Katika kijiji kiitwacho Utawala Bora, watu walikuwa wakiishi katika hali iliojawa na machafuko, utata, na kutoridhika. Rushwa ilitawala, hali ya kutokuwa na usawa ilikithiri na sauti za watu hazikusikika (wananchi). Hatahivyo, katikati ya machafuko hayo, mwangaza wa matumaini ulijitokeza...