japan

  1. Mashindano ya Olimpiki: Tanzania kupeleka wanariadha 3 tu?

    Aiseee sijui kama tuko sawa au kuna shida sehemu. Nilisikitisjwa sana juzi kusikia kwamba Tanzania itapeleka wanariadha watatu pekee kule Tokyo Japan. Hii ni ajabu sana na sijajua tunakwama wapi sisi. Kadri miaka inavyo songa mbele ndivyo tunavyo kosa u seriouse, na tunavyo endelea huenda...
  2. Magari yanayopaa kuanza kutumika 2030

    Kampuni ya Hyundai imesema imepiga hatua kubwa katika kutengeneza magari yanayoweza kupaa, na kuwa ndoto yake ya kuwa na magari hayo inaweza kutimia kufikia mwishoni mwa muongo huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imesema ina matumaini kuwa usafiri wa magari ya anga unaweza kuwa fursa kubwa ya...
  3. W

    Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  4. #COVID19 Japan: Tokyo yahofia uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la mlipuko wa COVID-19

    Ongezeko la maambukizi #Tokyo limesababisha hofu ya uwezekano wa kutokea Wimbi la Tano la Virusi vya Corona, ikiwa ni takriban mwezi mmoja kabla ya michezo ya Olimpiki. Ishara kuwa visa vimeongezeka zilionekana siku chache baada ya Serikali kuondoa hali ya hatari Tokyo na Mikoa mingine 9, licha...
  5. Uganda Olympic team member tests positive on arrival in Japan

    A member of the Uganda Olympic team has tested positive for coronavirus on arrival in Japan, just over a month before the pandemic-postponed Games, officials said. The first group to arrive from Uganda -- a nine-strong party, including boxers, coaches and officials -- landed at Tokyo's Narita...
  6. Japan: Dereva wa Treni akabiliwa na adhabu baada ya kwenda kujisaidia

    Dereva wa Treni iliyobeba watu 160 Nchini Japan anakabiliwa na adhabu baada ya kuachia nafasi yake kwa dakika kadhaa ili kwenda kujisaidia Dereva huyo wa miaka 36 aliumwa tumbo na alihitaji kwenda maliwatoni haraka hivyo alimuita Kondakta asiye na Leseni ya Udereva, na kumuachia treni kwa...
  7. S

    Tetesi: Madai kuhusu Commodity Import Task Force iliyoundwa kukusanya fedha za Serikali ya Japan na vigogo wanaohusishwa ni ya kweli?

    Kuna taarifa inasambaa mitandaoni tangu jana kuhusu hiyo task force inayodaiwa kuundwa kwa lengo la kukusanya fedha za serikali ya Japan zinazohusiana na Commodity Import Support. Mtoa taarifa, mbali na kutaja watu anaowatuhumu, ameweka mpaka demand notice jambo linalonifanya nijuilize maswali...
  8. Korea Kaskazini yaangusha mabaki ya kombora la masafa marefu ndani ya eneo la Japan

    Korea Kaskazini yafyatua makombora ya masafa marefu katika bahari ya Japan CHANZO CHA PICHA, REUTERS. Maelezo ya picha: Kiongozi huyo wa Korea Kaskazini amerudia kufanyia majaribio makombora ya masafa marefu Korea Kaskazini imefyatua makombora mawili ya masafa marefu ndani ya bahari ya Japan...
  9. Je, magari ya Japan huwa mileage zinazoonyeshwa ziko sahihi?

    Wataalam wa magari, naomba kuuliza maswali machache. Nasikia watu wanaweza kuchezea Odometer reading za magari kwa kurudisha nyuma ili gari ionekane iko na mileage chache Ukikuta gari kwenye mtandao wameandika mileage ni 60,000 KM je huwa ni sahihi ama wamechezea Odometer? Je, Japan hawana huo...
  10. B

