Utawala uliopita wa Iran uliofutwa na jeshi la Marekani na Israel usingeruhusu makubaliano haya, Utawala mpya umeanza kulegeza msimamo ?

Katika malengo ya vita iliyoanza February mwaka huu, Lengo mojawapo lilikuwa kubadili safu ya uongozi, na hilo limekamilika kwa kiasi kikubwa, viongozi wengi wa sasa wameshika nafasi hizo ndani ya miezi hii michache baada ya wale wa zamani kushambuliwa.

Kwa jinsi utawala uliofutwa ulivyokuwa mgumu na wenye msimamo mkali, Ayatollah Khamenei na jopo lake wasingetoa nafasi wala hata kupata wazo la kukaa mezani na kufanya mazungumzo yoyote hasa kuhusu nyuklia,

Lakini viongozi wa sasa wameanza kuonekana wakiwa na msimamo tofauti kidogo, hata baada ya kujua Marekani na Israel wameweza kufuta viongozi wao karibu wote wakubwa akiwemo Ayatollah Khamnenei, na hata kumjeruji Ayatollah Motjaba wa sasa, bado wapo rational kukaa meza moja na Marekani
Mi nana wamewaza enema kumaliza mezani, wanaokufa ni watoto wa watu mju
 
wacha basi...regime change iliyofaulu ni lbya na venevuela tu sote tumeona kilichofanyika no doubt,ila IRAN ni habari nyingine mzee kama trump mwenyewe amepiga salute wewe nani hapo
 
Back
Top Bottom