Jeshi la Marekani linajiandaa kwa operesheni zinazoweza kuchukua wiki kadhaa nchini Iran

Sio kila mtu anayeibuka kutumia Qur’an kuhalalisha kila kitu hata kama ni kiovu basi ni wa kumkubali na kumkubali huo ndio ujinga ila kama nyinyi mmeamua kuwakubalia hao mashoga sawa tu ni maamuzi yenu
Hoja yangu toka mwanzo ilikua sijawahi kuona waislamu wakiwapinga Al shabab na Boko Haram

Nimeona mara nyingi waislamu wakiapia kumuua salmon rushdie, au Charlie hebdo lakini kwa boko haram na Al shabab huwa mnachora mstari
 
Kutokuona kwako haimaanishi hatupingi
 
Hoja yangu toka mwanzo ilikua sijawahi kuona waislamu wakiwapinga Al shabab na Boko Haram

Nimeona mara nyingi waislamu wakiapia kumuua salmon rushdie, au Charlie hebdo lakini kwa boko haram na Al shabab huwa mnachora mstari
Hivi kwanini wakristo wengi huiunga mkono Israel hata kama ikifanya ugaidi? wakati huo Israel wanawabagua wakristo? hi imekaaje? kuna connection ipi?
 
Electric cars na renewable energies ndio solution ya haya mavita, na tayari imeanza, Trump na waarabu wana akili za miaka 50 iliyopita, mafuta is a dying business
Kamwe mafuta hayawezi kuwa dying business. Usisahau ndege zinatumia mafuta ya kerosene ambayo huchakatwa kutoka kwenye crude oil.
Heavy machineries hutumia petroleum pia.
Wewe endelea kujidanganya.
 
Hivi kwanini wakristo wengi huiunga mkono Israel hata kama ikifanya ugaidi? wakati huo Israel wanawabagua wakristo? hi imekaaje? kuna connection ipi?
Imani ni kitu kizuri alafu kuna kibaya. Wakristo wanaamini Israel ni taifa teule regardless ya huo ubaguzi unaosema.

Ukija kwenye waislamu wanawachukia Israel sababu kwenye Quran waneambiwa hao maadui zao.

Waislamu wanawapenda waarabu sababu ya Imani lakini waarabu hubagua watu weusi.

Naamini umeona mambo yalivyo?
 
Ina maana uteule huo upo kwenye taifa ama watu wake?
Kama ni watu, mbona wale ni wayahudi na hawa ni wakristo? dini mbili tofauti kabisa, maana uyahudi unaoana na uislamu zaidi kuliko ukristo hii imekaaje?
 
Waislamu hatuwachukii waisrael na wala hatuwapendi waarabu bila sababu
 
Ina maana uteule huo upo kwenye taifa ama watu wake?
Kama ni watu, mbona wale ni wayahudi na hawa ni wakristo? dini mbili tofauti kabisa, maana uyahudi unaoana na uislamu zaidi kuliko ukristo hii imekaaje?
Mkuu kusema ule ukweli mimi biblia siijui vizuri na pia Quran siijui vizuri. Nasoma kile watu wanachosema, sijui hiko kifungu kipo wapi Ila wanasema imeandikwa ni taifa teule

Ngoja niite wajuzi waje waseme ni wapi Israel imeandikwa taifa teule hamis77
 
Kamwe mafuta hayawezi kuwa dying business. Usisahau ndege zinatumia mafuta ya kerosene ambayo huchakatwa kutoka kwenye crude oil.
Heavy machineries hutumia petroleum pia.
Wewe endelea kujidanganya.
Yatakuwepo lakini sio kama level ya sasa yanavyotumika, mitambo na magari ni zaidi ya 70% ya matumizi duniani na huko ndio renewable energy inafanya damage kubwa in oil business, Aviation matumizi ni only 7% , number hazidanganyi na oil is going down 📉↘️ fast
 
Heavy machineries za migodini,viwandani hutumia mafuta. Usitegemee ulichokiandika. Pia kuna Ulaya na kuna Afrika.Afrika bado kufika huko kwenye green energy.
 
Heavy machinery especially za migodini zimeanza kuwa electrified na more efficient kuliko diesel, na Africa itakuwa electrified faster kuliko nchi zilizoendelea, check Ethiopia kwa sasa huwezi kuingiza gari za mafuta, hata Tanzania is cheaper kununua solar na kutumia kutumia generator la mafuta na ndio imeanza, go educate yourself umelala sana
 
Bro unaongea na mtu anayejielewa na anayefahamu kuhusu hivyo vifaa.
Ni mashine chache sana kubwa zilizokuwa electrified. Ila zile nzito kama crusher na mitambo mengine ya madini bado saaanaaa kuwa electrified. Bishe usibishe mashine kubwa zinazotumia mafuta zina nguvu kuliko zilizo electrified.
Pia zinapunguza running cost ya umeme.

-Magari ya umeme unayozungumzia ni GHALI hata maintanance yake ni GHALI. Na uchumi wa Afrika nchi nyingi hauruhusu. Ethiopia ndio miongoni mwa nchi zenye people behind poverty line wengi kuliko nchi yeyote East Afrika. HAWANA UWEZO WA KUNUNUA MAGARI YA UMEME KAMA UNAVYODAI HAPA. Nenda kafanye tafiti ni gari ngapi za umeme zimenunuliwa hadi sasa hapo Ethiopia. Betri ikiisha sio chini ya $ 35,000,embu ibadili kwa hela ya Birr ama Tzshillings.

USIROPOKE TU KIJANA WACHA KUROPOKA.
 
Imani ni kitu kizuri alafu kuna kibaya. Wakristo wanaamini Israel ni taifa teule regardless ya huo ubaguzi unaosema.

Ukija kwenye waislamu wanawachukia Israel sababu kwenye Quran waneambiwa hao maadui zao.

Waislamu wanawapenda waarabu sababu ya Imani lakini waarabu hubagua watu weusi.

Naamini umeona mambo yalivyo?
Dini ni uchizi

And bad enough wazungu wenyewe wanaweka wazi sana mambo haya series kama the nightfall inaongea mambo kama haya

Ila Kuna watu hawataki kujifunza still wamekaza fuvu tu
 
Back
Top Bottom