Issue hapa si kupinga Ushoga au kutambua Ushoga!! Mbona hata hapa kwetu Mashoga wapo tu hata kwenye familia yako mashoga wako wengi tu!!!Umeelewa tunachodebate hapa? Issue ni kwamba Iran inapinga ushoga kisheria kabisa ila Israel inatambua mapenzi ya jinsia moja. Na hata baraza la mawaziri wa kuna mashoga wameteuliwa.