    Nasikitishwa na uhusiano wetu na Kenya, unaumiza wakulima na wafanyabiashara

    Kati ya majirani zetu ambao wanapaswa wawe soko letu kubwa la bidhaa za kilimo na biashara nyingine ni Wakenya. Ila Kati ya watu ambao tumekuwa tukiishi nao Kama maadui kwa miaka sita Sasa ni Kenya. Nchi inayotaka kuinua wakulima na wafanyabiashara uwekeza kwenye diplomasia ya eneo lilipo...
  11. Bilionea wa Japan anatafuta watu 8 kwenda naye mwezini

    Hii ni bahati ya mtende kuota jangwani! Bilionea mmoja nchini Japan anatafuta watu 8 kutoka kote duniani watakaomsindikiza kwenda mwezini mwaka 2023 katika safari ya kibinafsi. Bilionea huyo, Yusaku Maezawa mwenye umri wa miaka 45 aliyejipatia utajiri wake kupitia fasheni mtandaoni, alitangazwa...
  12. #COVID19 Kipimo cha Covid-19 cha haja kubwa: Japani yaitaka China kuacha kukitumia kwa raia wake

    Baada ya wataalamu wa China kugundua kipimo kipya cha maambukizi ya virusi vya korona kinachopima kwa njia ya haja kubwa, miji mingi nchini humo imeidhinisha kipimo hicho. Viwanja vya ndege pia hukitumia kwa wasafiri WANAOINGIA CHINA! jambo lililoifanya Japan kuitaka china kuacha kutumia kipimo...
  13. #COVID19 Japan yatoa tahadhari kusitisha au kuahirisha safari za Tanzania kufuatia hali mbaya ya maambukizi ya Covid-19

    TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus. ========= Japan warns against traveling to Tanzania as country denies existence of coronavirus February 10, 2021 (Mainichi...
  14. S

    Japan, the most sexless nation. Karibia nusu ya wanawake wenye miaka 34 ni mabikira

    Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% . Kwa wastani mjapan hufanya ngono mara 45 tu kwa mwaka ikilinganishwa na Ugiriki ambako watu wake (wapenda...
  15. K

    Waagizaji wa magari SakuraMotors Japan

    Wakuu Poleni na pilika za maisha,nilitaka kujua endapo kuna mtu anaifaham kampuni ya kuuza Magari inaitwa SaKuraMotors nimeona gari nzuri kwao nilitaka kuiagiza lakini hawana ofisi bongo je kuna watu mmewahi kufanya na huwa jamaa biashara?ni waaminifu ?maana matapeli wamekuwa wengi..Natanguliza...
  16. Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  17. J

    Sex robot brothel opens in Japan amid surge of men wanting bisexual threesomes

    A brothel has opened in Japan and is set to introduce male sex dolls following a surge in men wanting threesomes. It follows previous openings at spots including Russia, Spain, and Italy. It offers a three hour session for £250 and a one hour session for £90. Punters can chose what the...
  18. Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Wakuu, Inaelekea mataifa tajwa hapo juu wamejizatiti kuendelea kuhuju ustawi wa Tanzania. Kifupi hizo nchi zisithubutu kushitaki popote, kupanga njama za kuvamia, kuhujumu ustawi wa nchi kwa kutumia mamluki, wasaliti na vibaraka wao. Mataifa tajwa hapo juu hawana maslahi yoyote na madai ya...
  19. Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

    Ni swali muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu. Amani iwe nanyi wadau! Usiku wa Jana, Wakili Robert Amsterdam ameitaarifu dunia kupitia Twitter yake kuwa amefikia hatua nzuri kupeleka mashtaka katika mahakama ya ICC Uholanzi dhidi ya Magufuli na Serikali yake. Leo alfajiri, Magufuli...
  20. Watanzania mumefika wa kusemwa hadi na Japan, kawaida Japan na China huwa hawahangaiki na mambo ya ndani ya watu

    Tumezoea mataifa kama Japan na China kutojishughulisha na mambo ya ndani ya nchi za watu, wao hata mchinjane hadi abaki mmoja, huyo ndiye wataendelea naye kwenye mishe zao. Japan ni mojawapo wa wafadhili wa miradi Tanzania, ikiwemo msaada waliotoa kwa ile 'flyover' ya Mfangale ambayo Watz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…