Kama unayajua piga kimya.
Kama huyajui haya hapa:-
Mambo 7 muhimu kuhusu Aircraft Carrier ya Marekani:
Idadi ya Waajiriwa – Kila aircraft carrier ya Marekani ina wastani wa 5,000 – 6,000 waajiriwa, wakiwemo marubani, wahandisi, wahudumu wa meli, wataalamu wa silaha na wahudumu wa matibabu...