Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Hata kwa magaidi wa Hezbollah mlikuwa mnabwabwaja hivyo hivyo!!
Kwani Hezbullah imeshindwa we subiri kikinuka huko kati ya Iran na USA ndio utagundua Hezbullah wako vile vile. Utaona Missiles zikitokea Lebanon zikutua Tela Aviv
 
Hezbollah sasa hivi anapigwa kama Ngoma wala hawezi tena na anaogopa hata tu kurusha jiwe Israel Hezbollah mliokuwa mnawaramba makalio sasa hivi ha wapo hata Bwana wao Iran akianza Kuchamba hawawezi kufurukuta walishatenguliwa kiuno na majeshi hodari ya Israel na sasa hivi wanachechemea!!!
 
Hezbullah wapo we subiri utaona majibu yao ngojea kinuke huko ndio mtagundua ukweli. Hezbullah ni serekali ya Lebanon iliopandikizwa na USA, ndio inamzuia asijibu lakini wameisha sema wazi akiguswa Iran hawata sicilia ujinga wa serekali ya Lebanon
 
Aingie asiingie hainihusu
Haya ni maneno ya Yesu kwa wafuasi wake yafanyie tasmini kwa kutumia akili kisha tumia fafanuzi nilizo zieleza kwenu hapa. Je ni maneno ya mwanadamu au mtume au nabii kwa wafuasi wake ? Je mtume au nabii ni Mfalme mbinguni ? Je mbinguni kuna wafalme wangapi ? ..je mbona huyo Yesu anasema na kutajwa na manabii wa kale kuwa ni Mfalme? Je aliwai kuwa Mfalme duniani wakati anaishi ? Je ufalme wake upo mbinguni ? Je mbinguni mfalme ni mmoja au zaidi ya mmoja ? Basi tambueni kuwa YESU NI NAFSI YA MUNGU ILIYO JIGEUZA KUWA MFANO WA MWANADAMU 👇.. Swali....kama ni hivyo je Muhammad ni nani ?hata ajiinue juu ya Mfalme wa mbinguni.... adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina OHB11 Al-mukheef 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20251215-223950_Biblia Takatifu (Swahili Bible).jpg
    Screenshot_20251215-223950_Biblia Takatifu (Swahili Bible).jpg
    133.4 KB · Views: 8
Mkuu kwanza nikutoe hofu kuwa unajadiliana na mtu anayefatilia siasa za kimataifa usiku na mchana. Kwa hiyo naelewa vizuri maana ya ISIS. Nilipoandika IS niliandika kwa kifupi tu
Mkuu unauliza kila anayetumia Imani ya kiislamu kwa jambo fulani ni muislam? Kwani ili mtu aitwe ni muislam anatakiwa kuwaje?
Muislam ni yule anayefuata maamrisho ya dini sio mikakati ya kiitikadi. Kuna makundi kibao yanajinasibisha na uislam ila SIO WAISLAM.Na wapo wanaotumia uislam kwa maslahi ama itikadi zao binafsi.
ISIS lengo lake ni lipi? ISIS maana yake ni Islamic state in Iraq and Syria
Unafikiri sababu ISIS wanataka kuanzisha dola ya kiislamu basi nchi zote zitaubga mkono ikiwa kila mmoja anataka kusimamisha dola lake?
Pakistan ni muslim lakini unafikiri kwa nini wanashambulia Taleban ambao ni Muslim pia?
Come one don't be that foolish.
UISLAM UNAANGALIA KABILA!?
Nilikuuliza kule juu kwanini hao ISIS wao huvamia makabila pasi na kuangalia dini!??
Aya niambie,hapo linapiganiwa kabila au dini!?
Al shabab ni kundi la kikabila sio la kiislamu? Unataka kujifanya mtoto mdogo kabisa. Al shabab wenyewe malengo yao yapo wazi
