Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Kiukweli kabisa serikali ya kiislamu ya Iran inatakiwa kudondoshwa kwa maslai mapana ya dunia dhidi ya uhalifu wa kiislamu unaofanywa na nchi za kiarabu ...pia uislamu upigwe vita Iran baada ya serikali kudondoshwa .
Usipigwe vita ukristo na Epstein files upigwe vita uislam!??
Hii dunia wakristo ndio wameiharibu hadi kufikia sasa.
1.Vita ya kwanza ya dunia wakristo.
2.Vita ya pili ya dunia wakristo.
3.Ukoloni wakristo.
4.Majaribio ya silaha za nuclear wakristo.
5.Ufadhili wa mapinduzi nchi tofauti tofauti ikiwemo HAITI wakristo.
6.Ufadhili wa makundi ya uasi ili wauze silaha ni wakristo.
7.Biashara za madawa ya kulevya Opium duniani wakristo.

VIPI TUKUTAJIE UFEDHULI WA WAKRISTO ZAIDI??
 
Acha ushamba wewe,hivi unajua venezuela ana mafuta kuzidi saudia na hao wengine wa middle east.? Hapo hujaongelea USA naye ana mafuta bado nigeria ? Usikariri.
Unajielewa kweli wewe??
Hao Venezuela watatumia njia gani nyepesi ya kufikisha mafuta kama sio strait of hormuz na baab al mandib Yemen?
Hao Nigeria unadhani watakuuzia mafuta bei rahisi?
Mbona ni miaka 40+ tangu Nigeria wachimbe mafuta na hawajawahi kukuuzia mafuta wewe Tanzania!??
Hujielewi wewe.
 
Usipigwe vita ukristo na Epstein files upigwe vita uislam!??
Hii dunia wakristo ndio wameiharibu hadi kufikia sasa.
1.Vita ya kwanza ya dunia wakristo.
2.Vita ya pili ya dunia wakristo.
3.Ukoloni wakristo.
4.Majaribio ya silaha za nuclear wakristo.
5.Ufadhili wa mapinduzi nchi tofauti tofauti ikiwemo HAITI wakristo.
6.Ufadhili wa makundi ya uasi ili wauze silaha ni wakristo.
7.Biashara za madawa ya kulevya Opium duniani wakristo.

VIPI TUKUTAJIE UFEDHULI WA WAKRISTO ZAIDI??
Upo sahihi tatizo lako ni uelewa ..niliwahi kufafanua hapa JF kuhusu hizi Dini mbili, Uislamu na Ukristo, na fafanuzi yangu ilikuwa hivi 👉
💥1)KUHUSU UKRISTO...👉Wakristo ndiyo wanao uchafua ukristo ...(yaani wakristo ndiyo wanao unajisi Ukristo)

💥1)KUHUSU UISLAMU...👉Uislamu ndiyo unao wachafua waislamu ...(yaani uislamu ndiyo unao wanajisi waislamu).

Hivyo tofauti ya wakristo na waislamu ni hizi
1)UISLAMU UNA WANAJISI WAISLAMU.
2)NA WAKRISTO WANA UNAJISI UKRISTO.
adriz FaizaFoxy Al-mukheef Jagina Covax Khaibar OHB11
 
Upo sahihi tatizo lako ni uelewa ..niliwahi kufafanua hapa JF kuhusu hizi Dini mbili, Uislamu na Ukristo, na fafanuzi yangu ilikuwa hivi 👉
💥1)KUHUSU UKRISTO...👉Wakristo ndiyo wanao uchafua ukristo ...(yaani wakristo ndiyo wanao unajisi Ukristo)

💥1)KUHUSU UISLAMU...👉Uislamu ndiyo unao wachafua waislamu ...(yaani uislamu ndiyo unao wanajisi waislamu).

