo. Na sasa nafuatilia uchaguzi wa hapa kwetu Tanzania. Nimegundua kuwa Kuna matukio 8 yanayofanana kwenye Kesi na Figisu za Trump na Lissu. Mambo hayo yalisababisha Trump kuweka...
  9. JamiiForums Tanzania Elon Musk aondoka na kujitenganisha na Serikali ya Donald Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake. Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa. Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ellon Musk aondoka ikulu ya Marekani akiwa mnyonge baada ya kutapeliwa na raisi Trump

    Raisi wa sasa wa Marekani ni mmoja ya watu hodari katika kutapeli ili kufanikisha mipango yake.Karibuni hivi baada ya Israel kushindwa kumuokoa mateka mwenye uraia wa Marekani raisi Trump aliwatapeli Hamas na kumpata raia huyo kirahisi kabisa.Tabia zake hizi ziliwanasa warembo wengi wa Marekani...
  11. JamiiForums Tanzania Pasaka ni sikukuu kubwa kuliko Krismasi - Ikulu ya Marekani yaandaa sherehe nzito!

    Wiki hii kote ulimwenguni Wakristo watasherehekea Pasaka. Pasaka ni sikukuu kubwa kwa Wakristo kwa sababu ni siku ya kuadhimisha tukio muhimu sana katika imani ya Kikristo — kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu. Bila Pasaka, hakuna Ukristo. Ndiyo sababu Wakristo huiona Pasaka kuwa ni siku...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni watu wa aina gani wanaofanya kazi Ikulu ya Marekani au Urusi??

    Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa?? Kwa maana wale jamaa, habari za dunia nzima wanazo, brands zote kubwa duniani ni zao (Google, Microsoft, Meta)...
  13. JamiiForums Tanzania Secret Service wampiga Risasi Mtu mwenye silaha nje ya Ikulu ya White House

    Trump awe makini coz watu wana hamu naye! Safari hii wamemuwahi jamaa kabla hajafanya yake! Huduma ya Ulinzi wa Rais wa Marekani (Secret Service) ilimpiga risasi mwanamume mmoja nje ya Ikulu ya White House mapema Jumapili baada ya kile kilichoelezwa kuwa "makabiliano yenye silaha," kwa mujibu...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wamarekani washangazwa n kitendo cha Elon Musk kumpeleka mtoto wake ndani ya Oval House kukutana na Donald Trump

    Wadau hamjamboni nyote? Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office. Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae katika kikao chake na Donald Trump, jambo ambalo limeleta hisia tofauti kwa wachambuzi mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…