Al shabab wanataka kuitoa serikali ya Somali sababu wanaamini sio serikali halali na inafata sera za wamagharibi
Somalia kuwa na 96% ya waislamu haiwezi kuzuia Al shabab kupigana nayo.
Bro we mtu mzima wacha kuwa kama mtoto mdogo.
SOMALIA NI NCHI YA KIISLAM NA SOMALIA INAENDESHWA KWA SHARIA LAW. UISLAM GANI HAPO WANAOPIGANIA ALSHABAAB?
Na kama wanapigania uislam kwanini wawalenge watu wa kabila moja tuu!?
Na kwanini wanaweka masharti anayetawala anatakiwa awe kabila lao pekee!??
Tusibishane vitu vya kitoto ilhali mambo yapo wazi mzee.
Unasema unapigania dola ya kiislam mbona ishasimama?
Unasema unapigania dola ya kiislam mbona unataka watakaotawala hiyo dola wawe kabila lako peke yake!??
Vita za Somalia za KIKABILA PERIOD..
Unasemea Pakistan kuwapiga Taliban. Hilo si liko wazi hizo ni geopolitical reasons!??
Pakistani KIITIKADI hawaendani na Taliban. Unategemea wasipigane?
Saudia ni Muslim lakini wanapigwa Vita na washia sababu saudia anaonekana nj kibaraka wa wamagharibi.
Mashia hawajawahi kuwapiga vita Saudia,ACHA UONGO. Anayewapiga vita washia (IRAN) ni Saudi Arabia kwa kudai wao ni shia hawaendani na itikadi kuu ya uislam. Jambo ambalo ukilitizama limekaa kisiasa za kikanda kuliko kidini.Kwasababu Iraq ni Sunni na wanawaunga mkono Iran Shia.
Boko Haram ni wahuni au ni kundi la wanamgambo wa kiislamu? Mkuu mbona kama tunafanyana watoto? Boko Haram lengo lake ni kupora kutaka pesa? Boko Haram lengo lao mbona sikubzote wanalisema wazi? Wewe kwa nini uweke lengo lingine ikiwa wao lengo lao wanaliweka wazi? Aboubakar shekau kila Mara alikua anasema wanataka nini
Kwahiyo weee bro mtu akanya hapo akakwambia huo ni mkojo sio mavi wewe utaamini kisa intention yake ya kuita mavi ni mkojo!??
-Kwanini Bokoharam wateke wanawake na wadia ransom money??
-Kwanini Bokoharam wapore mali za mifugo na pesa!?
Unaweza ukanipa majibu ya haya maswali?? Je hii ndio kupigania dini?? NASUBIRI MAJIBU HAPO.
Kabla ya anti balaka kuanzishwa, kulikua na seleka. Unaweza kutueleza seleka walikua wakifanya nini?
Pili huyo raisi muislamu djotodia aliingia kwa mapinduzi kupitia hili kundi lake la wanamgambo wa seleka.
Seleka waliweza kumpindua raisi bozize na wao kushika madaraka, seleka walipata support kutoka Chad na kutoka kwa janjaweed Sudan. Yale yote waliyokua wakifanya ndio yaliyokuja kuzaa hao anti balaka ambao walikua wakipambana na seleka, ndio hapo nilipokutolea mfano wa hamas kuanza baada ya yanayofanywa na Israel pale gaza
Seleka walipita nyumba hadi nyumba kubaka wanawake na kulawiti wanaume kama Anti-balaka??
Seleka walipita nyumba hadi nyumba kuchinja watu wa dini tofauti hadi vichanga kama Anti-balaka??
ISIS maana yake Islamic state in Iraq and Syria. Islamic state maane yake ni taifa la kikabila? Mkuu mbona tunafanyana watoto?

