Katika hali ya kushangaza kilaza mmoja, GABRIEL MALATA[solicitor General] anatokea kwenye vyombo vya habari na kukemea mawakili wanaobeza hukumu ya kipumbavu kabisa kuwahi kutolewa katika mahakama ya rufaa,
Mawakili wakiwa vijuweni mwao wakauliza, who is Malata, anatoka Kanda ilee, ya nanii ...