Habari JF.
Naomba kuuliza hivi ukipeleka barua kwa mwajiri wako mfano mkurugenzi wa halmashauri akagoma kuipitisha barua yako, maana nimepeleka lakini ameirudisha bila kusaini wala kuandika chochote.
Naweza kuomba bila kupitisha kwake na vilevile nataka kuweka kama mimi ni mwajiriwa kwenye CV...
Habari wana JF.
Kuna mwalimu mmoja mstaafu nilimsikia akisema private candidates mara nyingi huwa hawafanyi vizuri kwa kuwa alama zao za mitihani hugawanya nusu kwa kuwa wao huwa hawana assessments za darasani na majaribio kama school candidates.
Ama kwa upande wa school candidates wao yale...
Habari wana JF, natumai muwazima.
Nina jambo limenitatiza naomba ufafanuzi.
Swali ni kuwa, kwa mtu ambae A level alisomaga PCM na akafaulu vizuri,je inawezekana kama akihitaji kusomea medicine akafanya mtihani wa Biology A level ili kupata credit (kwa kuzingatia anahitaji mchepuo wa PCB kwa...
TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKANA
Kuiga kizuri si dhambi.Ni vyema tukarudi nyuma mpaka katikati ya karne ya 18.Uingereza ilikuwa na uchumi wa kati na ni hata nyuma zaidi ya hapa tulipo sisi sasa.Si hili tu India pia ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa vijana wengi na familia nyingi zenye maisha ya...
Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia.
Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya.
========
Ushauri wa...
Salaam Ndugu zangu,
Zipo tetesi zimesambaa katika maeneno mbalimbali kwamba ugonjwa wa Covid-19 umerejea nchi. Kwa sisi tunaoishi Dar tunashuhudia kulipuka kwa mafua makali yakiambatana na kikohozi fulani na homa.
Je kuna ukweli kiasi gani kwenye hili?
Jamiiforums tunaomba mtusaidie kuuliza...
Wakuu kwanza nianze kwa kujihami mimi ni layman kwenye upande wa political science! Pia si mkereketwa kbs wa siasa lakini kwa kuwa maisha ya binadamu wa leo ni ngumu sana kuyatenga na politics by default najikuta tu niko uwanjani.
Nimejaribu kufuatilia safari ya maisha ya JK ya kisiasa...
Mfano kuna kijana anatengeneza vifaa vya umeme kama radio na tv, ana ofisi nzuri tu inayoaminika. akitengeneza tvau radio yako inarudi katika hali yake na unaweza kuendelea kuitumia bila tatizo
Huyu kijana tayari ana elimu ya umeme ila hajasoma akafaulu mtihani wowote unaohusu umeme, kama...
Kulingana na vyanzo vya habari, inaonekana kuwa Diamond Platinumz ni mmoja wa wasanii matajiri zaidi nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hata hivyo, ni muhimu kuelewa kuwa Millard Ayo na Diamond Platinumz wana kazi tofauti na kuzingatia vigezo tofauti linapokuja suala la utajiri...
Hongera vyombo vya dola Kwa kuwafikisha kwenye vyombo vya dola waliokuwa wanajibadili jinsia na kukubali kuingiliwa. Wanaume waliokuwa wanajichubua na kufanyiwa masaji walegee wamepotea mtaan, wanaume waliokuwa wanalegeza sauti kwenye jamii sasa hivi sauti lazima ikaze wasikamatwe; wanaume...
JamiiForums imevamiwa na viumbe vya ajabu kabisa, ambavyo sasa havitaki kutafuta maarifa tena, havitaki tena kusoma vinataka kuangalia videos ,za tic toc zisizo na tija wala afya kwa akili zao.
Maisha ya rohoni ni mapana sana kuliko maisha ya mwilini. Wengi hatuzijui siri za rohoni, lakini tu...
Nachokijua kuna baadhi ya social media sites na platforms zilizo na kitufe cha 'delete account' pale mtumiaji anapohitaji. Mfano social media za facebook, twitter na instagram
Kuna social media nyingine ambazo hazina kitufe cha 'delete account' kama vile Jamiiforums
Vipi kwa upande wa account...
Ukisikiliza wanasiasa unaweza kubaki Midomo wazi
Shule yenye wanafunzi 700 kuwa na Walimu watatu hii maana yake walimu wanachokifanya ni kugeuka maaskari. Tu kuhakikisha wanafunzi wanalindwa ili wasiumizane na warejee majumbani kwao salama
Nimeshuhudia haya maeneo mengi ya vijijini Hakuna...
Habari wadau, kuna simu ya iphone nataka niinunue kwa mtu kwa hela ndogo ipo network locked ila anaitumia kwa gevey sim, hivi gevey sim haina shida? Na je kama sitaki kutumia gevey inawezekana kui unlock? Asanteni sana.
Huwa najiuliza sana hili swali. Yaani huwa nashangaa kusikia au kuona mwanamke au mwanaume mwennye miaka 35+ kulia na kuhangaika kwa sababu ya mapenzi! Ni kwamba wameruka hatua za ukuaji au ni hisia?
Unajua above 35, tuna assume mtu ana watoto wakubwa ambao wameshaanza kujitambua. Na hata kama...
Naombeni muongozo wakuu ni pitr njia zipi, Na ndoto kuwa siku moja nije kuwa rais wa chama Cha walimu Tanzania.
Bado nipo chuo mwaka wa pili nasoma bachelor of science with education.
Vipaumbele takapo kuwa rahisi wa CWT apo mwaka 2040
01. Pambana nyongeza za mishahara kwa walimu.
02. Huduma za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.