Wadau hamjamboni nyote?
Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake
Taarifa kamili hapo chini:
Hassan Ammar)
Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to...
Huu ni mtizamo binafsi na hisia za kifalsafa juu ya vitendo vya utekaji na mauaji nchini.
Kwa hulka ya mwanadamu pindi anapopata nguvu fulani iwe ya kibiashara, kisiasa, kidini, kimichezo n.k nguvu hiyo huambatana na mambo mengi ya neema kama umaarufu na kujulikana ambavyo havijawahi kutokuacha...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
🗣️Tuna macho mawili ambayo Ni macho ya uongo fake eyes, lakini pia tuna jicho moja ambalo ndiyo jicho la kweli true eyes, Hivyo tuna macho matatu lakini mawili Ni ya uongo na moja Ni la ukweli nalo siyo lingine Ila Ni lile lililopo Kati Kati yaa...
Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire.
Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa.
(1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
MTAZAMO WANGU WA KISHERIA BAADA YA KUWEPO MAWAKILI WA UTETEZI WA KESI YA UBAKAJI NA ULAWITI KWA BINTI WA YOMBO DOVYA. ITAKUWA KESI NGUMU KWA JAMHURI KUTHIBITISHA BILA SHAKA YOYOTE ILI WASHITAKIWA WATIWE HATIANI:-
1. Je, binti aliyebakwa na kulawitiwa anawatambua washitakiwa wote wanne...
Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
Nadhani sasa ifike muda Viongozi wa Simba SC muanze Kuutumia sana huu Mtandao wa JamiiForums ambapo wana Simba SC wote wenye Akili Kubwa na tunaoujua Mpira kwa Kuucheza kwa Viwango vyetu na Kuuchambua ili muwe mnachukua na kufanyia Kazi mawazo yetu.
Hivi Uongozi wa Simba SC kabisa kabisa huyu...
Sina nia yakubeza au sema vibaya ila kwa sasa ni dhahiri shahiri kiongozi wetu anashauriwa vibaya.
Tuanze na sakata la dollars kukosekana jamaa walimvika ubaya alie mwachia kiti manikins ya Mungu wakalipa mafidia na nakuachia uru sects ya fx wajanja wakakomba nakuzipeleka kusiko julikana Leo...
Gender balance
Ni mtizamo au mfumo wa kuweka usawa wa kijinsia..kwa sasa dunia ipo katika kuchukua affirmative action kuitetea jinsia kwa kuamini kuleta usawa wa kijinsia lakini inaonekana ni silaha kubwa dhidi ya watu wenye ushawishi wa kifedha,kisera/siasa au kijamii ikiwa wataenda kinyume...
Kuna vijana wengi wamejiajiri kwenye kazi ya ufundi simu Ila Kati ya 20 waweza pata mmoja tu ndo anaelewa kidogo kuhusu simu walio Baki ni kuchoma maiki tu na kubadili vioo kwani hata kubadili port ya kuchajishia wengi hawajui vizuri jinsi ya kuifanya iwe strong, sio mteja anatumia mwezi tu Ina...
Huko miaka ya nyuma viongozi walikuwa wanachaguliwa kutokana na mafunzo ya uongozi waliyo yapata kutoka katika vyuo husika,,mfano husika ni kile Chuo cha CCM Kivukoni.
Huko viongozi walikuwa wanapikwa na kuiva haswa na kuwa tayari kuihudumia jamii,walikuwa wamelelewa katika maadili ya uongozi...
Jicho langu:Tabora walinyimwa goli halali kama la Aziz Ki
Klabu ya Tabora united katika mchezo wa jana walinyimwa goli la halali katika mchezo wao waligi kuu ya NBCPL waliocheza na Simba katika Dimba la Azam Complex Chamazi na Simba kuibuka kwa ushindi wa magoli mawili.
Kwa Jicho langu la...
Kwa sasa ni Mbunge wa Nyali huko Mombasa. Kabla ya kujikuta kwenye siasa, alikuwa ni Mwandishi machachari wa habari za kichunguzi zilizokuwa zikirushwa katika kipindi kilichopata umaarufu mkubwa kilichojulukana kwa jina la JICHO PEVU, na kurushwa na moja ya vituo vya runinga nchini Kenya.
Kwa...
Wengi tunadhani ubaguzi ni wa rangi tu, hapana kuna ubaguzi wa nchi kubaguliwa bila kujali rangi zao. Mimi nataka kuongelea Tanzania tu. Nchi yetu kuna matabaka tofauti, Mswahili, mwaarabu. Indian na mpaka wasomali lakini sote ni wa Tanzania.
Kuna jambo mimi muda mrefu limekuwa linanikera sana...
Rais Samia amemtua Paul Makonda kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha baada ya kudumu kwa kipindi kifupi sana kwenye uenezi na itikadi.
Wako waliokuwa wanamaifia Makonda sana ni haki yao ila ukweli ni kwamba vigogo wa CCM na mtu yeyote mwenye upeo mkubwa walishaona Makonda anajijenga yeye kwa kupitia...
Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli?
Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi.
Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani?
Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.