Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

Netanyahu Kukutana na Trump Ikulu ya Marekani Siku ya Jumanne Tarehe 28. Neyanyahu Anakuja na Operation Endgame

Simba anaishia kujificha kwenye mashimo simba kashindwa angausha Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan hahaha we tulizana uone simba wenu anavyo tolewa roho safari hi
Kombora haliwezi kurushwa kutoka Iran kuelekea Jordan eti ipitie kwenye anga ya Israel hiyo ramani ya masjid ni ya uongo kabisa.
 
Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.

Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.

Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.

Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.

Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni

View attachment 3636243
Endgame ni nyuklia tu nje ya hapo ule msuli hauwezi
 
Anaenda kuomba silaha
 
Iran strikes on CIA facilities prompt questions about possible Russian role​

July 22, 2026​

​

'It would be very bad for them': Trump warns China and Russia against giving Iran weapons​

President Donald Trump has warned China and Russia against giving or selling arms to Iran, saying: "If they did, it would be very bad for them".

Friday 24 July 2026

View attachment 3636303
Kwamba atawafanya Nini !? 😁😁😄😄

Huyo Iran tu mpaka Leo hii anamtoa jasho la makalio

Ndio anataka kujichanganya Kwa china au Russia trump anazeeka vibaya 😁
 
Mbabe wa vita jabali nguli mwamba Benjamini Netanyahu Bibi mwanzoni MWA wiki ijayo siku ya jumanne atakutana na Trump huko marekani kwenye ikulu ya marekani.

Natanyahu anatarajiwa kuja na operation mpya aliyoiita Kwa jina la "Operation Endgame", hii Kwa watoto wa uswahili tunaiita kata funua.

Baada ya Netanyahu kutoa kauli hii, huko Iran hapakaliki hakuna anayejua hatma yake, hakuna anayejua nani atatangulizwa na nani atabaki. Hii ni kutokana na ushupavu wa huyu simba, ambae hajawahi kufeli kwenye kutanguliza mahasimu wake.

Netanyahu anasema safari hii hakuna mambo ya kuzuiana asimmalize nani na asipige wapi, hii imetokana na namna marekani wamekua wakimzuia kutotekeleza baadhi ya operation zake.

Jiandae na Operation Endgame kutoka Kwa Simba wa vita mwamba Benjamini Netanyahu

Adiosamigo
Ritz
Echolima1
zitto junior
mdogoee
gTurn
Mlaleo
Natty Bongoman
Keyboard_Warrior
MlimaSayuni
6 Pack
Atacms
dem boyz
Khanji kapoor
100 others
Khaibar
hearly
Frank Wanjiru
Mwalimu wa tuisheni

View attachment 3636243
End Game!?
You watch too much movies lil broh!
 
Missiles za Iran juzi zilipita Israel kuelekea Jordan
Hii Geography imekaaje. Kutokea Iran, Jordan inaanza kabla ya Israel? Iweje missiles ziende Israel then zirudi Jordan?
Au zilienda kumsalimia Netanyahu?
 
Vyombo vya habari vinavyotawaliwa na waisrael ndizo hizi
He who control the media controls the narrative
IMG_20260722_021005_504.jpg
 
Vita ya June mwakajana 2025, Israel iliipiga Iran bila ya kuwasiliana wala kuihusisha Marekani
Acha kupotosha, kwenye hiyo vita si ndio US ililipua Nuclear sites 3 za Iran?. Hujui kuwa kwenye hiyo vita ndio US ilimkataza Netanyahu asiende kumshambulia Ayatollah maana walienda kuomba approval. Sasa unapokuja kupotosha humu sikuelewi.
 
Vita vyote vya huko nyuma kuanzia vile vya 1948, 1956, 1967, 1971, israel imekuwa ikipigana pekee dhidi ya mahasimu wake
Sio kweli mara zote US imekua ikisaidia sio tu silaha ila intelijensia na mifumo ya ulinzi kama radar, interceptors, jammer. Hata hiyo 12 day war Iran ilikua ikirusha makombora hao US walikua wana intercept kabla hayajafika Israel sasa utasemaje hawakusaidiwa?
Did USA participate in 1967 israel war against arab countries?
No, the United States did not militarily participate in the Six-Day War. The U.S. provided diplomatic backing to Israel, but American forces did not fight or take part in combat operations during the June 1967 conflict.
Acha uongo, US sio tu ilitoa silaha na intelijensia bali ilisogeza meli zake ikapelekea tukio maarufu la USS Liberty ambayo ilikua moja ya meli zilizokua zinatoa intel lakini zikashambuliwa na Israel "kimakosa". Na hizo meli zilihusika sana kuvuruga mifumo ya mawasiliano ya majeshi ya misri/Syria, zilitoa location ya silaha za adui, na kusaidia interception ya maroketi yaliyoelekezwa israel.

Uwe unasoma historia sio una rely kwenye AI kupata taarifa.