Hivyo tofauti ya wakristo na waislamu ni hizi
1)UISLAMU UNA WANAJISI WAISLAMU.
2)NA WAKRISTO WANA UNAJISI UKRISTO.
adriz FaizaFoxy Al-mukheef Jagina Covax Khaibar
Unajaribu kuigiza kuwa na akili timamu
 
Unajaribu kuigiza kuwa na akili timamu
Mimi siyo mpumbavu wa madhehebuni kama nyinyi ..mtu akisha kuwa na madhehebu tu huyo ni kafiri wa gredi ya juu kabisa haijalishi ni wa dini gani.
 
kiufunuo maono aliyoyafunua BWANA YESU kwa mtumishi wake
1)NCHI YA IRAN ndiyo inayomiliki silaha ya bomu la nyuklia hatari zaidi duniani kuliko nchi yeyote duniani,na endapo wakizitumia zitaleta madhara kwa sehemu kubwa zaidi ya dunia

2)YESU hataruhusu hizo silaha hatari zaidi na zenye uwezo wa kuharibu sehemu kubwa ya dunia
YESU HATARUHUSU IRANI izitumie silaha hizo KABLA HAJAWANYAKUA watakatifu wake waliopo DUNIANI.

kwenye maono ulimwengu wa ROHO mtumishi wa MUNGU alipelekwa mpaka nchi ya irani akaonyeshwa silaha hizo zilipofichwa kwa siri ambapo hakuna mtu anayejua zilipo ,ila YESU alimuonyesha mtumishi wake ..

ANGALIA mabomu haya ..usiyaone hivi ..haya mabomu ya nyuklia ni hatari zaidi kuliko mabomu yote duniani..na hakuna nchi nyingine yeyote duniani inamiliki na yamefuchwa sehemu ya siri hakuna mtu mwingine anajua ...kwa siri sana ..sehemu ya siri sana.

YESU hataruhusu irani iyatumie kabla hajawaondoa watu wake..yatasababisha madhara makubwa duniani sehemu kubwa zaidi.
(UJUMBE WA YESU...UNYAKUO WA WATAKATIFU WALIOPO DUNIANI UMEKARIBIA SANA)
mtakatifu na azidi kutakaswa ,mwenye dhambi azidi kutenda

yafue mavazi yako yawe meupe...uwe tayari...
 
Wewe ni Kenge Iran kisha kuwa na Nuclear Boom si lazima ukutangazieni ana Nuclear na hata US na uhakika kisha gundua Iran wana Nuclear Boom

We endelea kutuletea ukanisa hapa hizo Carriers zilikuwa zinatisha zamani wakati unabadilika, Iran ana under water drones na hakuna Radar inayo weza kuziona.

We huoni Iran hatishiki na USA alisha jifunza namna ya kuziteketeza hizo Carriers.

Mbona unatukana watu bila sababu? Umekosa hoja ukarukia kwenye matusi? Jiulize:
Iran imewahi kushambuliwa na Marekani mara ngapi? Je Iran imezamisha carriers za Marekani ngapi?
Iran imewahi kushambuliwa na Marekani mara ngapi, na haikuwahi kujibu, zaidi ya kurusha makombora hovyo, bila target control?
 
Upo sahihi tatizo lako ni uelewa ..niliwahi kufafanua hapa JF kuhusu hizi Dini mbili, Uislamu na Ukristo, na fafanuzi yangu ilikuwa hivi 👉
💥1)KUHUSU UKRISTO...👉Wakristo ndiyo wanao uchafua ukristo ...(yaani wakristo ndiyo wanao unajisi Ukristo)

💥1)KUHUSU UISLAMU...👉Uislamu ndiyo unao wachafua waislamu ...(yaani uislamu ndiyo unao wanajisi waislamu).

