Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

Netanyahu Na Trump Wakiwa Ndani ya Ikulu Ya Marekani

Waajemi wanatisha sana, hawa jamaa wana ustaarab wa hali ya juu sana.... Inawezekana ndio wateule wa mwenyezi Mungu na Na tukawa tumeshindwa kutambua. Haiwezekani mtu kabla hajakupiga anakupa taarifa siku ya leo nitapiga sebuleni kwako na anaopiga kweli.. Halafu hawana papara na unafiki , yeye anabutua maelezo ya kipigo mtatoa nyinyi. Long live Persians
 
Mungu anabariki wanao support ushoga? Huyo Netanyahu ana hamasisha mapenzi ya jinsia moja je Mungu anapenda? Amejaza baraza la mawaziri na mashoga?
View attachment 3638706
Ukitaka kuleta mambo hayo ya ushoga, mbona kiongozi mkuu wa Sasa WA Iran ni shoga
Screenshot_20260728-195703~2.png
 
Kama sio uoga Kwa Nini hajitokezi hadharani? Kwa Nini kaogopa hata kumzika baba yake? Kama sio uoga ni Nini?

Israel inatisha eeh?🤣🤣

Siku akijitokeza tu hadharani Israel wanamla kichwa, subiri utakuja kuniambia
"Bila mimi Iran ingeifutilia mbali Israel" na leo mko hapo kumjadili Muoga.
Unajiskiaje kueumbuliwa na muoga kiasi cha kuwafanya Taifa dume kufikia Break point katika jeshi lake hivyo kufkiri kulazimisha viajana kiume kuanzia miaka 18-24 kwenda front Ardhini.

Mnavuja damu.
 
Waajemi wanatisha sana, hawa jamaa wana ustaarab wa hali ya juu sana.... Inawezekana ndio wateule wa mwenyezi Mungu na Na tukawa tumeshindwa kutambua. Haiwezekani mtu kabla hajakupiga anakupa taarifa siku ya leo nitapiga sebuleni kwako na anaopiga kweli.. Halafu hawana papara na unafiki , yeye anabutua maelezo ya kipigo mtatoa nyinyi. Long live Persians
Hawana huo uwezo, wangekua na uwezo huo wangeweza kumlinda kiongozi wao mkuu, lakini anaishia kujificha mapangoni, miezi minne sasa anaogooa hata kujitokeza hadharani ndani ya nchi yake
 
Mwanzo 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;
² nami nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka;
³ nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa.
Abraham alikua na watoto wengi na sio wote ni waisrael yaani ukiachana tu na isaka alizaa watoto wengine watano.

Pia Ukisoma wagalatia 3:29 ipo very clear kuhusu warithi wa baraka za Abraham na sio necessarily mpaka uwe myahudi.

Ingekua hivyo basi hizo nchi za kiarabu ambazo miaka yote zinamlaani Israel zinsingekua na utajiri mkubwa wa mafuta na gesi. Na vice versa sisi waafrika tusingekua maskini maana kuna watu nawajua mpaka mashuka yao yana bendera ya Israel ila ni maskini wakutupwa.

Cc hearly
 
"Bila mimi Iran ingeifutilia mbali Israel" na leo mko hapo kumjadili Muoga.
Unajiskiaje kueumbuliwa na muoga kiasi cha kuwafanya Taifa dume kufikia Break point katika jeshi lake hivyo kufkiri kulazimisha viajana kiume kuanzia miaka 18-24 kwenda front Ardhini.

Mnavuja damu.
Marekani na Israel wanakutana Kila mara, Wana mengi ya kujadili sip Jana wale Leo

Wewe tuambie kwa nini kiongozi mkuu wa nchi anaogopa kujitokeza hadharani ndani ya nchi yake kwa miezi minne sasa?
 
Huyo hapo anapaa hewani kilomita za kutosha anaenda kutembea, yule kiongozo mkuu WA Iran anaogopa hata kutoa pua yake nje ndani ya Iran🤣🤣

Hivi unafikiri Kwa Nini kiongozi mkuu WA Iran ni muoga sana?
Kwanini unashida ya kumuona kiongozi mkuu wa Iran na si wa Msumbiji?

Simply kwakua Iran ndio mwanaume wenu,
Nyie si mna MOSSAD wameshindwa kuwaeleza yuko pango gani hadi leo hii?
 
Marekani na Israel wanakutana Kila mara, Wana mengi ya kujadili sip Jana wale Leo

Wewe tuambie kwa nini kiongozi mkuu wa nchi anaogopa kujitokeza hadharani ndani ya nchi yake kwa miezi minne sasa?
Kipindi unapiga kelele Jua tu CIA station ndani ya US embassy huko Riyadh imekula moto na muoga ndio alishasema hakuna kurudi nyuma.
 
Hawana huo uwezo, wangekua na uwezo huo wangeweza kumlinda kiongozi wao mkuu, lakini anaishia kujificha mapangoni, miezi minne sasa anaogooa hata kujitokeza hadharani ndani ya nchi yake
Si mlituambia Mossad inajua kila kitu sasa inashindwa vipi kujua alipo Ayatollah?

