imani

Imani Hakim (born August 12, 1993) is an American actress. She is best known for her role as Tonya Rock on the UPN/CW sitcom Everybody Hates Chris as well as portraying Olympic gold medalist Gabrielle Douglas in the 2014 Lifetime original movie The Gabby Douglas Story.

View More On Wikipedia.org
  1. Imani juu ya kurogana ndiyo imefanya wabantu kuwa jamii maskini zaidi duniani

    Kuna mama mmoja aliandikwa kwenye gazeti, aliunguliwa na nyumba huko SA. Akaanza kulalamika. "Sina ugomvi na mtu, nashangaa kurogwa namna hii." Yaani anaamini moto umeletwa ma wachawi. Mbantu akiumwa anaamini kuwa amerogwa anaenda kuagua, wakati mwenzie mmasai anaenda porini kutafuta miti...
  2. R

    Je, kwa matendo haya ni imani za kishirikina?

    Huyu mama Mdigo, several times weekly, anaamka usiku saa 10 anaanza kufagia uwanja, tena kwenye giza totoro bila taa, Je tafsiri yake ni nini? Nadhani ana imani na ushirikina fulani. Ebu wadigo please tufafanulie kufagia usiku, tena kwenye giza kuna maana gani? Mnaamini nini katika hilo? Pili...
  3. Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

    Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua. ========= Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
  4. Msingi mkuu wa dini ni hofu au imani?

    Ni swali ambalo nazani ni la mhimu kujiuliza kwa waamini wote
  5. #COVID19 Imani Potofu na Ukweli Kuhusu Chanjo ya COVID19

    Chanjo ya COVID-19 inaweza kuathiri uzazi wa wanawake Chanjo ya COVID-19 haitaathiri uzazi. Ukweli ni kwamba chanjo ya COVID-19 inahimiza mwili kuunda nakala za protini ya spaiki inayopatikana kwenye uso wa coronavirus. Hii "inafundisha" kinga ya mwili kupambana na virusi ambavyo vina protini...
  6. N

    Serikali haina mamlaka kuhoji juu ya imani za watu, hii ni hatari sana

    Hii ni zaidi ya hatari kama sheria iko namna hii basi ibatilishwe, maana kuna dhehebu zingine imani yao wanaamini kujilipua mabomu kwaajili ya mungu ni sawa je serikali isiingilie? kwa maana nyingine hakuna haja ya kusajili madhehebu Nauliza pia kile kikao Cha Gwajima na Mkurugenzi wa...
  7. N

    Sadaka za Jumapili moja Ml 40-60, ubunge sh Ml 10 kwa mwezi, bora siasa ama Imani?

    Askofu Mbunge hupata sadaka za kuanzia Ml 40 hadi Ml 60 kwa Jumapili moja. Amekuwa Mnafiki kwa sababu biashara anayofanya hataki kupoteza waumini wake. Huyu hana tofauti na Kibwetere kwa sababu mahubiri yake ni mipasho na kutisha watu kuombewa hadi kufa. Jumapili ijayo ni lazima atampasha...
  8. Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  9. Je, una imani na Jeshi la Polisi?

    Jeshi la polisi limekuwa likikabiliwa na tuhuma nyingi kwa kushindwa kuchukuwa hatua stahili na kwa wakati kudhibiti na kuzuia jinai mbalimbali. Mifano michache ni kama ifuatayo: Sakata la mmoja wa wabunge kufanya vitendo vya kishirikina ndani ya ukumbi wa bunge ; Tuhuma kuwa vyombo vya dola...
  10. #COVID19 Askofu Gwajima awataka watu wasiingilie imani ya kanisa lake, hawachanjwi, watakaojaribu kuiingilia wataingia kwenye "crusher" watasagwa

    Leo katika kanisa la ufufuo na uzima Askofu Gwajima asema watu wasiingilie imani ya kanisa lake, amesema kuwa kiimani wakristo na hata waislamu wanaamini pombe ni dhambi na mahubiri hutolewa kupinga matumizi ya pombe, Je hao wanaohubiri wanatakiwa wakamatwe kwa sababu wanaikosesha serikali...
  11. Hongereni sana wanakwaya

    Ee bwana unifadhili-by Aloyce Goden Huu wimbo una fikirisha na kunibariki sana. Hongereni sana wanakwaya wote mliohusika katika wimbo huu. Kweli mliutendea haki, Mungu awabariki sana ni wimbo wenye kuishi muda mrefu. Licha ya kuwa siwajui lakini kazi zenu zinaniweka katika uchaji/mstari na...
  12. J

    SoC01 Je, tatizo ni chanjo ya UVIKO-19 au ni imani potofu?

    Sakata la chanjo ya UVIKO-19 linazidi kupata sura mpya kila kukicha huku uamuzi wa kuchanjwa ama kutochanjwa ukizidi kuwa na sintofahamu nyingi. Nia ya Makala hii leo sio kushawishi watu kuchanjwa ama la bali kujenga hoja zitakazosaidia kufanya uchaguzi sahihi wa kuchanjwa ama kutochanjwa...
  13. Shughuli za Misiba, Maziko na Maombolezo zimeanza kupoteza maadili ya asili na imani zetu, Utu na Ubinadamu katika jamii

    Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
  14. Mwizi ataka na kusisitiza awekwe Korokoni sababu hana imani na atakachofanywa na aliyemwibia

    Wasalaam! Nipo Mkoa fulani hapa Nchini Tanzania. Hiki kisa kimenifanya nitamani kuwajulisha wananchi wa Tanzania mikasa mbalimbali Duniani hasa nchini kwetu Tanza- Nia. Nikiwa kituo cha Polisi nikipata huduma fulani amekuja mwizi kasi sana na kukimbilia kaunta akitaka apewe ulinzi. Nyuma yake...
  15. Mwigulu anawasalimia

    Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.
  16. Zitto Kabwe, haya yote wewe hayakuhusu? Naona umeamua kunyamaza; hutaki kumshika mkono kipofu?

    Kwenye siasa Zitto anaendeshwa na mambo makuu mawili. 1. Pesa (Je, atafaidikaje kwa jambo fulani). 2. Position (Je, anaweza pata nafasi gani ya kumpatia kipato au deals ) 3. Imani (aliyeko madarakani ni Dini gani?) Hayo ndiyo humwendesha Zitto Kabwe. Kama Dini yako ni tofauti na yake lakini...
  17. Mpenzi wangu kagoma kuhamia imani yangu ili tufunge ndoa

    Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata mwanaume lakini yeye hataki na hayupo tiyali kuhama roma.
  18. Mungu alishamaliza kazi yake

    Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu. Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata? Tumwachie Mungu Mungu atatenda Nk.. Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!? Mfano: Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira. Lakini ukweli ni mmoja tu. “MUNGU...
  19. SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
  20. A

    Kuna athari gani kutumia mayai/ nyama ya kuku wa kisasa?

    KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA? . Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na kunenepa kupita kiasi, kupungua kwa nguvu za kiume, n.k. Imani hii imekuwa ikihusishwa na dhana kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…