Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
3,253
Reaction score
9,736
Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.

Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa mgumu na wenye msimamo mkali, Ayatollah Khamenei na jopo lake wasingetoa nafasi wala hata kupata wazo la kukaa mezani na kufanya mazungumzo yoyote hasa kuhusu nyuklia,

Lakini viongozi wa sasa wameanza kuonekana wakiwa na msimamo tofauti kidogo, hata baada ya kujua Marekani na Israel wameweza kufuta viongozi wao karibu wote wakubwa akiwemo Ayatollah Khamnenei, na hata kumjeruji Ayatollah Motjaba wa sasa, bado wapo rational kukaa meza moja na Marekani
 
Katika malengo ya vita iliyoanza Februaru mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi na , na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.

Kwa jinsi utawala wa awali ulivyokuwa mgumu na wa msimamo mkali, Ayatollah Khamenei na jopo lake wasingetoa nafasi wala hata kupata wazo la kukaa mezani na kufanya mazungumzo yoyote kuhusu nyuklia

Inaonekana kile kilichokuwa hakiwezekani zamani, sasa kinajadiliwa kama hatua ya kawaida tu ya siasa za dunia.
Bombardment ingeendelea kwa mwaka mzima Iran ingelikuwaje?
 
Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.

Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa mgumu na wenye msimamo mkali, Ayatollah Khamenei na jopo lake wasingetoa nafasi wala hata kupata wazo la kukaa mezani na kufanya mazungumzo yoyote hasa kuhusu nyuklia,

Lakini viongozi wa sasa wameanza kuonekana wakiwa na msimamo tofauti kidogo, hata baada ya kujua Marekani na Israel wameweza kufuta viongozi wao karibu wote wakubwa akiwemo Ayatollah Khamnenei, na hata kumjeruji Ayatollah Motjaba wa sasa, bado wapo rational kukaa meza moja na Marekani
No regime change hapo,eti utawala uliopita Iran hakujabadilika kitu utawala wa Ayattolah wa kutoka ukoo uleule bado yupo,mawaziri walewale,na vuongozi wengine ni walewale safu za jeshi ndio ziliathiriwa lkn still misimamo bado ni ileile..Haya makubaliano yanambeba sana Iran kuliko Marekani mfano kwa miaka mingi Iran alikuwa na vikwazo vya masoko kwa bidhaa zske,Iran aliwekewa vikwazo vya International trade lkn mipango mipya ni kwamba hayo yote yanafutwa kuanzia siku 30 zijazo ikiwa ni pamoja na kulipwa reparation ya 300 USD billion suala ambayo mara nyingi hulipwa na yule anayepigwa vitani kama Germany kwenye World war.

Suala la Nyuklia Ayattolah alikuwa anakataza isirutubishwe kiasi ambacho itafikia uwezo wa silaha jambo ambalo lilifanyika miaka yote,lakini usichokijua kutokana na chokochoko na mashinikizo ya USA na Israel iran wakaanza kurutibisha Nyuklia kufikia kiwango cha kutengeneza silaha jambo ambalo ndio haswaa lililofanya Marekani awe mwepesi kukubali masharti ya Iran kwa makubaliano ya kukabidhiwa Uranium iliyorutubishwa..
 
Nyie wakanisa mmeishiwa hamna jipya USA angendelea vipi kupiga moboom kila sehemu alipo kuwa anarusha maboom Iran alipapiga.


Iran kiboko ya USA na Israel
 
Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.
Acha uongo mbona Ghalibaf aliyeongoza mazungumzo alishakua kamanda wa IRGC na sasa ni spika tokea Ayatollah yupo?

Hawa kuna Arraghchi, pezeshkian au mkuu wa majeshi Ahmed vahidi mbona ni wa tokea enzi hizo?

Nyie kubalini tu regime change imeshindikana
 
Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa mgumu na wenye msimamo mkali, Ayatollah Khamenei na jopo lake wasingetoa nafasi wala hata kupata wazo la kukaa mezani na kufanya mazungumzo yoyote hasa kuhusu nyuklia,
Acha uongo, kwani kipindi mnamuua Khamenei si Iran ilikua ipo kwenye mazungumzo na USA kuhusu nuclear? Au Khamenei gani aliyekataa mazungumzo? In fact mwanae ndio msimamo mkali kuliko baba yake so unachoongea hapa ni irrelevant
 
Bila shaka umejaa funza kichwani Makubiano ya mwaka 2015 ambayo Trump alijiondoa yalikuwa kati ya baba yako na marekani sio?
Kwanza makubaliano ya sasa yana faida kubwa sana kwa Iran mara mbili ya yale ya Obama.
Mbona umechukia? Polepole ndugu nani sijui!
 
