Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi.
Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby...