Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Ni lini hao waarabu wamekuja kutambua kwamba ubakaji ni kosa.
Swali gani la kipuuzi!?
Hao wanaohukumiwa kunyongwa kwa ubakaji Saudi Arabia,Oman,Iran we huwaoni!??
Au umeishiwa hoja jamaa!??
 
Hiyo ni Isis ya wapi yenye wakristo au wewe unajifanya huijui Isis. Ni kweli kabisa kwamba sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu na hilo wala halina ubishi na anayebisha ni kwa kibri chake tu.
Kama huna elimu si kheri unyamaze!??
ISIS kuna mamluki wakiyahudi kibao wanao operate Syria na kuna mwaka waliumia wakatibiwa na Netanyahu.

-Anti balaka ni magaidi wa kikatoliki ambao walianzisha uasi na vurugu Central African Republic. Hadi South Africa waliwageuka na kutoa sapoti ya kijeshi ili hao Anti Balaka wauawe.
-Haiti kuna magaidi wa the Butcherer wanaofanya ugaidi Haiti na Haiti ni wakatoliki asilimia kubwa.

Bro kama huna elimu nyamaza haufi.
 
Mbona Zanzibar kuna ma gay ya kutosha
Je Zanzibar inaruhusu ushoga!?
Jibu HAPANA hairuhusu,hivyo watu hufanya kimya kimya kwa utashi wao.
Hata Saudi Arabia mashoga wapo ila sheria hairuhusu ushoga ukikamatwa ni hukumu ya kifo.
Vatican Pope alikaribisha mashoga wazi wazi wakiwa na bendera za upinde.
Nchi nyingi za magharibi makanisa hususan ya Anglican yanabariki ndoa za mashoga na wasagaji.

Nadhani umenielewa.
 
Anzeni humu humu kuzichapa kwa niaba yao, na mkianza hakuna cha cease fire.
 
Kama huna elimu si kheri unyamaze!??
ISIS kuna mamluki wakiyahudi kibao wanao operate Syria na kuna mwaka waliumia wakatibiwa na Netanyahu.

-Anti balaka ni magaidi wa kikatoliki ambao walianzisha uasi na vurugu Central African Republic. Hadi South Africa waliwageuka na kutoa sapoti ya kijeshi ili hao Anti Balaka wauawe.
-Haiti kuna magaidi wa the Butcherer wanaofanya ugaidi Haiti na Haiti ni wakatoliki asilimia kubwa.

Bro kama huna elimu nyamaza haufi.
Nimewatumia orodha ya makundi ya kigaidi hapo lkn sijaona hao unaowasema kwenye hiyo orodha.
 
Hehehe unachekesha wewe.
Nenda kasome kuhusu anti balaka ndio urudi hapa. Shida unapenda kusoma kinachokufurahisha peke yake.
Labda nikuulize kitu,Nelson Mandela alikuwa designated kama GAIDI,je ni kweli yeye ni gaidi?
 
USA kuna wimbi la child marriage kuliko uarabuni,je unalijua hilo!???
Pia ulisema kuhusu child raping hukusema kuhusu early marriage.
Vipi ni unaanza kudata ama!?
 
Iran inakataa kuacha kurutubisha uranium hali inayoonyesha wazi kwamba nia yao ni kumiliki silaha za nyuklia kitu ambacho dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.
Mkuu kwani idhini ya kumiliki makombora ya nyuklia inatoka kwa nani na vigezo gani vinatumika nchi kupewa ruusa hiyo? Ustaarabu wa dunia ulitakiwa kuanzia kwenye kutomiliki mabomu ya nyuklia kwa taifa lolote lile ila sio baadhi wawe na haki na wengine wasiwe naye.
 
Kama huna elimu si kheri unyamaze!??
ISIS kuna mamluki wakiyahudi kibao wanao operate Syria na kuna mwaka waliumia wakatibiwa na Netanyahu.
ISIS kirefu chake ni Islamic State, kwa maelezo yako haya ISIS wanatumiwa na Israel. Nataka nikubaliane na wewe lakini lengo la IS ni kuanzisha dola ya kiislamu, waliopo ni Muslim na wanatumia Quran kuhalalisha wanachofanya

