Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu imani yao kwa viongozi wetu wa nchi inatawaliwa zaidi na mapenzi yao au chuki yao kuliko uhalisia.
Mtu akishampenda kiongozi fulani kwasababu zake binafsi, basi kiongozi huyo hata akiwa anaboronga katika utendaji wake wa kazi, yeye ataona yuko sawa, hata akiwa...