Hivyo tofauti ya wakristo na waislamu ni hizi
1)UISLAMU UNA WANAJISI WAISLAMU.
2)NA WAKRISTO WANA UNAJISI UKRISTO.
adriz FaizaFoxy Al-mukheef Jagina Covax Khaibar
Wacha KUONGEA UPUUZI KIJANA WEWE.
Kwahiyo ukristo ambao unaruhusu ndoa za jinsia moja ndio unachafuliwa na ukristo??
Ila uislam ambao UNAKATAZA USHOGA,UNAKATAZA UTUMWA,UNAKATAZA UKAAJI UCHI,UNAKATAZA UKOLONI,UNAKATAZA RIBA,UNAKATAZA KAMARI NA UNAKATAZA DHULUMA ndio unawachafua waislam!????

Aya nipe sababu nne za kusema uislam unawachafua waislam!??
 
Mimi siyo mpumbavu wa madhehebuni kama nyinyi ..mtu akisha kuwa na madhehebu tu huyo ni kafiri wa gredi ya juu kabisa haijalishi ni wa dini gani.
Muanglikana na mroma wanaweza kusali kanisa moja??
 
Mbona unatukana watu bila sababu? Umekosa hoja ukarukia kwenye matusi? Jiulize:
Iran imewahi kushambuliwa na Marekani mara ngapi? Je Iran imezamisha carriers za Marekani ngapi?
Iran imewahi kushambuliwa na Marekani mara ngapi, na haikuwahi kujibu, zaidi ya kurusha makombora hovyo, bila target control?
Mbona unadanganya kijana!?
Au hujui historia!?
Wale vilema waliopatikana Ain Al Assad Iraq paliposhambuliwa na Iran umepasahau!??
Umesahau kama Iran ndio nchi pekee iliyowafyekelea mbali wanajeshi wa USA walipojaribu kuokoa raia wao kipindi cha mapinduzi nchini Iran!??
Kama haujui ukae tu kimya.
Nenda katizame sababu moja wapo ya USA kuondoa kambi zake Iraq ni zipi mwaka huu.
 
Kiukweli kabisa serikali ya kiislamu ya Iran inatakiwa kudondoshwa kwa maslai mapana ya dunia dhidi ya uhalifu wa kiislamu unaofanywa na nchi za kiarabu ...pia uislamu upigwe vita Iran baada ya serikali kudondoshwa .
Akili ndogo inapojibaraguza kuchangia mada kubwa. Hueleweki unataka nini.
 
Wengi wetu leo tunashabikia vita mashariki ya kati, lakini madhara ya vita vya eneo hilo yatakuwa makali Afrika nzima.

Vita dhidi ya Iran haitakuwa sawa na vita dhidi ya Iraq.

Eneo ambalo linaenda kuwashwa moto ndiyo njia inayotegemewa kupitisha mafuta karibu yote ya Dunia.
Tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya Dunia.
Eneo hilo linapitisha asilimia 20 tu ya mafuta duniani. Tatizo lenu mnaamini sana mambo ya vijiweni lakini hamtaki kusoma.
 
Wacha KUONGEA UPUUZI KIJANA WEWE.
Kwahiyo ukristo ambao unaruhusu ndoa za jinsia moja ndio unachafuliwa na ukristo??
Ila uislam ambao UNAKATAZA USHOGA,UNAKATAZA UTUMWA,UNAKATAZA UKAAJI UCHI,UNAKATAZA UKOLONI,UNAKATAZA RIBA,UNAKATAZA KAMARI NA UNAKATAZA DHULUMA ndio unawachafua waislam!????

Aya nipe sababu nne za kusema uislam unawachafua waislam!??
Soma tena nilicho andika...tumia akilikuelewa ..hoja zako zinaonyesha hauja tumia akili kuelewa.
 
Wacha kuzunguka jibu swali.
Swali gani ? Kwani haujui mtukufu wa daraja alikuwa ananyonya hadi nyume na vinywa vya wanaume wenzie mpaka shetani jibril analeta wahy na kusema 👉haiwi mtukufu wa daraja akunyonye mate kisha utupwe jehanamu
 
Back
Top Bottom