Huko kote nimekuuliza uliwahi kuwasikiliza Al shabab wenyewe wakisema malengo yao? Ina maana wewe hujawahi kuwasikia Al shabab wakotaja malengo yao?
Al shabab wanapambana na serikali ya Somalia sababu wanaamini haifuati misingi ya kiislamu, wanaamini Somalia inafata misimamo ya kimagharibi ndio maana wanataka kuitoa madarakani

Nakuuliza maswali haya matatu na unipe majibu;
1. Marekani ilidai kuwa Iraq ina silaha za maangamizi je ni kweli!??
2.Marekani ilidai kuwa Gaddafi ni rais asiyependwa je ni kweli!??
3.Ni nini maana ya propaganda??
4.Misimamo ya magharibi ndio kutawala kwa Sharia law??
Bro mbona vitu viko wazi halafu unaleta UNNECESSARY maelezo!??

-SOMALIA MWAKA 1993 BAADA YA TAWALA KUU KUANGUKA ILIINGIA KWENYE CIVIL WAR. SOMALILAND IKAJITENGA NA SOMALIA YA MOGADISHU IKAWA INAISHI KWA VITA ZA KIKOO AU ZA KIKABILA.
-SOMALIA ILIKUA INATAWALIWA KWA SHARIA LAW.
-SOMALIA ILIKUA IMEJIUNGA JUMUIYA YA KIISLAM YA OIC.
-KILA SHERIA ZA KIISLAM SOMALIA ZILIKUA ZINAFUATWA.
MASWALI YANAKUJA;
1.UNASEMAJE UNAPAMBANIA DOLA YA KIISLAM ILHALI TAYARI IPO NA IMESIMAMA??
2.KAMA UNAPAMBANIA DOLA YA KIISLAM KWANINI UWEKE SHARTI ANAYETAKIWA KUTAWALA HIYO DOLA NI MTU WA KABILA LAKO PEKE YAKE!??
3.KAMA UNAPIGANIA UISLAM KWANINI UNAUA WATU WA KABILA TOFAUTI NA WEWE!??
Nakupa hint,kamtafute mtu anayeitwa KINAN WARSAME,aliyeimba nyimbo ya kombe la dunia 2010 kama sijakosea. Ni msomali aliyekimbilia Canada asa hivi ni raia wa Canada.Atakueleza Alshabaab ni watu wa aina gani. Jamaa anakwambia walikua wakiulizwa mitaani,"wewe kabila gani" ukitaja kabila tofauti na la Alshabaab unapigwa risasi.Tena siku hiyo alikua akitoka shule yeye na wenzake wanne wadogo kabisa. Watatu walikula shaba wao wawili wakafanikiwa kukimbia. Hapo ndio inapiganiwa dini hapo!???

WEWE UNATAKA KUONGEA UTUMBO GANI BANA BRO!??

Taleban kwa nini walipambana kushika serikali ikiwa serikali ya Afghanistan ilikua ya kiislamu? Au unataka kusema pia Taleban sio waislamu?
Mbona maswali ya kitoto haya!??
Kafuatilie kwanza Taliban ilianzia wapi.
Hili si ndio kundi la mujaheddin lililoanzishwa na kina Clinton ili kupigana dhidi ya USSR ya Russia?
Na wakapewa sapoti ya Uingereza na Marekani ya kijeshi. Pia waliahidiwa madaraka.
Hapa tu hujajua kama hawa MOTIVES YAO NI AUTHORITY SIO UISLAM??
Vitu vingine vipo wazi ila tunapenda kujitia upofu na kulazimisha hoja.

Nilichokugundua kaka wewe unapenda kuamini kile ulichokisoma na si tofauti na hivyo.
 
Tatizo lililopo ni kwamba toka mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979 kufanyika Iran iliapa kwamba hakuna taifa duniani inayoitwa Israel.

Hivyo ikaapa kwamba kuna siku lazima itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia sera ambayo bado wanaishikilia hadi leo hii.

Sasa kwa muktadha huo dunia ya wastaarabu kamwe hawawezi kuiachia Iran imiliki silaha za nyuklia kwani yeye anataka amiliki silaha za nyuklia ili waiangamize taifa la Israel.
Israel na Iran zilikua marafiki hadi kufikia 1995.
Vita ya Iran dhidi ya Iraq Israel ilimsaidia Iran kwa intelijensia na silaha mwanzo hadi mwisho wa vita.
Uhasama ulianza 1990s Iran alipoanza kujitegemea kisilaha na kwa nishati ya nuclear.
Hapa Netanyahu alikua akienda Washington kila mara akipeleka ushahidi feki wa Iran kumiliki nuclear.

Iran ndipo ilipoanza kumchukulia Israel na yeye kuwa ni adui.
Na Iran iliweka wazi kupitia Supreme leader wao kama wangetaka kumiliki silaha za nuke wangeshamiliki muda sana. Ila hawataki na hawana huo mpango.
Wana mahandaki ya makombora ambayo wangeweza kuundia mabomu huko na kuyafanyia testing.

Jordan ni rafiki wa Israel,ila siku wakishatangaza kujitegemea kwa uundaji silaha wataitwa tishio na magaidi.
Uturuki amekua swahiba wa Israel mara nyingi pia amemsaidia intelijensia mara nyingi,ila ameshaanza kumsakama kuwa yeye ni tishio kama Iran.

Huwa nakusisitizaga sana ndugu yangu SOMA NA FUATILIA MAMBO ila huwa hutakagi.
 