IS kama haihusiki na uislamu nilitegemea muslima dunia nzima ingekua inapinga kuhusu IS. Kama iliwezdkana kwa Charlie hebdo, salmon ruahdie n.k
Kwa nini kwenye hivi vikundi imekua ngumu kupingwa. Hapo ongezea al shabaab, boko Haram, n.k
-Anti balaka ni magaidi wa kikatoliki ambao walianzisha uasi na vurugu Central African Republic. Hadi South Africa waliwageuka na kutoa sapoti ya kijeshi ili hao Anti Balaka wauawe.
Kilichotokea kwa anti balaka nafananisha na kilichotokea kwa Hamas(ndio maana mimi huwachukulia hamas tofauti kabisa na walivyo Boko Haram, al shabab n.k)
Anti balaka kundi lilianza baada ya seleka. Seleka walikua kundi la magaidi wa kiislamu, walikua wanaua wasio wa imani yao. Ni sawa na leo hii kule Nigeria lianzishwe kundi kupambana na mauaji ya Boko Haram
Haiti kuna magaidi wa the Butcherer wanaofanya ugaidi Haiti na Haiti ni wakatoliki asilimia kubwa.
Hiyo Haiti kuwa nchi yenye wakatoliki asilimia kubwa haina maana wapo kupigania dini. Mfano: congo Kuna Makundi mengi ya waasi, je wanapigania dini? Hao waasi wanaua wasiokua wa Imani yao? Sudan asilimia 97 ni waislamu, je wanapigana sababu ya dini? Pakistani asilimia 97 ni waislamu je Makundi yanayopigana ni sababu ya dini?

Nchi fulani kuwepo vikundi vya mapigano inategema na motive yao ni ipi.

IS, Al shabab, Boko Haram hawa motive zao ni kusimamisha dola ya kiislamu. Na wanatumia maandiko ya Quran kuhalalisha hilo
 
ISIS kirefu chake ni Islamic State, kwa maelezo yako haya ISIS wanatumiwa na Israel. Nataka nikubaliane na wewe lakini lengo la IS ni kuanzisha dola ya kiislamu, waliopo ni Muslim na wanatumia Quran kuhalalisha wanachofanya
Kuna IS na kuna ISIS.
Nenda katafute kirefu cha ISIS wewe umetaja kirefu cha IS.
Nenda kafuatilie uone hao ISIS wakitibiwa ndani ya Israel na Netanyahu akiwatembelea.
Kwahiyo kila anaetumia imani ya kiislam kwa jambo fulani ni muislam?
IS kama haihusiki na uislamu nilitegemea muslima dunia nzima ingekua inapinga kuhusu IS. Kama iliwezdkana kwa Charlie hebdo, salmon ruahdie n.k
Kwa nini kwenye hivi vikundi imekua ngumu kupingwa. Hapo ongezea al shabaab, boko Haram, n.k
ISIS ilipigwa vita kama haujui kheri UNGENYAMAZA MKUU.
ISIS,PKK,Kurdi fighters wote walipigwa vita kwasababu mslahi yao ni ya kupigania taifa la KIKABILA na wala sio dini. Wakikuona wa kabila tofauti wanakuua utasemaje hao wanataka kusimamisha dola ya kiislam?? Tena wakitumia silaha za Israel na Marekani.
Iran,Syria under Bashar Al Assad wote waliwatwanga pamoja na Iraq nao pamoja na Turkiye. Tena kama Turkiye kila mara hufanya operation ndani ya mipaka ya Syria kuwapiga hao watu.
Fuatilia taarifa usiongee kama huna taarifa kamili.
Alshabaab sio kundi la kiislam,bali ni kundi la kikabila linalotaka madaraka kwa mgongo wa dini.
Ingekua ni kundi la kiislam wasingekua wanapigana na waislam wenzao maana Somalia 96% ni muslims.Unatakaje kusimamisha dola ya kiislam ambapo tayari uislam ushasimama??
Bokoharam wahuni wanaotumiwa na wakubwa kupora na kuteka kudai ransom money.Waislam mataifa kibao huwakemea labda kama hufuatilii.
Kilichotokea kwa anti balaka nafananisha na kilichotokea kwa Hamas(ndio maana mimi huwachukulia hamas tofauti kabisa na walivyo Boko Haram, al shabab n.k)
Anti balaka kundi lilianza baada ya seleka. Seleka walikua kundi la magaidi wa kiislamu, walikua wanaua wasio wa imani yao. Ni sawa na leo hii kule Nigeria lianzishwe kundi kupambana na mauaji ya Boko Haram
Hamas ni tofauti na Anti balaka. Hamas wanapigania uhuru wa nchi yao ya Palestina na uhuru wa Gaza kujitawala ambapo ndani yake kuna waislam ,wakristo na wapagani.
Anti Balaka UMEPINDISHA STORI YAKE,wao walikua wanataka kumtoa kiongozi muislam madarakani wala sio kwasababu ya Seleka. Ingekua kwasababu ya Seleka basi hata wakristo wenzenu wasingekua upande wa serikali ya rais muislam kuwaangamiza Anti Balaka. Walikua wanaua waislam nyumba hadi nyumba na wanabaka na kulawiti watu. Je HAMAS IMEFANYA HIVYO!?

