Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.

Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.

Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.

Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.

Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni

20260718_154759.jpg
 
View attachment 3636243
Simba anaishia kujificha kwenye mashimo simba kashindwa angausha Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan hahaha we tulizana uone simba wenu anavyo tolewa roho safari hi
 
Hana lolote bunge limeshavunjwa na chama chake hakiwezi shinda tena oktoba so ni mateke ya mwisho ila ndio bye bye.

Kama ni mwanaume aje mwenyewe kwanini mpaka akaombe msaada kwa Trump? Umewahi ona Iran anaenda kulia lia kwa Putin au Xi waje kumsaidia vitani??

Yaani ni sawa na mdangaji aende kutafuta pesa kwa mibaba huko bar alafu akikuletea ule then umsifie kuwa ni tajiri!!!
 
Netanyahu anajificha? Sheikh umechanganyikiwa? Netanyahu Hadi Lebanon anaenda kila sehemu anazurua na hiyo jumanne atakua marekani. Unafikiri huyo ni yule anayeogopa Hadi kivuli, kashindwa hadi kumzika baba yake🤣🤣

Missile za Iran zilipita Israel kwenda Jordan?sheikh hapa umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mkiambiwa someni mnasema book Haram, ona unavyopata aibu hata geography ya darasa la nne huijui. Ina maana sheikh wangu hata atlas hujawahi kuishika?
Screenshot_20260724-224249~2.png
 
Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.

Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.

Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.

Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.

Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni

View attachment 3636243
Vita dhidi ya Iran ambayo iko tayari kushambulia hadi raia wasio na silaha haitakiwi ifanywe na marekani, inatakiwa umwachie Netanyahu ambaye ukiwa kichaa anakua kichaa kuliko wewe
 
Duh

Yaan jamaa unavyoelezea utazan move
Sio move, Israel huwa ni watu wa show show.

Pale Tehran ni kama sebuleni kwao, hapo kabla walimwambia khamenei kuwa wanajua anapolala anapojificha, muda ukifika watamfikia. Akafikiri utani, siku ilipofika wakamshindilia mabomu 35 ya tomahawk🤣

Walimwambia pia larijan aache mdomo maana muda wowote wanaweza kumfikia, hakuchukua hata siku 2 wakamla kichwa
 
Hana lolote bunge limeshavunjwa na chama chake hakiwezi shinda tena oktoba so ni mateke ya mwisho ila ndio bye bye.

Kama ni mwanaume aje mwenyewe kwanini mpaka akaombe msaada kwa Trump? Umewahi ona Iran anaenda kulia lia kwa Putin au Xi waje kumsaidia vitani??

Yaani ni sawa na mdangaji aende kutafuta pesa kwa mibaba huko bar alafu akikuletea ule then umsifie kuwa ni tajiri!!!
Msaada Gani? Anaenda marekani kwenye mazishi ya Lindsey graham, hivyo atapita kumsalimia rafiki yake Trump watajadili mawili matatu. Akitoka huko jiandaeni na operation endgame, msiseme hamjaambiwa🤣
 
Aje mwenyewe asilie lie kwa mabwana zake. Netanyahu mwisho wake umefika, we unamsifia hapa wakati wananchi wameapa kumng'oa oktoba. So anaenda kuaga rasmi
 
Vita dhidi ya Iran ambayo iko tayari kushambulia hadi raia wasio na silaha haitakiwi ifanywe na marekani, inatakiwa umwachie Netanyahu ambaye ukiwa kichaa anakua kichaa kuliko wewe
Amesema kabosa kuwa safari hii Israel haitashirikiana na marekani, maana marekani Wana tabia ya kuwazuia wasishambulie baadhi ya sehemu, waliwazuia pia wasiue viongozi Fulani. Netanyahu safari kasrma hilo halitakuwepo ni wao watavyoamua🤣🤣
 
The King,Peacemaker Himself Nyauuuuu
King na huku hana simple majority ya kurudi madarakani? You're delusional. Na hajawahi kuwa peacemaker ndio maana US imesema Netanyahu alikua anahujumu mazungumzo yao na Iran ili vita zisiishe.
 
Aje mwenyewe asilie lie kwa mabwana zake. Netanyahu mwisho wake umefika, we unamsifia hapa wakati wananchi wameapa kumng'oa oktoba. So anaenda kuaga rasmi
Toka lini akalia? Marekani ndio wamekua wakimzjia asifanye baadhi ya operation zake
Trump alimzuia asimuue khamenei. Hayo mambo safari hii kasema hayatakuwepo, ndio maana inaitea operation endgame.

Huu ujinga wa Trump kumzuia haupo tena, nawapa pole in advance🤣
Screenshot_20260723-221340.png
 
Amesema kabosa kuwa safari hii Israel haitashirikiana na marekani, maana marekani Wana tabia ya kuwazuia wasishambulie baadhi ya sehemu, waliwazuia pia wasiue viongozi Fulani. Netanyahu safari kasrma hilo halitakuwepo ni wao watavyoamua🤣🤣
Hana lolote, mbona alichimbwa biti na uturuki kuwa wasivamie Iran kutumia wakurdi na wakaufyata? Si angeenda kupigana na wanajeshi wake mwenyewe Iran kwanini atumie askari US na kurds?

Huyu ni muoga sana wa Iran ndio maana hawezi kuja mwenyewe kabisa
 
Back
Top Bottom