Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai
Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni...