Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
Sa we kenge mbona unazunguka nani aliyeleta ujinga wa Geographical hapa si wewe kama Israel anaweza kuzi intercept Missiles kwani hakuzi intercepted mbona Jordan huwa anamkingia kifua.Tatizo unatumia mihemko badala ya kujibu kushirikisha ubongo. Sijasema popote kuwa lazima Iran apige Israel kwa kupita Jordan. Anaweza kufanya hivyo kwa kupitia Saudia,Jordan na hata Syria.
Pia Israel anaweza kuintercept misslies za Iran zikiwa kwenye Jordan, Saudia na Syria spaces si lazima ziwe zimeingia Israel ndipo azi intercept.
Hoja yangu ni inawezekana vipi missiles za Iran zenye lengo la kuipiga Jordan ziende Israel kisha zirudi Jordan? Inawezekanaje? Hata kwa logic haikubali, kwanza ni risk kwanzi zinaweza kuwa intercepted na Israel
Umeshindwa kunijibu hoja yangu hadi sasa.
PIa Missiles za Iran kabla ya kupiga Aqaba zinaweza kufanya maneuver na zipo Jordan zikaingia Air space ya Israel kabla ya kupiga pale Aqaba kwani Aqaba unadhani iko mbali na Israel nikikuambia wewe ni kenge unabisha 🤣