Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

Huyo mpaka aelewe ni lazima uwe na kiboko pembeni🤣😆

Comment yako ilisema kabisa kuwa matrekani walikua invited baadae kwenda kupiga nuclear sites, lakini yeye hakuelewa sijui hakusoma vizuri. Hawa watu inapaswa tuwasaidie sana, tusikate tamaa kuwaelewesha
Mimi niko makini sana sibahatishi. Vita imeanza tarehe 13 June 2025, na hapa nakuwekea taarifa ya US kuzuia makombora ya iran kwenda Israel sasa kivipi haijashiriki vita?
Screenshot_20260726_131614_Chrome.jpg
 
Wewe.jihesabie ni huna uelewa wa kutosha kwenye mambo haya.

Vita ya Israel dhidi ya Iran ya June 2025 ilianzishwa na Israel dhidi ya Iran bila ya kuishirikisha Marekani.

Marekani iliingia vitani mwishoni mwa vita, likiwa ni sharti la Israel kusitisha vita.

Israel ilipoanzisha vita, na kisha Trump kuanza kuombwa na EU amshauri Netanyahu kusitisha vita, Netanyahu akasema hatasitisha vita mpaka amalize kazi ya kuzuia Iran kufikia hatua ya kutengeza bomu la nuclear, ndipo Trump akamwambia Netanyahu kuwa USA itasaidia kulipua vituo vya nuclear vilivyosalulia, kama Netanyahu atakubali kusitisha vita, zoezi hilo likikamilika. Netanyahu akaridhia. Lakini vinginevyo hiyo vita ilikuwa inaenda zaidi ya siku 12.
Gazeti refu alafu UONGO tupu, vita imeanza Tarehe 13 June 2025 na siku hiyo hiyo US iliingia vitani kumsaidia Israel kwa kuintercept missiles zinazoelekezwa Israel. Sasa mimi na wewe nani hana uelewa?
Screenshot_20260726_131614_Chrome.jpg
 
Trump akamwambia Netanyahu kuwa USA itasaidia kulipua vituo vya nuclear vilivyosalulia, kama Netanyahu atakubali kusitisha vita, zoezi hilo likikamilika
Ona sasa unazidisha uongo, lilikamilika lini na wapi? Mbona leo tena bado wanaongelea kulipua nuclear sites za Pickaxie mountain ambayo ilikuwepo tokea 12 day war lakini haikuguswaga?

Acheni kupotosha, kuweni watu wa facts.
 
Ona sasa unazidisha uongo, lilikamilika lini na wapi? Mbona leo tena bado wanaongelea kulipua nuclear sites za Pickaxie mountain ambayo ilikuwepo tokea 12 day war lakini haikuguswaga?

Acheni kupotosha, kuweni watu wa facts.
Kuna taarifa kuwa Pickaxie mountain haikuwa sehemu ya target kipindi kile
 
Mimi niko makini sana sibahatishi. Vita imeanza tarehe 13 June 2025, na hapa nakuwekea taarifa ya US kuzuia makombora ya iran kwenda Israel sasa kivipi haijashiriki vita?
View attachment 3637247
Alichoxungumzia Hamatan ni mashambulizi yaliyofanyika huko Iran, sio interception ndani ya Israel. Hapo bado hujaelewa?

Dogo una kichewa kigumu kuelewa.
 
Kalipuliwa kama ulivyodokezwa?? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nyie akili zenu zipo beyond repair, si ajabu ndio maana mnaamini Kuna bikra 72 peponi
steve-harvey-crazy.png
waniona naandika mistari ya biblia afu waniambia naamini bikra 72?

Anyway, ngoja nikubandikie video usizotaka kuamini kwa vile wampenda sana BB-Nyau hadi wafumbia macho ukweli ulio waziwazi


View: https://youtu.be/LeW8ZUsBPv4?si=LFJVRcpAG-8v65BG


View: https://youtu.be/ndawNo0hMG8?si=V6JKO50w83fGFlgd

afu ngoja sasa tukusikie ukirudia maneno yako eti najaza server vile huelewi maana ya link😛
 
Back
Top Bottom