Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.

Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).

Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.

Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
20260728_191333.jpg


20260728_191340.jpg


20260728_191344.jpg
 
Vikao haviishi tu.
Mjadiliwa yule yule kwa zaidi ya miezi 18.

Nuclear Reactors n Plants kwisha..... kwa Operesheni sangara zile Wahuni wanafukuta mzigo na hawaogopi mtu.
Huyo hapo anapaa hewani kilomita za kutosha anaenda kutembea, yule kiongozo mkuu WA Iran anaogopa hata kutoa pua yake nje ndani ya Iran🤣🤣

Hivi unafikiri Kwa Nini kiongozi mkuu WA Iran ni muoga sana?
 
Huyo hapo anapaa hewani kilomita za kutosha anaenda kutembea, yule kiongozo mkuu WA Iran anaogopa hata kutoa pua yake nje ndani ya Iran🤣🤣

Hivi unafikiri Kwa Nini kiongozi mkuu WA Iran ni muoga sana?
Uoga angeshaachia nchi Regime ingekula kiberiti mngepandikiza Takataka zenu kama mlivyopanga kupeleka Takataka Fresh ili kuwinda target zenu.

Huo uoga unauona wewe.
 
Jibu swali, kwanini jabali la vita haliwezi kupigana lenyewe mpaka likaombe kwanza wanaume wenzake msaada?

Usikimbie hili swali
Unataka apigane mwenyewe vipi ili uamini anapigana mwenyewe? 🤣🤣

Huyo hapo anakula Bata marekani, yule kiongozi wenu miezi minne sasa anajificha mapangoni
 
Mungu ibariki Israel
Mwanzo 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
² nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
³ nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.

Abramu alimzaa Isaka, Isaka akamzaa Yakobo. Yakobo ndiye Israeli aliyezaa kabila 12. (taifa la Israeli)
 
Uoga angeshaachia nchi Regime ingekula kiberiti mngepandikiza Takataka zenu kama mlivyopanga kupeleka Takataka Fresh ili kuwinda target zenu.

Huo uoga unauona wewe.
Kama sio uoga Kwa Nini hajitokezi hadharani? Kwa Nini kaogopa hata kumzika baba yake? Kama sio uoga ni Nini?

Israel inatisha eeh?🤣🤣

Siku akijitokeza tu hadharani Israel wanamla kichwa, subiri utakuja kuniambia
 
Back
Top Bottom