Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio.

Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina kutokana na hali nyeti ya mipango hiyo, unaongeza hatari kwa diplomasia inayoendelea kati ya Marekani na Iran.

Wajumbe wa Marekani Steve Witkoff na Jared Kushner watafanya mazungumzo na Iran siku ya Jumanne mjini Geneva , huku wawakilishi kutoka Oman wakihudumu kama wapatanishi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alionya siku ya Jumamosi kwamba ingawa upendeleo wa Trump ulikuwa kufikia makubaliano na Tehran, "hilo ni gumu sana kufanya."

Maafisa wa Marekani walisema Ijumaa kwamba Pentagon ilikuwa ikituma meli ya ziada ya kubeba ndege Mashariki ya Kati, na kuongeza maelfu ya wanajeshi zaidi pamoja na ndege za kivita, ndege za kivita za kuangamiza makombora yanayoongozwa na nguvu nyingine za moto zinazoweza kufanya mashambulizi na kujilinda dhidi yao.

Trump, akizungumza na wanajeshi wa Marekani siku ya Ijumaa katika kambi moja huko North Carolina, alielezea waziwazi uwezekano wa mabadiliko ya utawala nchini Iran, akisema "inaonekana kama hilo ndilo jambo bora zaidi linaloweza kutokea." Alikataa kushiriki ni nani alitaka kuichukua Iran, lakini akasema "kuna watu."

Kwa muda mrefu Trump amekuwa akitoa maoni yake kuhusu kutuma wanajeshi wa ardhini nchini Iran, akisema mwaka jana "jambo la mwisho unalotaka kufanya ni vikosi vya ardhini," na aina za vikosi vya Marekani vilivyoko Mashariki ya Kati hadi sasa vinapendekeza chaguzi za mashambulizi hasa ya vikosi vya anga na majini. Nchini Venezuela, Trump alionyesha nia ya kutegemea pia vikosi maalum vya operesheni kumkamata rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, katika uvamizi mwezi uliopita.
 
Kuna kitu kinachorwa na matokeo yake tutayafahamu kabla ya mwezi wa nne mwaka huu.

Iran inakataa kuacha kurutubisha uranium hali inayoonyesha wazi kwamba nia yao ni kumiliki silaha za nyuklia kitu ambacho dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.

Pili Iran inakataa kufanya mazungumzo yanayohusu kupunguza masafa ya makombora na tatu inakataa kukoma kufadhili magenge ya kigaidi.

Kwa mantiki hiyo basi Iran inapoteza tu muda kwenye hayo mazungumzo ili ipate muda wa kujiandaa kukabiliana na mashambulizi makali ya Marekani.
 
Wewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear Boom

We endelea kutuletea ukanisa hapa hizo Carriers zilikuwa zinatisha zamani wakati unabadilika, Iran ana under water drones na hakuna Radar inayo weza kuziona.

We huoni Iran hatishiki na USA alisha jifunza namna ya kuziteketeza hizo Carriers.
 
Kiukweli kabisa serikali ya kiislamu ya Iran inatakiwa kudondoshwa kwa maslai mapana ya dunia dhidi ya uhalifu wa kiislamu unaofanywa na nchi za kiarabu ...pia uislamu upigwe vita Iran baada ya serikali kudondoshwa .
 
Hizo ni mbinu tu za kuitisha Iran inywee mbele ya hao mabeberu.
 
Wengi wetu leo tunashabikia vita mashariki ya kati, lakini madhara ya vita vya eneo hilo yatakuwa makali Afrika nzima.

Vita dhidi ya Iran haitakuwa sawa na vita dhidi ya Iraq.

Eneo ambalo linaenda kuwashwa moto ndiyo njia inayotegemewa kupitisha mafuta karibu yote ya Dunia.
Tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya Dunia.
 
Wewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear Boom

We endelea kutuletea ukanisa hapa hizo Carriers zilikuwa zinatisha zamani wakati unabadilika, Iran ana under water drones na hakuna Radar inayo weza kuziona.

We huoni Iran hatishiki na USA alisha jifunza namna ya kuziteketeza hizo Carriers.
nuclear Boom au siyo master :KEKWlaugh::KEKWlaugh:
 
Wewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear Boom

We endelea kutuletea ukanisa hapa hizo Carriers zilikuwa zinatisha zamani wakati unabadilika, Iran ana under water drones na hakuna Radar inayo weza kuziona.

We huoni Iran hatishiki na USA alisha jifunza namna ya kuziteketeza hizo Carriers.
Hizi habari unazijua wewe ila majasusi wa CIA na MOSSAD hawazijui una bahati ya kupenyezewa taarifa kuliko hata hao USA wanaoingia vitani .. haya ndio matokeo ya kushiba ubwabwa wa hitima baada ya kifo cha Imam wa msikiti..
 
US hakuweza kuona Boom lake halikuripuka Iran na yeye ndiye alirusha aone kila kitu cha Iran. USA hakuweza kuziona Missiles za Iran zikiland Israel aone kila kitu Iran. Mnanikumbusha eti anaona mpaa sisimizi 😂
 
We jamaa mbona kila wakati unarudia kosa lile.Hii "boom" unayoandika kila wakati ni vitu gani?Sema hii forum ina watu.
 
Kuna kitu kinachorwa na matokeo yake tutayafahamu kabla ya mwezi wa nne mwaka huu.

Iran inakataa kuacha kurutubisha uranium hali inayoonyesha wazi kwamba nia yao ni kumiliki silaha za nyuklia kitu ambacho dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.

Pili Iran inakataa kufanya mazungumzo yanayohusu kupunguza masafa ya makombora na tatu inakataa kukoma kufadhili magenge ya kigaidi.

Kwa mantiki hiyo basi Iran inapoteza tu muda kwenye hayo mazungumzo ili ipate muda wa kujiandaa kukabiliana na mashambulizi makali ya Marekani.
Kwa hizo sababu ulizoziandika, Iran 🇮🇷 ana haki ya kukataa
Sababu ni nchi huru yenye haki ya kujiamulia mambo yenyewe, makombora watengeneze wao akitengeneza yy lawama
Nuclear wamiliki wao akimilki yy lawama
Ugaidi wafanye wao kuanzia IS mpaka Alqaeda, akifanya yy lawama
 
Vita vya USA na Iran ni kuomba visitokee ikiwa sasa hivi hakuna vita tu tunauza hazina ya dhahabu na bei ya mafuta inapungua huko Duniani ila Tanzania sioni ikipungua kutokana na kupanda kwa thamani ya us dollar vipo vitu vya kushangilia ila sio vita itakayoathiri Dunia...
 
Wengi wetu leo tunashabikia vita mashariki ya kati, lakini madhara ya vita vya eneo hilo yatakuwa makali Afrika nzima.

Vita dhidi ya Iran haitakuwa sawa na vita dhidi ya Iraq.

Eneo ambalo linaenda kuwashwa moto ndiyo njia inayotegemewa kupitisha mafuta karibu yote ya Dunia.
Tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya Dunia.
Acha ushamba wewe,hivi unajua venezuela ana mafuta kuzidi saudia na hao wengine wa middle east.? Hapo hujaongelea USA naye ana mafuta bado nigeria ? Usikariri.
 
Back
Top Bottom