Lakini nyingi ya silaha hizo ni matokeo ya mradi wa ushirikiano kati ya Marekani na Israel kwenye tekinolojia ya silaha za kivita. Na pia kuna makubaliano kati ya Israel na Marekani, kwa Marekani kuipa Israel dola bilioni 3 kila mwaka kuimarisha sekta ya ulinzi kwa Israel, na hiyo inafuatia mchango mkubwa wa Waisrael waishio Marekani kwenye uchumi wa Marekani.
Hakuna kitu Kama mchango, hata Misri inapewa USD 1.3 Billion kila mwaka za kijeshi kwani inachangia nini US. Zile pesa wanapewa kama hongo tu ili waendelee kuwa vibaraka wa USA ila nothing as eti mchango, mbona wachina na wahindi ni wengi huko USA kuliko wayahudi hasa maeneo ya teknolojia na sayansi ila hatuoni hayo mabilioni wakipewa kama "msaada"?
 
Hii Geography imekaaje. Kutokea Iran, Jordan inaanza kabla ya Israel? Iweje missiles ziende Israel then zirudi Jordan?
Au zilienda kumsalimia Netanyahu?
Tatizo la kondoo ni tabu sana kutumi akili na kuuliza hivi Iran hawezi kupiga Israel lazima apite Jordan? Na je hawezi kupiga Jordan ikiwa anaweza kupiga Israel bila kutumia Jordan Air space kwa your infomation
Iran inaweza kuishambulia Israel bila kutumia anga la Jordan kwa kutumia njia mbadala za anga juu ya Syria na Iraq na pia wakapiga Jordan kwa kutumia Iraq, Syria na israel kenge atabaki kuwa kenge tu hi Geography ni akili za funza unapo deal na Missiles za Iran

View: https://x.com/i/status/2079942155150176610
 
Tatizp la kondoo ni tabu sana kutumi akili na kuuliza hivi Iran hawezi kupiga Israel lazima apite Jordan? Na je hawezi kupiga Jordan ikiwa anaweza kupiga Israel bila kutumia Jordan Air space kwa your infomation
Iran inaweza kuishambulia Israel bila kutumia anga la Jordan kwa kutumia njia mbadala za anga juu ya Syria na Iraq na pia wakapiga Jordan kwa kutumia Iraq, Syria na israel kenge atabaki kuwa kenge tu hi Geography ni akili za funza unapo deal na Missiles za Iran

View: https://x.com/i/status/2079942155150176610

Tatizo unatumia mihemko badala ya kujibu kushirikisha ubongo. Sijasema popote kuwa lazima Iran apige Israel kwa kupita Jordan. Anaweza kufanya hivyo kwa kupitia Saudia,Jordan na hata Syria.

Pia Israel anaweza kuintercept misslies za Iran zikiwa kwenye Jordan, Saudia na Syria spaces si lazima ziwe zimeingia Israel ndipo azi intercept.

Hoja yangu ni inawezekana vipi missiles za Iran zenye lengo la kuipiga Jordan ziende Israel kisha zirudi Jordan? Inawezekanaje? Hata kwa logic haikubali, kwanza ni risk kwanzi zinaweza kuwa intercepted na Israel

Umeshindwa kunijibu hoja yangu hadi sasa.
 
  • Kuna uwezekano mkubwa anaenda kupata maelekezo ya namna ya kusitisha vita; juzi tu waziri mkuu wa Iraq alikuwa Marekani na akapokelewa kwa mbwembwe, baada ya hapo akaonekana tena kule Iran, na akapokelewa kwa mbwembwe pamoja na kusaini baadhi ya mikataba (Iran vs Iraq) huku rais wa Iran akiwa na amani kwenye namfsi.​
  • Achilia mbali rais wa Lebanon, kuwa Marekani kwa ajili ya kupata maelekezo ya kupambana na Hezbollar.​
  • Pakistan kuwa tayari kupambana na Hezbollar.​
  • Serikali ya Yemen kuwa tayari kupambana na Houthi.​
  • Saudi Arabia kupewa kibali cha nuklia​
Vita ya Iran inaenda kufikia mwisho, kiungo akiwa ni waziri mkuu wa Iraq.
Houthis na Hezbollah hawawezi kabiliwa na serikali zao.
US kakimbia Afghanistan kwa Taliban, kapigana 20 years..
Impossible.
 
Hii Geography imekaaje. Kutokea Iran, Jordan inaanza kabla ya Israel? Iweje missiles ziende Israel then zirudi Jordan?
Au zilienda kumsalimia Netanyahu?
Iran ilishambulia mji wa Aqaba wa Jordan ambapo kuna kambi ya kijeshi ya US.

Baada ya ADs ku intercept missile , ule mlipuko ulioneka mji wa Eilat ndani ya Israel. Maana Aqaba ipo karibu zaidi na Eilat..

Hivyo milipuko ilisikika na kuonekana, wenyeji wa Eilat waliona ni kama mlipuko umetokea ndanj ya Israel..

Labda kama walirusha Houthis wa Yemen.. sina uhakika wao missiles zao kuilenga Jordan zinaweza kupita anga la Israel.
 
Back
Top Bottom