iphone

  1. Ipi simu nzuri kati ya iPhone 8 plus, iPhone X, iPhone XR, iPhone XS, iPhone SE na iPhone 11?

    Wakuu nahitaji kununua simu brand ya iPhone, kiukweli nimetarget kwenye efficiency ya camera, mana nafanya biashara mtandaoni so nahtaji simu yenye camera nzuri kwa picha na hata video. Kwa wale waliowahi kutumia hizi simu ipi ipo bora zaidi kati ya hizo nilizozitaja? Japo naona zote MP 12 ila...
  2. Apple yakubali masharti ya EU, iPhone zitaanza kuja na mfumo wa USB-C

    Makamu wa Rais wa Idara ya Masoko kutoka Apple, Greg Joswiak amesema hawana uamuzi mwingine zaidi ya kufuata maagizo hayo na kuanza utekelezaji japokuwa hawakubaliani nayo. Amesema "Apple haijafurahishwa sana na hii, tunafikiri mbinu hiyo ingekuwa bora zaidi kimazingira, na bora kwa wateja wetu...
  3. Phone4Sale Iphone 12 Pro Max 256 GB

    Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu. Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi. Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu. Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu. Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata...
  4. UKIWA NA IPHONE 14 UNAWEZA ONA KESHO

    Huyu jamaa kauwa sana
  5. iOS 16 yalalamikiwa kwa kuua uwezo wa Betri za iphone

    Ni wiki mbili tu zimepita tangu iOS 16 itoke lakini watumiaji wengi sana wanalalamika kuisha charge haraka na Battery Life inazudi kushuka katika zile asilimia. Asilimia 63% ya watumiaji wamelalamika Battery kuisha charge haraka na battery life kushuka. Pia ukilinganisha na iOS 15, mfumo wa iOS...
  6. Apple inaanza kutengeneza iPhone 14 nchini India

    Apple Inc leo Jumatatu imesema itatengeneza toleo la simu za iPhone 14 nchini India, ikiwa ni mpango wake wa kuhamisha baadhi ya teknolojia za uzalishaji wa vifaa vya kamouni hiyo kutoka China. Kampuni hiyo ilizindua simu kuu ya iPhone 14 katika hafla ya mapema mwezi huu, ambapo iliangazia...
  7. Nifanyeje niweze kutumia internet nyingi kwa bei ndogo kabisa!!โ€ฆna nina iphone

    Habar wakuu! Walengwa nadhani mmeelewa! Tatzo n simu yangu iphone je hakuna app za free internet za iphone Kama huelewi apo we basi๐Ÿคฃ
  8. Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

    Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member. Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
  9. iPhone 14 Pro na Pro Max zinatumia sensor ya Camera yenye uwezo wa 48Megapixels

    Ni mabadiliko makubwa sana kwa sababu kuanzia iPhone 6s mpaka iPhone 13 zote zinatumia 12MP. Megapixels 48 ni tofauti na Megapixel 12 kwa sababu MP48 inakusanya details nyingi katika picha na video kuliko 12MP. Jambo la kuwafahamisha watumiaji wa iPhone 14 Pro na iPhone 14 Pro Max; picha na...
  10. Mauzo ya iphone 14 pro na max yavunja rekodi. Zaidi ya simu milioni 10 mpaka sasa

    Kampuni ya Apple inc kupitia devices zake za iphone leo zimeweka rekodi duniani ambayo haijawahi kutokea. Zaidi ya devices 10 ml zimeuzwa leo huku ikiwa ni rekodi duniani. Iphone wanasema hiyo rekodi haiwezi vunjwa kwa miaka 100 ijayo na kampuni zote za simu hata zikishirikiana. Congrats ๐Ÿ‘...
  11. iOS 16 imeshatoka, haya ndio mabadiliko yaliyomo