Kuna wsislamu wenzako waliwai kuuliza hapa JE YESU ALIWAI KUINGIA KWENYE NYUMBA YA IBADA INAYOITWA KANISA...jibu nililo wapa waulize waislamu wenzako walio kuwa kwenye uke uzi ...awakurudi tena kuuliza ilo swali hadi sasa ..... hoja yako inajibiwa kwenye hilo jibu .. waulize kina adriz Malaria 2 Al-mukheef FaizaFoxy Covax Jagina ...wakuambie jibu nililo wapa hadi likawafanya wasiulize tena hilo swali.
Nijibu wewe wacha kuzunguka zunguka.
Kama huna jibu stahiki basi piga kimya.
 
Israel na Iran zilikua marafiki hadi kufikia 1995.
Vita ya Iran dhidi ya Iraq Israel ilimsaidia Iran kwa intelijensia na silaha mwanzo hadi mwisho wa vita.
Uhasama ulianza 1990s Iran alipoanza kujitegemea kisilaha na kwa nishati ya nuclear.
Hapa Netanyahu alikua akienda Washington kila mara akipeleka ushahidi feki wa Iran kumiliki nuclear.

Iran ndipo ilipoanza kumchukulia Israel na yeye kuwa ni adui.
Na Iran iliweka wazi kupitia Supreme leader wao kama wangetaka kumiliki silaha za nuke wangeshamiliki muda sana. Ila hawataki na hawana huo mpango.
Wana mahandaki ya makombora ambayo wangeweza kuundia mabomu huko na kuyafanyia testing.

Jordan ni rafiki wa Israel,ila siku wakishatangaza kujitegemea kwa uundaji silaha wataitwa tishio na magaidi.
Uturuki amekua swahiba wa Israel mara nyingi pia amemsaidia intelijensia mara nyingi,ila ameshaanza kumsakama kuwa yeye ni tishio kama Iran.

Huwa nakusisitizaga sana ndugu yangu SOMA NA FUATILIA MAMBO ila huwa hutakagi.
Wewe unaongea tu kama uko kwenye kijiwe cha kahawa.

Haya ni maneno ya Yesu kwa wafuasi wake yafanyie tasmini kwa kutumia akili kisha tumia fafanuzi nilizo zieleza kwenu hapa. Je ni maneno ya mwanadamu au mtume au nabii kwa wafuasi wake ? Je mtume au nabii ni Mfalme mbinguni ? Je mbinguni kuna wafalme wangapi ? ..je mbona huyo Yesu anasema na kutajwa na manabii wa kale kuwa ni Mfalme? Je aliwai kuwa Mfalme duniani wakati anaishi ? Je ufalme wake upo mbinguni ? Je mbinguni mfalme ni mmoja au zaidi ya mmoja ? Basi tambueni kuwa YESU NI NAFSI YA MUNGU ILIYO JIGEUZA KUWA MFANO WA MWANADAMU 👇.. Swali....kama ni hivyo je Muhammad ni nani ?hata ajiinue juu ya Mfalme wa mbinguni.... adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina OHB11 Al-mukheef 👇

Yesu Kuitwa “Mfalme” hakumfanyi awe Mungu. Katika Biblia hata Daudi aliitwa mfalme, lakini hakuwa Mungu.

Yesu mwenyewe alisema: “Baba ni mkuu kuliko mimi.” Kama Baba ni mkuu kuliko yeye, basi yeye si Mungu Mkuu.

Katika Qurani Yesu ni Masihi na Mtume , lakini si Mungu. Mungu ni Mmoja, habadiliki kuwa mwanadamu.

Muhammad ni Mtume wa Mungu, hakuwahi kujidai kuwa Mungu wala Mfalme wa mbinguni.

Hoja ni rahisi: Mungu ni mmoja, hana anayemzidi wala anayelingana naye.
 
