Only 12%.Na pale Kwa muyemeni inapita asilimia ngapi
Only 12%.Na pale Kwa muyemeni inapita asilimia ngapi
Mimi natumia mobile zaidi kuna wakati dole gumba linabonyeza sehemu ingine wakati na type.Sasa wewe shehe, ili ujue kuandika vizuri basi ukitoka madrasa unaenda na kwenye shule za elimu dunia kujifunza kuandika.
Lete ushahidi wa Qur'an ama hadith swahihi wa unachosema!??Swali gani ? Kwani haujui mtukufu wa daraja alikuwa ananyonya hadi nyume na vinywa vya wanaume wenzie mpaka shetani jibril analeta wahy na kusema 👉haiwi mtukufu wa daraja akunyonye mate kisha utupwe jehanamu
Marekani wana silaha za nyuklia kitambo. Wanajua wenzao wakiwa nazo pia ni hatari na hawatakuwa na nguvu ya kuanzisha vita kwasababu na wao (US) Watapigwa kama kawaida.Kuna kitu kinachorwa na matokeo yake tutayafahamu kabla ya mwezi wa nne mwaka huu.
Iran inakataa kuacha kurutubisha uranium hali inayoonyesha wazi kwamba nia yao ni kumiliki silaha za nyuklia kitu ambacho dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.
Pili Iran inakataa kufanya mazungumzo yanayohusu kupunguza masafa ya makombora na tatu inakataa kukoma kufadhili magenge ya kigaidi.
Kwa mantiki hiyo basi Iran inapoteza tu muda kwenye hayo mazungumzo ili ipate muda wa kujiandaa kukabiliana na mashambulizi makali ya Marekani.
Dunia ya Wastaarabu ni ipi?dunia ya wastaarabu haiwezi kukubali katu.
Ni yetu sisi bila wao.Dunia ya Wastaarabu ni ipi?
Marekani atakuwaje mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani wakati magaidi wenyewe ni waislamu sasa kwa nini wakubali kufadhiliwa na kafiri kufanya uovu?Marekani wana silaha za nyuklia kitambo. Wanajua wenzao wakiwa nazo pia ni hatari na hawatakuwa na nguvu ya kuanzisha vita kwasababu na wao (US) Watapigwa kama kawaida.
Muhuni wa kwanza dunia hii ni Marekani na ndiye mfadhili mkuu wa ugaidi. Iran anachofanya ni kumwaga mboga kwasababu marekani anamwaga ugali.
Wastaarabu ambao wameanzisha vita za dunia?Ni yetu sisi bila wao.
Wacha kuropoka maana hakutakusaidia.Marekani atakuwaje mfadhili mkubwa wa ugaidi duniani wakati magaidi wenyewe ni waislamu sasa kwa nini wakubali kufadhiliwa na kafiri kufanya uovu?
Ugaidi ni ibada kwa waarabu na ni mkakati wao wa kisasa wanaoutumia kueneza imani yao, zamani walitumia jambia na leo wanatumia ugaidi.
Hakuna serikali inayoshinikiza ushoga duniani bali hayo ni mambo ya watu binafsi sawa na kwamba hakuna nchi yoyote ya kiarabu inayoshinikiza ubakaji wa watoto wadogo.Wastaarabu ambao wameanzisha vita za dunia?
Wastaarabu wanaolazimisha USHOGA NA USAGAJI KUTAMBULIKA KISHERIA??
Wastaarabu waliokaa chini na kugawana Afrika ili waitawale kikoloni??
Wastaarabu ambao wamefanya mauaji kisa kudhamini uchimbaji haramu wa madini Congo DR na nchi zingine za Afrika!??
Wastaarabu ambao hufanyia majaribio ya silaha za maangamizi nchi za watu!??
Basi utakua umechanganyikiwa wewe na hao unaowafuata kuwa wastaarabu.
Usijitoe akili kijana.Hakuna serikali inayoshinikiza ushoga duniani bali hayo ni mambo ya watu binafsi sawa na kwamba hakuna nchi yoyote ya kiarabu inayoshinikiza ubakaji wa watoto wadogo.
Sisi ni nani?Ni yetu sisi bila wao.
Upo sahihi kabisa.Wengi wetu leo tunashabikia vita mashariki ya kati, lakini madhara ya vita vya eneo hilo yatakuwa makali Afrika nzima.
Vita dhidi ya Iran haitakuwa sawa na vita dhidi ya Iraq.
Eneo ambalo linaenda kuwashwa moto ndiyo njia inayotegemewa kupitisha mafuta karibu yote ya Dunia.
Tuweke ushabiki pembeni kwa maslahi ya Dunia.
Ni wananchi.Sisi ni nani?
Ni lini hao waarabu wamekuja kutambua kwamba ubakaji ni kosa.Usijitoe akili kijana.
David Cameron waziri mkuu wa zamani wa Uingereza nyakati za miaka ya 2010 alishinikiza kutambulika ushoga na walitishia kutokutoa misaada kwa nchi zitakazopinga.
Huko uarabuni unaposemea ukikutwa na kesi ya kubaka mtoto ni hukumu ya kunyongwa.
Obama alikuja akashinikiza ushoga kasoro Trump ila alipoingia Biden akashinikiza vile vile hadi nyumba za ibada makanisani na misikitini watambue mahusiano ya jinsia moja.
Unaongea na mtu anaejitambua be careful and very keen.
Hiyo ni Isis ya wapi yenye wakristo au wewe unajifanya huijui Isis. Ni kweli kabisa kwamba sio kila muislam ni gaidi ila kila gaidi ni muislamu na hilo wala halina ubishi na anayebisha ni kwa kibri chake tu.Wacha kuropoka maana hakutakusaidia.
ISIS wengi mule wakristo na mamluki wa nje kuliko waarabu.
Marekani anaunda vikundi ili vipigane kwa maslahi yake baadae vikimgeuka anavipachika jina la magaidi. Al qaeda,IS,Taleban vyote vimeundwa kwa pesa ya USA. Ila walipomgeuka na kutaka kushika wao madaraka akawapa jina la magaidi.
Unasema ni mkakati wa kueneza uislam,Je Lebanon wakristo wangesalia ilhali kundi lenye nguvu ni la kiislam la Hizbollah??
Hujui kama Lebanon rais lazima awe mkristo??
Kama ingekua tunapinga dini zingine Hizbollah wangekubali!?
Palestina,Syria na Jordan kuna makanisa ya umri wa miaka 300 hadi 600 na yanatunzwa.
Si waislam wangeyabomoa!??
UWE NA HAYA WAKATI MWINGINE KUONGEA UONGO. NAFSI PIA IKUSUTE.
Mbona Zanzibar kuna ma gay ya kutoshaWacha KUONGEA UPUUZI KIJANA WEWE.
Kwahiyo ukristo ambao unaruhusu ndoa za jinsia moja ndio unachafuliwa na ukristo??
Ila uislam ambao UNAKATAZA USHOGA,UNAKATAZA UTUMWA,UNAKATAZA UKAAJI UCHI,UNAKATAZA UKOLONI,UNAKATAZA RIBA,UNAKATAZA KAMARI NA UNAKATAZA DHULUMA ndio unawachafua waislam!????
Aya nipe sababu nne za kusema uislam unawachafua waislam!??