Kwenye vita strategic ambiguity ni muhimu, hata Netanyahu kipindi cha ile vita ya March alijificha hadi watu wakazusha amekufa sababu alikua haonekani popote kwani naye walikua hawawezi mlinda hadi ajifiche?

Wabongo kwa ujuaji bwana
 
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.

Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).

Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.

Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
View attachment 3638688

View attachment 3638689

View attachment 3638690
Hapa magaidi wajipange sana.
 
Ukitaka kuleta mambo hayo ya ushoga, mbona kiongozi mkuu wa Sasa WA Iran ni shoga
View attachment 3638708
Mojtaba ana mke na watoto kibao tu, lakini kisheria kabisa Iran hairuhusu ushoga. Ila Netanyahu anasuport ushoga na pia ameteua mawaziri kadhaa ambao ni mashoga na wasagaji sasa kibiblia Mungu si hataki ushoga

Ndio swali linakuja, je Mungu anabariki wanaosupport ushoga?

Hili ni specific question maana mmeingiza maandiko
 
Tangu lini bana we, eti station, we unadhani CIA Ina operate kama hawa matako wenu wa TISS?🤣
Unajichekesha wenzio wanaugulia huko.

Mweupe sana wewe.
Wamepasuliwa huko na hujui lolote ?.

We fatiliaga hao Uvccm huku sio level zako.
 
Kwanini unashida ya kumuona kiongozi mkuu wa Iran na si wa Msumbiji?

Simply kwakua Iran ndio mwanaume wenu,
Nyie si mna MOSSAD wameshindwa kuwaeleza yuko pango gani hadi leo hii?
Sina shida ya kumuona, wananchi wa Iran ndio Wana shida ya kumuona ndio wanaohoji kwa nini anaogopa hata nchi yake?

NB
Sisi wayahudi hatuna haja naye, ila siku akijitokeza hadharani Israel wanamla kichwa🤣🤣
 
Kipindi unapiga kelele Jua tu CIA station ndani ya US embassy huko Riyadh imekula moto na muoga ndio alishasema hakuna kurudi nyuma.
Story za alfu lela ulela🤣🤣

Anaongea hayo akiwa mapangoni, mwenzie huyo hapo anakula mwewe kwenda kula bata marekani🤣🤣
 
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.

Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).

Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.

Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
View attachment 3638688

View attachment 3638689

View attachment 3638690
Kikao cha Watu wabaya
 
Story za alfu lela ulela🤣🤣

Anaongea hayo akiwa mapangoni, mwenzie huyo hapo anakula mwewe kwenda kula bata marekani🤣🤣
Story hee kukufikieni mikiani huko lazima zipite wiki ndio unajua naloongea hapa sio story.

Eti Anakula bata ,mtu ana hofu ya kuwa Isolated uwanjani peke ake.
 
Unamuomba msaada kazika vifuatavyo:
Zaidi ya Dollar 37 Billion ndani ya siku 12 katika vita na unayemuita muoga.
Wanajeshi zaidi ya 450+ wamejeruhiwa na wana hali mbaya.
CIA station imewaka vyema kabisaa kwa KOMETA ya Mrusi.
Radar imekauka na moto vizuri sana.
Amebakiwa na Meli kama 4 hivi.
Hapo muoga katumia Cheap drones kuleta hasara.

Kiranja anavuja Damu, anavuja hasara (mapesa ) mwisho anavuja mipango inayobuma.
 
Jabali wa vita, nguli, mwamba Benjamin Netanyahu Bibi tayari kishatua ndani ya ikulu ya marekani, tayari kwa mazungumzo kabambe na Trump.

Netanyahu alisafiri Jana kwenda marekani kwa ajili ya kikao chake na trump. Kikao ambacho akitoka huko atakuja na operation endgame(jiandaeni maana huwa hatanii huyu mwamba).

Wakati huo huo kiongozi mkuu wa Iran wa sasa Ayatollah Mojtaba ameogopa kuonekana hata hadharani huko nchini kwake Iran, ni miezi minne imetia bila kuonekana kwa sababu ya hofu, anaishi mapangoni kama otango osale.

Israel inatisha, Netanyahu anatisha sana. Anapasua anga kwenda kokote atakapo wakati kiongozi mkuu wa Iran anaishi kwa kujificha mapangoni 🤣🤣

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
Khaibar
zitto junior
gTurn
Imeloa
Keyboard_Warrior
hearly
TAI DUME
HIMARS
dem boyz
100 others
MlimaSayuni
6 Pack
Lee Van free
Benoit
MakinikiA
mdogoee
Khanji kapoor
Nifah
Aleyn
Mwalimu wa tuisheni
Shytown
View attachment 3638688

View attachment 3638689

View attachment 3638690
Wakati Iran alishambulia Tela Aviv alikuwa kwenye shimo la panya
 
Back
Top Bottom