Muislam ni yule anayefuata maamrisho ya dini sio mikakati ya kiitikadi. Kuna makundi kibao yanajinasibisha na uislam ila SIO WAISLAM.Na wapo wanaotumia uislam kwa maslahi ama itikadi zao binafsi.
Muislam ni yule anayefuata maamrisho ya dini? Hayo maamrisho yamewekwa kwenye Quran au yapo kwnye Nini? Hili nataka kufahamu maana sijui hivyo usihisi nabishana

Come one don't be that foolish.
UISLAM UNAANGALIA KABILA!?
Nilikuuliza kule juu kwanini hao ISIS wao huvamia makabila pasi na kuangalia dini!??
Nilikuuliza neno Islamic state maana yake nini? Unawanasibisha na kabila ikiwa wao wanaitwa dola ya kiislamu. Umetoka kusema hapo juu kuwa Kuna Makundi yanatumia uislam Ila unaogopa kuinasibisha ISiS na uislam ikiwa malengo yao yapo wazi. Sijui unaogopa nini au unamuongopea nani

Bro we mtu mzima wacha kuwa kama mtoto mdogo.
SOMALIA NI NCHI YA KIISLAM NA SOMALIA INAENDESHWA KWA SHARIA LAW. UISLAM GANI HAPO WANAOPIGANIA ALSHABAAB?
Na kama wanapigania uislam kwanini wawalenge watu wa kabila moja tuu!?
Na kwanini wanaweka masharti anayetawala anatakiwa awe kabila lao pekee!??
Tusibishane vitu vya kitoto ilhali mambo yapo wazi mzee.
Unasema unapigania dola ya kiislam mbona ishasimama?
Unasema unapigania dola ya kiislam mbona unataka watakaotawala hiyo dola wawe kabila lako peke yake!??
Vita za Somalia za KIKABILA PERIOD..
Hakuna siku al shabaab wamepigana sababu ya kikabila acha kuwa muongo. Toka lini al shabab wakawa na mrengo wa kabila? Al shabaab wapo hadi watanzania na wakenya kibao.
Unaongopa kabisa eti vita ya kikabila. Acha kuwa muongo
Haya maandishi kwenye bendera yao unaelewa maana yake? Taja hapa maana yake nini alafu uone ulivyo muongo
Screenshot_20260221-141717_1.jpg

Mashia hawajawahi kuwapiga vita Saudia,ACHA UONGO. Anayewapiga vita washia (IRAN) ni Saudi Arabia kwa kudai wao ni shia hawaendani na itikadi kuu ya uislam. Jambo ambalo ukilitizama limekaa kisiasa za kikanda kuliko kidini.Kwasababu Iraq ni Sunni na wanawaunga mkono Iran Shia.
Mashia hawajawahi kuwapiga vita saudia? Wewe utakua upo usingizini
Unasema saudia na Iran imekaa kisiasa sio kidini? Toka mwanzo unaogopa sana kusema dini ikiwa ukweli unaujua
Iraq majority ni Shia, Iran majority ni Shia hili linakushangaza endapo Iraq wanaunga mkono Iran kama ulivyosema?
Kwahiyo weee bro mtu akanya hapo akakwambia huo ni mkojo sio mavi wewe utaamini kisa intention yake ya kuita mavi ni mkojo!??
-Kwanini Bokoharam wateke wanawake na wadia ransom money??
-Kwanini Bokoharam wapore mali za mifugo na pesa!?
Kwa miaka yote boko haram wameweka malengo yao wazi na wanayatekeleza kwa uwazi, inanihitaji nini kuwalewa?
Unazungumzia Boko Haram kuteka wanawake ili wapate pesa za kujiendesha, huzungumzii mauaji wanayofanya kwa wasio waislamu. Ina maana Boko Haram wanateka tu wanawake? Au wanaua pia wasio waislamu? Boko Haram kwa maeneo waayoshikilia wanafuata sharia, Boko Haram wanaswali wanafuata maamrisho ya dini yao na wanaweka wazi
Seleka walipita nyumba hadi nyumba kubaka wanawake na kulawiti wanaume kama Anti-balaka??
Seleka walipita nyumba hadi nyumba kuchinja watu wa dini tofauti hadi vichanga kama Anti-balaka??
Nilikuuliza kundi la seleka liliundwa kwa lengo gani? Hujanipa jibu
Pili nani alikuambia seleka walikua sio wauaji na wabakaji? Seleka lilikua kundi la muziki? Walikua hawabaki wala kuua?
Hata kama ndio kutumia uongo kuhalalisha utetezi basi atleast huo uongo uwe unaendana kidogo na ukweli
-SOMALIA MWAKA 1993 BAADA YA TAWALA KUU KUANGUKA ILIINGIA KWENYE CIVIL WAR. SOMALILAND IKAJITENGA NA SOMALIA YA MOGADISHU IKAWA INAISHI KWA VITA ZA KIKOO AU ZA KIKABILA.
-SOMALIA ILIKUA INATAWALIWA KWA SHARIA LAW.
-SOMALIA ILIKUA IMEJIUNGA JUMUIYA YA KIISLAM YA OIC.
-KILA SHERIA ZA KIISLAM SOMALIA ZILIKUA ZINAFUATWA.
MASWALI YANAKUJA;
1.UNASEMAJE UNAPAMBANIA DOLA YA KIISLAM ILHALI TAYARI IPO NA IMESIMAMA??
2.KAMA UNAPAMBANIA DOLA YA KIISLAM KWANINI UWEKE SHARTI ANAYETAKIWA KUTAWALA HIYO DOLA NI MTU WA KABILA LAKO PEKE
Mkuu naomba nikujuze kwa upole, usiandike comment kwa herufi kubwa. Nakuomba usiandike comment kwa herufi kubwa sababu inampa tabu msomaji kama mimi. Tumia herufi ndogo au sentence case
Pia usijadili jambo kwa jazba. Inaonekana ni mtu mwenye jazba iliyo juu
Mbona maswali ya kitoto haya!??
Kafuatilie kwanza Taliban ilianzia wapi.
Hili si ndio kundi la mujaheddin lililoanzishwa na kina Clinton ili kupigana dhidi ya USSR ya Russia?
Na wakapewa sapoti ya Uingereza na Marekani ya kijeshi. Pia waliahidiwa madaraka.
Hapa tu hujajua kama hawa MOTIVES YAO NI AUTHORITY SIO UISLAM??
Vitu vingine vipo wazi ila tunapenda kujitia upofu na kulazimisha hoja.