Hiyo Haiti kuwa nchi yenye wakatoliki asilimia kubwa haina maana wapo kupigania dini. Mfano: congo Kuna Makundi mengi ya waasi, je wanapigania dini? Hao waasi wanaua wasiokua wa Imani yao? Sudan asilimia 97 ni waislamu, je wanapigana sababu ya dini? Pakistani asilimia 97 ni waislamu je Makundi yanayopigana ni sababu ya dini?

Nchi fulani kuwepo vikundi vya mapigano inategema na motive yao ni ipi.

IS, Al shabab, Boko Haram hawa motive zao ni kusimamisha dola ya kiislamu. Na wanatumia maandiko ya Quran kuhalalisha hilo
Inaonekana hata hayo makundi uliyotaja hapo chini huyajui na hukuyafuatilia.
-ISIS inataka kuanzisha taifa lake la kikabila,je huko ndio kupigania dini!? Tena wale wenye kabila tofauti wanauawa.
-Somalia 96% waislam na nchi yao ilikua Islamic state ikiwa na sharia law ikiwa katika jumuia ya OIC. Huyo alshabaab anataka kuanzisha nini hapo ilhali tayari dola ya kiislam imesimama? Tena akiona watu wanaoongoza nchi ni nje ya kabila lao wanawaua. Hoyo vita ya dini au ya kikabila!??

Kuhusu Haiti tulikua tunazungumzia ustaarabu kiujumla.
Jamaa yako alidai kuwa waislam pekee ndio wenye makundi ya kigaidi na ndio wanaofanya ugaidi.
Tafsiri pana ya ugaidi ni kueneza hofu na taharuki kwa kutumia nguvu kwa mlengwa wa kisiasa,maslahi binafsi au kidini.
Hao butcherer wanaeneza taharuki kwa mlengwa wa maslahi binafsi nao pia ni MAGAIDI.
Nadhani hamjui maana halisi ya UGAIDI.
 
Kuna wsislamu wenzako waliwai kuuliza hapa JE YESU ALIWAI KUINGIA KWENYE YA IBADA INAYOITWA KANISA...jibu nililo wapa waulize waislamu wenzako walio kuwa kwenye uke uzi ...awakurudi tena kuuliza ilo swali hadi sasa ..... hoja yako inajibiwa kwenye hilo jibu .. waulize kina adriz Malaria 2 Al-mukheef FaizaFoxy Covax Jagina ...wakuambie jibu nililo wapa hadi likawafanya wasiulize tena hilo swali.
 
Kwahiyo wakristo hamutumii makanisa kufanya ibada!??
Dalili ya uchizi hii!
Kuna wsislamu wenzako waliwai kuuliza hapa JE YESU ALIWAI KUINGIA KWENYE NYUMBA YA IBADA INAYOITWA KANISA...jibu nililo wapa waulize waislamu wenzako walio kuwa kwenye uke uzi ...awakurudi tena kuuliza ilo swali hadi sasa ..... hoja yako inajibiwa kwenye hilo jibu .. waulize kina adriz Malaria 2 Al-mukheef FaizaFoxy Covax Jagina ...wakuambie jibu nililo wapa hadi likawafanya wasiulize tena hilo swali.
 
Kuna wsislamu wenzako waliwai kuuliza hapa JE YESU ALIWAI KUINGIA KWENYE YA IBADA INAYOITWA KANISA...jibu nililo wapa waulize waislamu wenzako walio kuwa kwenye uke uzi ...awakurudi tena kuuliza ilo swali hadi sasa ..... hoja yako inajibiwa kwenye hilo jibu .. waulize kina adriz Malaria 2 Al-mukheef FaizaFoxy Covax Jagina ...wakuambie jibu nililo wapa hadi likawafanya wasiulize tena hilo swali.
Mimi niulize swali kama hilo kwa ajili ya nini
 