    Leo Jumatatu Septemba 12, saa 2 Usiku, watumiaji wote wa iPhone 8 mpaka iPhone 14 wameanza kupata mfumo mpya wa iOS 16. iOS 16 ni mfumo mpya wa iPhone za mwaka huu, na mwaka jana ilikuwa ni iOS 15. ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ฝ๐—ถ ๐—ถ๐—ข๐—ฆ ๐Ÿญ๐Ÿฒ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜†๐—ผ: ๐Ÿ”˜ Mwonekano mpya ๐Ÿ”˜ Sehemu ya Lock Screen itakuwa na...
  12. iOS 16 kuanza kutumika leo saa 2 usiku

    iOS 16 inategemewa kutoka leo kuanzia mida ya saa 2 Usiku, na latest report ya mwisho ambayo imevuja inaonyesha mabadiliko mapya ambayo yatawakuta wale ambao wanatumia AirPods feki! Code ya iOS16 iliyotoka wiki iliyopita inaonyesha iOS 16 ina uwezo wa kutambua kama AirPods ni original au ni...
  13. Samsung vs iPhone: Brand ipi ya simu unaikubali sana?

    Ni brand gani unaikubali kuanzia upande wa software zao, camera, battery life, video na durability. Binafsi Naikubali sana mnyama iphone ambaye hana mpinzani! N.B WALE WA TEKINO NA INIFINIKSI CHONDE CHONDE NISIWAONE HUKU!
  14. Simu za iPhone zitakazoruhusiwa kutumia iOS 16

    Apple itatoa mfumo mpya wa iOS 16 kwa watumiaji wote wa iPhone 8 na kuendelea. Mfumo mpya wa iOS 16 utaanza kutoka Jumatatu ya tarehe 12 September. Credit: @ Apollo (@itsapolloo)
  15. Samsung ndiye mtengenezaji wa 82% ya vioo vya iPhone

    Asilimia 82% ya vioo vya iPhone zote, zimetengenezwa na kampuni ya Samsung. Asilimia 12% ya vioo vya iPhone mpya, vimetengenezwa na kampuni ya LG; na asilimia 6% ni ya vioo vya iPhone 14 inatengenezwa na BOE ya China. Ripoti mpya za ndani ya Apple zinaonyesha Apple ina mpango wa kuingiza sokoni...
  16. ๐— ๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐˜†๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜†๐—ผ๐—ฝ๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ถ๐—ฃ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐Ÿญ๐Ÿฐ

    Apple imetoa simu ya iPhone 14 ambayo sio Pro (iPhone 14 ya kawaida). Mwaka huu iPhone ya kawaida itakuwa na iPhone 14 Plus ambayo ina ukubwa sawa na iPhone 14 Pro Max. iPhone 14 inafanana na iPhone 13 katika mwonekano. ๐Ÿ”˜ Apple imetoa aina mpya ya simu ya iPhone 14 Plus. Ina kioo chenye ukubwa...
  17. Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  18. Nahitaji iPhone X used

    Ebwana wakuu, nahitaji kujua wapi naweza kupata iPhone X used. Nataka used kwa sababu sina hela ya kununua mpya. Naweza pia kutrade iPhone 6S nikaongeza kiasi kidogo kupata hiyo X.
  19. Apple yadaiwa ipo njiani kuzindua simu ya iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022

    Kampuni ya Apple Inc. inatarajiwa kuzindua toleo la iPhone 14 mnamo Septemba 7, 2022. Taarifa za awali zinaeleza kuwa uzinduzi huo utaendana na bidhaa nyingine kadhaa za kampuni hiyo Apple Targets Sept. 7 for iPhone 14 Launch in Flurry of New Devices Apple Inc. is aiming to hold a launch...
  20. Phone4Sale Nauza iPhone 8 Plus

    Nauza iPhone 8 Plus, 64 GB, simu ipo Dar es salaam. Bei ni 389,000 tshs. Negotiable. Kama unahitaji nicheki hapa au dm. Unaweza pia kunicheki Whatsapp: +8619974300439
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