Nilichokugundua kaka wewe unapenda kuamini kile ulichokisoma na si tofauti na hivyo.
Nikichoona toka mwanzo hadi mwisho unakwepa ukweli kwa kuamini kuwa utakua unatetea Imani uliyonayo. Huwezi kutetea jambo kwa kuandika uongo
Taleban nao unasema ni kundi la kisiasa wakati wanaongoza serikali kwa kufuara uislam, Taleban wanafuata sharia law, alafu wewe unawatenga kuwa sio waislamu.

Ushauri wangu usitumie uongo kudefend unachoamini.
 
Haya ni maneno ya Yesu kwa wafuasi wake yafanyie tasmini kwa kutumia akili kisha tumia fafanuzi nilizo zieleza kwenu hapa. Je ni maneno ya mwanadamu au mtume au nabii kwa wafuasi wake ? Je mtume au nabii ni Mfalme mbinguni ? Je mbinguni kuna wafalme wangapi ? ..je mbona huyo Yesu anasema na kutajwa na manabii wa kale kuwa ni Mfalme? Je aliwai kuwa Mfalme duniani wakati anaishi ? Je ufalme wake upo mbinguni ? Je mbinguni mfalme ni mmoja au zaidi ya mmoja ? Basi tambueni kuwa YESU NI NAFSI YA MUNGU ILIYO JIGEUZA KUWA MFANO WA MWANADAMU 👇.. Swali....kama ni hivyo je Muhammad ni nani ?hata ajiinue juu ya Mfalme wa mbinguni.... adriz Malaria 2 FaizaFoxy Covax Jagina OHB11 Al-mukheef 👇
Soma huo mstari wa Luka 22:29 uliouleta uone unavyokusaliti
 
Muislam ni yule anayefuata maamrisho ya dini? Hayo maamrisho yamewekwa kwenye Quran au yapo kwnye Nini? Hili nataka kufahamu maana sijui hivyo usihisi nabishana

Nilikuuliza neno Islamic state maana yake nini? Unawanasibisha na kabila ikiwa wao wanaitwa dola ya kiislamu. Umetoka kusema hapo juu kuwa Kuna Makundi yanatumia uislam Ila unaogopa kuinasibisha ISiS na uislam ikiwa malengo yao yapo wazi. Sijui unaogopa nini au unamuongopea nani

Hakuna siku al shabaab wamepigana sababu ya kikabila acha kuwa muongo. Toka lini al shabab wakawa na mrengo wa kabila? Al shabaab wapo hadi watanzania na wakenya kibao.
Unaongopa kabisa eti vita ya kikabila. Acha kuwa muongo
Haya maandishi kwenye bendera yao unaelewa maana yake? Taja hapa maana yake nini alafu uone ulivyo muongo
View attachment 3546843

Mashia hawajawahi kuwapiga vita saudia? Wewe utakua upo usingizini
Unasema saudia na Iran imekaa kisiasa sio kidini? Toka mwanzo unaogopa sana kusema dini ikiwa ukweli unaujua
Iraq majority ni Shia, Iran majority ni Shia hili linakushangaza endapo Iraq wanaunga mkono Iran kama ulivyosema?