Kuna IS na kuna ISIS.
Nenda katafute kirefu cha ISIS wewe umetaja kirefu cha IS.
Nenda kafuatilie uone hao ISIS wakitibiwa ndani ya Israel na Netanyahu akiwatembelea.
Kwahiyo kila anaetumia imani ya kiislam kwa jambo fulani ni muislam?
Mkuu kwanza nikutoe hofu kuwa unajadiliana na mtu anayefatilia siasa za kimataifa usiku na mchana. Kwa hiyo naelewa vizuri maana ya ISIS. Nilipoandika IS niliandika kwa kifupi tu
Mkuu unauliza kila anayetumia Imani ya kiislamu kwa jambo fulani ni muislam? Kwani ili mtu aitwe ni muislam anatakiwa kuwaje?
ISIS ilipigwa vita kama haujui kheri UNGENYAMAZA MKUU.
ISIS,PKK,Kurdi fighters wote walipigwa vita kwasababu mslahi yao ni ya kupigania taifa la KIKABILA na wala sio dini. Wakikuona wa kabila tofauti wanakuua utasemaje hao wanataka kusimamisha dola ya kiislam?? Tena wakitumia silaha za Israel na Marekani.
Iran,Syria under Bashar Al Assad wote waliwatwanga pamoja na Iraq nao pamoja na Turkiye. Tena kama Turkiye kila mara hufanya operation ndani ya mipaka ya Syria kuwapiga hao watu.
ISIS lengo lake ni lipi? ISIS maana yake ni Islamic state in Iraq and Syria
Unafikiri sababu ISIS wanataka kuanzisha dola ya kiislamu basi nchi zote zitaubga mkono ikiwa kila mmoja anataka kusimamisha dola lake?
Pakistan ni muslim lakini unafikiri kwa nini wanashambulia Taleban ambao ni Muslim pia?
Alshabaab sio kundi la kiislam,bali ni kundi la kikabila linalotaka madaraka kwa mgongo wa dini.
Ingekua ni kundi la kiislam wasingekua wanapigana na waislam wenzao maana Somalia 96% ni muslims.Unatakaje kusimamisha dola ya kiislam ambapo tayari uislam ushasimama??
Al shabab ni kundi la kikabila sio la kiislamu? Unataka kujifanya mtoto mdogo kabisa. Al shabab wenyewe malengo yao yapo wazi
Al shabab wanataka kuitoa serikali ya Somali sababu wanaamini sio serikali halali na inafata sera za wamagharibi
Somalia kuwa na 96% ya waislamu haiwezi kuzuia Al shabab kupigana nayo.
Saudia ni Muslim lakini wanapigwa Vita na washia sababu saudia anaonekana nj kibaraka wa wamagharibi.
Bokoharam wahuni wanaotumiwa na wakubwa kupora na kuteka kudai ransom money.Waislam mataifa kibao huwakemea labda kama hufuatilii.
Boko Haram ni wahuni au ni kundi la wanamgambo wa kiislamu? Mkuu mbona kama tunafanyana watoto? Boko Haram lengo lake ni kupora kutaka pesa? Boko Haram lengo lao mbona sikubzote wanalisema wazi? Wewe kwa nini uweke lengo lingine ikiwa wao lengo lao wanaliweka wazi? Aboubakar shekau kila Mara alikua anasema wanataka nini
Anti Balaka UMEPINDISHA STORI YAKE,wao walikua wanataka kumtoa kiongozi muislam madarakani wala sio kwasababu ya Seleka. Ingekua kwasababu ya Seleka basi hata wakristo wenzenu wasingekua upande wa serikali ya rais muislam kuwaangamiza Anti Balaka. Walikua wanaua waislam nyumba hadi nyumba na wanabaka na kulawiti watu. Je HAMAS IMEFANYA HIVYO!?
Kabla ya anti balaka kuanzishwa, kulikua na seleka. Unaweza kutueleza seleka walikua wakifanya nini?
Pili huyo raisi muislamu djotodia aliingia kwa mapinduzi kupitia hili kundi lake la wanamgambo wa seleka.
Seleka waliweza kumpindua raisi bozize na wao kushika madaraka, seleka walipata support kutoka Chad na kutoka kwa janjaweed Sudan. Yale yote waliyokua wakifanya ndio yaliyokuja kuzaa hao anti balaka ambao walikua wakipambana na seleka, ndio hapo nilipokutolea mfano wa hamas kuanza baada ya yanayofanywa na Israel pale gaza
-ISIS inataka kuanzisha taifa lake la kikabila,je huko ndio kupigania dini!? Tena wale wenye kabila tofauti wanauawa.
ISIS maana yake Islamic state in Iraq and Syria. Islamic state maane yake ni taifa la kikabila? Mkuu mbona tunafanyana watoto?
Somalia 96% waislam na nchi yao ilikua Islamic state ikiwa na sharia law ikiwa katika jumuia ya OIC. Huyo alshabaab anataka kuanzisha nini hapo ilhali tayari dola ya kiislam imesimama? Tena akiona watu wanaoongoza nchi ni nje ya kabila lao wanawaua. Hoyo vita ya dini au ya kikabila!??
Huko kote nimekuuliza uliwahi kuwasikiliza Al shabab wenyewe wakisema malengo yao? Ina maana wewe hujawahi kuwasikia Al shabab wakotaja malengo yao?
Al shabab wanapambana na serikali ya Somalia sababu wanaamini haifuati misingi ya kiislamu, wanaamini Somalia inafata misimamo ya kimagharibi ndio maana wanataka kuitoa madarakani

Taleban kwa nini walipambana kushika serikali ikiwa serikali ya Afghanistan ilikua ya kiislamu? Au unataka kusema pia Taleban sio waislamu?
 
