Nimewaza jinsi watu tunavyotumia muda mwingi kwenye maisha yetu katika kutafuta hela. Iwe ni muajiriwa wa kawaida, au hata tajiri, wote wanahangaika na pirika za kiuchumi, na kwa ujumla lengo kuu ni kupata pesa zaidi.
Sasa nimejiuliza hivi haiwezekani kuwa na hela za kutosha kiasi kwamba...
Wakuu habari za kazi. Nina juice dispenser ya mitungi mitatu, lakini ilitengenezwa maalumu kwa kutumia umeme. Nataka kwenda kuitumia mahali ambapo hakuna umeme, ndipo nikawa najiuliza je inawezekana nikanunua mfumo wa solar na ikawezekana kuiendesha hiyo juice dispenser?
Specification zake ni...
Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe!
Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?'...
Huyu binti anaitwa Miche Minnies ana miaka 13 na ni mchezaji wa timu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns ya Africa Kusini.
Miche Minnies anavuma mtandaoni kwa ufanano wake na gwiji wa Brazil Ronaldinho. Ronaldinho wa Brazil alitembelea Afrika Kusini hapo awali, na hivyo imezua mzaha kuwa aliacha...
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa.
Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na sio kweli kila kukuwa kwa upinzani kunatokana na CCM kufanya ubaya. Bila watu wa CCM kuelewa hili...
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali.
Kwa...
Kuna mdogo wangu mmoja hapa alikuwa ameomba chuo India ila wamemwambia atume A level marksheet.
Sasa naomba kuuliza unaweza pata hio marksheet, wizara ya elimu kule???
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
baada
ccm
chatanda
freeman mbowe
gerezani
inawezekana
jela
kisaikolojia
kumtoa
mbowe
mrefu
muda
muda mrefu
pamoja
rais
rais samia
samia
shukrani
wanawake
Wakuu, nimenunua shamba milimani huko, shida yake hili shamba ni maji, ukitaka kulima mazao lazima usubirie msimu wamvua.
Sasa nataka nilipande mazao ya muda mrefu ambayo yanahitaji kumwagilia kwamiezi kadhaa, bondeni ya hili shamba kuna maji mengi tu.
Je, itawezekana kutumia mbinu gani niweze...
Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu...
Mwezi April 2021, tarehe 10, CAG Mstaafu, Profesa Assad, aliitoa kauli ambayo ilizua gumzo kwa watu wengi. Wapo walioiunga mkono, huku wengine wakiipinga vikali.
Nafikiri wafuatiliaji wa Habari wangali wakikumbuka. Profesa alisema kuwa asilimia sitini ya viongozi wa Serikali hawana uwezo mzuri...
Nilipoteza namba yangu ya voda kabla haujaingia mfumo huu wa sasa wa kusajili kwa NIDA na kuthibitisha. Baada ya huu utaratibu kuanza ikawa imepewa mteja mwingine.
Natamani niirejeshe iwe yangu kwa sababu nilijiunga nayo vitu vingi vya muhimu ikiwamo email na kwa sasa siwezi kutumia email...
Naona kama Waarabu wanarudi kwenye himaya yao ya kibiashara waliyokuwa wameishikilia enzi na enzi kabla ya ujio wa utawala wa kizungu
Ninawaza sana maana naona mkakati wa kuirudisha pwani na bara katika mahusiano yao ya kibiashara kama hapo awali unaanza kujipenyeza taratibu japo wakati huu...
Mkataba huu (wa bandari) unaegemea zaidi upande mmoja na pia hauna ukomo wa muda. Wajibu wote ni wajibu wa serikali ya Tanzania lakini haki zote ni haki za DP WORLD
Mkataba huu (wa uendelezaji wa bandari) ni mkataba kati ya nchi na nchi kuhusu uwekezaji, na mkataba unasema ni kuhusu...
Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali, wakati wa kupatiwa ajira, wakati wa uchaguzi. Hiki kitendo kinawahusisha mtoa huduma na anayepatiwa...
Umofia kwenu nyote.
Hali halisi imeshajionesha hususan dhamira ya CCM na waliopo serikalini dhidi ya Watanzania
Kwa umakini mkubwa napenda kuwashauri CHADEMA yafuatayo
Watafakari upya mtego waliouingia kupambana na Hayati wakati wasaidizi wake ndo wanaendesha nchi tena kwa kuigiza kana kwamba...
Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea?
Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
Ulikuwa na mwili wako wa kawaida tu lakini ghafla imeshaanza kuwa kawaida kuambiwa "Umenenepa siku hizi?”
Kama una nia ya kurudisha mwili uwe wa kawaida siwezi kusema ni rahisi ila inahitaji uwe na nia thabiti. Dawa ni hii hapa. Ni mwezi moja tu. Milo miwili tu kwa siku!
Unavyoamka kula...
Imenishangaza sana kuona waziri mzima wa michezo badala ya kuwa bize kushughulikia sera ili ziinue michezo kuhakikisha taifa letu linag'ara kimichezo badala yake anazurula na ndege hadi Algeria.
Nadhani tuna tatizo kubwa sana linalopelekea tuwe na safari ndefu la kuinua michezo kama watungaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.