Kwa miaka yote boko haram wameweka malengo yao wazi na wanayatekeleza kwa uwazi, inanihitaji nini kuwalewa?
Unazungumzia Boko Haram kuteka wanawake ili wapate pesa za kujiendesha, huzungumzii mauaji wanayofanya kwa wasio waislamu. Ina maana Boko Haram wanateka tu wanawake? Au wanaua pia wasio waislamu? Boko Haram kwa maeneo waayoshikilia wanafuata sharia, Boko Haram wanaswali wanafuata maamrisho ya dini yao na wanaweka wazi

Nilikuuliza kundi la seleka liliundwa kwa lengo gani? Hujanipa jibu
Pili nani alikuambia seleka walikua sio wauaji na wabakaji? Seleka lilikua kundi la muziki? Walikua hawabaki wala kuua?
Hata kama ndio kutumia uongo kuhalalisha utetezi basi atleast huo uongo uwe unaendana kidogo na ukweli

Mkuu naomba nikujuze kwa upole, usiandike comment kwa herufi kubwa. Nakuomba usiandike comment kwa herufi kubwa sababu inampa tabu msomaji kama mimi. Tumia herufi ndogo au sentence case
Pia usijadili jambo kwa jazba. Inaonekana ni mtu mwenye jazba iliyo juu

Nikichoona toka mwanzo hadi mwisho unakwepa ukweli kwa kuamini kuwa utakua unatetea Imani uliyonayo. Huwezi kutetea jambo kwa kuandika uongo
Taleban nao unasema ni kundi la kisiasa wakati wanaongoza serikali kwa kufuara uislam, Taleban wanafuata sharia law, alafu wewe unawatenga kuwa sio waislamu.

Ushauri wangu usitumie uongo kudefend unachoamini.
Shida yenu mnapenda makosa ya wachache yaonekane ya Uislam au ya Waislam wote huku yale makosa ya baadhi ya Wakristo wenzenu ukiyakana kuwa hayahusiki na nyinyi kwa nguvu zote
 
Hii vita itaathiri sana Dunia na sijaelewa kwa nini USA kaamua kuingia Iran au kachunguza kajua hana la kufanya tena mimi nawaona hao jamaa wana madhara sana sana..
 
Tatizo lililopo ni kwamba toka mapinduzi ya Iran ya mwaka 1979 kufanyika Iran iliapa kwamba hakuna taifa duniani inayoitwa Israel.

Hivyo ikaapa kwamba kuna siku lazima itaifuta Israel kwenye ramani ya dunia sera ambayo bado wanaishikilia hadi leo hii.

Sasa kwa muktadha huo dunia ya wastaarabu kamwe hawawezi kuiachia Iran imiliki silaha za nyuklia kwani yeye anataka amiliki silaha za nyuklia ili waiangamize taifa la Israel.
Na anachokifanya Israel pale Gaza dunia ya wastaarabu imeridhia au ni kitu sahihi?
 
Shida yenu mnapenda makosa ya wachache yaonekane ya Uislam au ya Waislam wote huku yale makosa ya baadhi ya Wakristo wenzenu ukiyakana kuwa hayahusiki na nyinyi kwa nguvu zote
Wapi niliposema makosa ya waislamu wachache ni makosa ya wote?
Sheikh akibaka hawajabaka waislamu wote

Padre akibaka hawajabaka wakristo wote

Hoja zangu zilikua kwenye hao wanaofanya makosa kutumia Quran kuhalalisha wanachofanya. Natumai umenielewa
 
Na anachokifanya Israel pale Gaza dunia ya wastaarabu imeridhia au ni kitu sahihi?
Israel wanapigania ardhi yao na wale wanaojiita wapalestina ni watu waliotoka kwenye mataifa mbalimbali ya kiarabu na wanatakiwa warejee kwenye mataifa hayo.
 
Back
Top Bottom