Maafisa wawili wa Marekani wamekiambia chombo cha habari cha Reuters, kuwa Jeshi la Marekani linajiandaa kwa uwezekano wa operesheni endelevu za wiki moja dhidi ya Iran ikiwa Rais Donald Trump ataamuru shambulio.

Ufichuzi huo wa maafisa hao, ambao walizungumza kwa sharti la kutotajwa majina kutokana na hali nyeti ya mipango hiyo, unaongeza hatari kwa diplomasia inayoendelea kati ya Marekani na Iran.

Wajumbe wa Marekani Steve Witkoff na Jared Kushner watafanya mazungumzo na Iran siku ya Jumanne mjini Geneva , huku wawakilishi kutoka Oman wakihudumu kama wapatanishi.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio alionya siku ya Jumamosi kwamba ingawa upendeleo wa Trump ulikuwa kufikia makubaliano na Tehran, "hilo ni gumu sana kufanya."

Maafisa wa Marekani walisema Ijumaa kwamba Pentagon ilikuwa ikituma meli ya ziada ya kubeba ndege Mashariki ya Kati, na kuongeza maelfu ya wanajeshi zaidi pamoja na ndege za kivita, ndege za kivita za kuangamiza makombora yanayoongozwa na nguvu nyingine za moto zinazoweza kufanya mashambulizi na kujilinda dhidi yao.

Trump, akizungumza na wanajeshi wa Marekani siku ya Ijumaa katika kambi moja huko North Carolina, alielezea waziwazi uwezekano wa mabadiliko ya utawala nchini Iran, akisema "inaonekana kama hilo ndilo jambo bora zaidi linaloweza kutokea." Alikataa kushiriki ni nani alitaka kuichukua Iran, lakini akasema "kuna watu."

Kwa muda mrefu Trump amekuwa akitoa maoni yake kuhusu kutuma wanajeshi wa ardhini nchini Iran, akisema mwaka jana "jambo la mwisho unalotaka kufanya ni vikosi vya ardhini," na aina za vikosi vya Marekani vilivyoko Mashariki ya Kati hadi sasa vinapendekeza chaguzi za mashambulizi hasa ya vikosi vya anga na majini. Nchini Venezuela, Trump alionyesha nia ya kutegemea pia vikosi maalum vya operesheni kumkamata rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro, katika uvamizi mwezi uliopita.
Tena huyo gaidi na mtekaji

marekan
US akigusa Iran ndio asahau hizo Carriers zake zitakuwa ni history na Base zake zitakuwa ni history hivyo hivyo
Tena iran anasubili tu huyo gaidi na mtekaji marekan ajichanganye ndio atakapojua iran sio Venezuela,libya wala iraq safari hii atapigwa kama ngoma😃😃
 
Mkuu kwani idhini ya kumiliki makombora ya nyuklia inatoka kwa nani na vigezo gani vinatumika nchi kupewa ruusa hiyo? Ustaarabu wa dunia ulitakiwa kuanzia kwenye kutomiliki mabomu ya nyuklia kwa taifa lolote lile ila sio baadhi wawe na haki na wengine wasiwe naye.
Tatizo lililopo ni kwamba toka mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979 kufanyika Iran iliapa kwamba hakuna taifa duniani inayoitwa Israel.

Hivyo ikaapa kwamba kuna siku lazima itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia sera ambayo bado wanaishikilia hadi leo hii.

Sasa kwa muktadha huo dunia ya wastaarabu kamwe hawawezi kuiachia Iran imiliki silaha za nyuklia kwani yeye anataka amiliki silaha za nyuklia ili waiangamize taifa la Israel.
 
USA kuna wimbi la child marriage kuliko uarabuni,je unalijua hilo!???
Pia ulisema kuhusu child raping hukusema kuhusu early marriage.
Vipi ni unaanza kudata ama!?
Lete ushahidi wa Child Marriage in the US.
 
Back
Top Bottom