Lakini viongozi wa sasa wameanza kuonekana wakiwa na msimamo tofauti kidogo, hata baada ya kujua Marekani na Israel wameweza kufuta viongozi wao karibu wote wakubwa akiwemo Ayatollah Khamnenei, na hata kumjeruji Ayatollah Motjaba wa sasa, bado wapo rational kukaa meza moja na Marekani
Sasa kwa dili kama hili ambalo linaenda kubadilisha kabisa status ya Iran hapo middle east hata Khamenei asingekataa. Hakuna kifungu hata kimoja kinaibana Iran mfano haijakataza wao kusupport Hezbollah au Houthi, inaondoa vikwazo, kupokea mabilioni ya miundombinu, sasa unakataaje
 
Nyie wakanisa mmeishiwa hamna jipya USA angendelea vipi kupiga moboom kila sehemu alipo kuwa anarusha maboom Iran alipapiga.


Iran kiboko ya USA na Israel

Iranian kutufundisha kitu kikubwa sana

Baada kumwaga Makombora ya kutosha miji ya Israel mwisho wamerusha taulo wote wawili Baba na Mwana! Mkataba huu niwazi umetoa mshindi rasmi wa Vita.

KOMBORA OYEEEEE
 

Attachments

  • Screenshot_20260309-105752.png.jpg
    Screenshot_20260309-105752.png.jpg
    84 KB · Views: 24
  • Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260309-171246_Instagram Lite.jpg
    95.5 KB · Views: 21
  • 1774978362327.jpg
    1774978362327.jpg
    111.9 KB · Views: 21
Chezea vyote lkn sio Kombora za Iranian kaaa mbali Watoto wanachezea vitufe tu wako kwao lkn miji ya Israel ikiwa zaidi ya 2000+km inawaka Moto💥💥💥💥
 

Attachments

  • 6275941-d292e055ffd4262c109bae6666be5be6.jpg
    6275941-d292e055ffd4262c109bae6666be5be6.jpg
    21 KB · Views: 21
  • 6275945-c141f1158b2439d2652ac3f79c71f265.jpg
    6275945-c141f1158b2439d2652ac3f79c71f265.jpg
    23 KB · Views: 19
  • eb4f7ebbfc8049e59c2a2ae56eba42a4.webp
    eb4f7ebbfc8049e59c2a2ae56eba42a4.webp
    33.8 KB · Views: 17
  • downloadfile(5).jpg
    downloadfile(5).jpg
    55.1 KB · Views: 17
Acha uongo mbona Ghalibaf aliyeongoza mazungumzo alishakua kamanda wa IRGC na sasa ni spika tokea Ayatollah yupo?

Hawa kuna Arraghchi, pezeshkian au mkuu wa majeshi Ahmed vahidi mbona ni wa tokea enzi hizo?

Nyie kubalini tu regime change imeshindikana
We utaweza hawa wavaa misalaba wanapenda isifia Israel na haina lolote mpaa Trump anawambia bora Israel awachie Syria wakamsaidie kupigana na Hezbullah na Trump anadai huyo kibaraka wao ndio walimuweka Syria yeye na Erdoğan afu wanakuja wajinga wanadai Bashar alikuwa dictator eti wananchi ndio wamemtoa hahaha


View: https://youtube.com/shorts/GirSCAEDLjI?si=egGLynqAkMR8NdF5
 
Kwani aliyekuwa anaendesha makubaliano ni nani kama sio khamnenei ila mtoto kama na ufumbuzi wa matatizo yote ambayo baba yake hakufikia
 
Kwani aliyekuwa anaendesha makubaliano ni nani kama sio khamnenei ila mtoto kama na ufumbuzi wa matatizo yote ambayo baba yake hakufikia

Tatizo Babake alikuwa mpole sana!!

Lkn vijana wa Iranian wenye Vitufe vyao walimwambia mzee sisi tupe miezi 3 Adui yako atakuja kwa magoti mbele yako💥💥💥☠️☠️☠️

Sasa mzee hakutaka kutumia Vita kutatua tatizo

sasa Iranian imetumia siku 40 tu leo Vikwazo vinaondoka na Pesa zinaachiwa

Wazungu wanaamini kwenye maguvu 👈
dawa tumia lugha ileile wanayoiyelewa✅️
sio Mazungumzo,❌️
 
Zaidi Trump kaficha hajasema kweli kwenye uwezo wa kuzuiya MAKOMBORA ya Iranian uko ndipo wameshindwa kabisa👈

MAKOMBORA ya Iranian yalikuwa wanapiga popote watakapo wao!!!

Wairani walikuwa na aina nyingi za MAKOMBORA lengo kupima uwezo wa Adui yao kuzuiya MAKOMBORA yao!!!

Mfano kuna wkt Israel wanajifia kuIntercept baadhi ya MAKOMBORA ya Iranian

Kumbe Iranian ayo MAKOMBORA hayajakusudiwa kulenga lengo!!

lkn yametumwa kuzisoma Air Defense system za eneo lengwa.

Kifuatacho sasa zinakuja Kombora moja kwa moja kwenye lengo Air Defense zinasinzia kwa dkk chache kupisha tukio kwanza.👈

Baada kushapigwa 💥💥💥

Air Defense zinalejea vizuri kwenye utimamu wake!!

Kwaiyo zile Intercept zote zilikuwa O0O0 tu. kwa Iranian👈

ndiomana Iranian walikuwa wanatangaza kabisa ndani ya Israel watapiga wapi👈

na kunapigika kwa time yao.✍️
 
Back
Top Bottom