Nimekuwa nikijiuliza,
Uwezo wa jicho kuona ni megapixel ngapi kama utalinganisha na kamera tunazotumka katika vifaa mbalimbali kama vile simu, ningependa kuelewa hilo.
Habari zenu wanajamii hasa kwenye hili jukwaa la afya.mimi Nina tatizo la jicho langu la kushoto mboni ya juu kutetemeka sana na inatokea mara kadhaa ndani ya dk 5. nikiongea hivyo naamini wengi washakutana na hii Hali walau mara kadhaa na wengi Huwa wanasema kutetemeka Kwa jicho la kulia Kuna...
Kwa muda wa miezi 3 sasa, jicho langu la upande wa kushoto limepoteza uwezo wake wa kuona kwa 50%. Lilianza kama ukungu, kila nilipofikicha niliendelea kuona kama kuna ukungu. Baada ya kama wiki mbili nilienda kumwona daktari. Baada ya vipimo aliniandikia dawa za vidonge. Sikumbuki jina la...
Wakuu,
Watoto ni moja ya kundi ambalo linapitia sana unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa kuwa hawawezi kujitetea kutokana na udogo wao.
Kwenye upande huu majumbani, wazazi/walezi huwa macho hasa wakiwa na mfanyakazi wa kiume, mfanyakazi akiwa wakike kunakuwa na ka uaminifu kuwa hawezi kuwafanyia...
KUWASHWA KWA KIGANJA CHA MKONO NA KUCHEZA KWA JICHO KUNAKUPA TAARIFA ITAKAYOTOKEA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nafsi yako inañamna mbalimbali za kuwasiliana na wewe(mwili wa nje) Kwa namna mbalimbali.
Namna maarufu ni pamoja na ndoto za Usiku ukiwa umelala. Hutumia ndoto kuwasiliana na...
Kwani Wewe umekuja Kanisani Kusali ( Kuabudu ) au Kumchunguza GENTAMYCINE anatoa Sadaka ipi na Kiasi gani?
Tafadhali Benki Kuu ya Tanzania ( BOT ) kama ikiwapendeza rejesheni zile Noti za Tsh 500/= na mkiweza pia bunini na za Tsh 200/= kwani mtatufichia Aibu Sisi akina Choka Mbaya ambao wakati...
Kwa wasomaji wapya, leo ni muendelezo wa sehemu ya pili ya somo la Ijue Katiba ya JMT kwa jicho la mtunga katiba. Sehemu ya kwanza wiki iliyopita ilitambulisha katiba ni nini, ni ya nani na ya kazi gani. Katiba ni mkataba wa watawala na watawaliwa ni ya wananchi na kazi yake ni kutoa maelekezo...
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa
Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola, waneibuka watu, mashirika, wanaharakati kupigia kelele kuna kesi ya uhaini, na hadi baadhi ya taasisi za...
Tunaishukuru Serikali yetu inatoa fedha nyingi sana kwa TARURA ili iendeleze barabara zetu hasa za Vijijini. Kwa mtindo wa sasa labda siyo wote unapotakiwa kupata kazi lazima utoe rushwa to the tune mpaka 4 millioni.
Ukiisha kupewa kazi kuna mgao wa Ofisi ya RM Mkoa na Ofisi ya TARURA wilaya...
Huyu mpenzi wangu simuelewi kabisa, tangu mchana leo amekuwa mkali kweli na ananiangalia kwa jicho la hasira.
Na ameanza kubadilika baada ya kuniona nakula nazi mbichi tatu, mihogo mibichi sita, na sasa namalizia karanga mbichi sado moja.
Sasa sijui, hapendi nile vitu vya asili; au anataka...
1) tukumbuke kanisa katoliki lina wasomi wengi sana tena wenye uwezo na elimu za juu sana na kikubwa zaidi wana intelligence system yenye nguvu sana kote duniani. Ukiona jambo wameshikilia msimamo ujue kuna kitu.
2) Najiuliza sana kwanini hawa DP wanakuja tu baadhi ya sheria zinataka...
Kulala huku macho yakiwa wazi huwasaidia wanyama kuwa macho dhidi ya hatari zinazoweza kutokea na kuwawezesha kujibu mapigo inapohitajika.
Ni maisha ya kuvutia ambayo huwaruhusu kupata hitaji la kupumzika na hitaji la usalama katika eneo lao.
Hawa ni baadhi ya wanyama ambao hulala jicho moja...
Alama ya dole gumba au utambulisho wa mboni yako ni utambuzi wa kibaiolojia ambao hutumika kama njia ya kumtambua mtu na kuruhusu kufikia au kufungua vitu fulani.
Ikiwa mtu au kampuni yenye nia mbaya inapata nafasi ya kufikia alama zako za utambulisho, taarifa zako binafasi kama miamala ya...
Tukumbushane kila siku mara kwa mara 24/7 kuwa wazungu hawana kitu chochote cha bure kwetu hata kimoja, kama ukiona wanakupa cha bure jiulize tena na tena na tena swali la kwanini wamenipa, kwanini sisi, wanataka nini kwako, wanataka nini kwetu kwaajili gani.
Kama ukiona deal lao ni zuri sana...
Wana Jf Salaam , bila shaka mko poa poa na weekend hii.
Kwa mda sasa nimekua nikisikia hii sherehe ya mwaka kogwa ambayo huazimishwa huko Makunduchi,
Juzi ilibidi nimpigie simu mtu anaishi huko ili nimuombe anipe picha kamili huwa ikoje, aliniambia,
1. Kabla ya siku ya kwanza ya mwaka kogwa...
Acha kabisa aisee!
Nikiwa nimepagawa na changamoto iliyokuwa inanikabili bila kujua la kufanya, nikakimbilia benki moja kuomba mkopo. Kufika pale nikamuambia afisa mikopo kuwa nahitaji m15, akaniambia m10 ni utapata lakini si hizo ulizotaka. Nikaona kheri tu itaokoa kitu tena kwa kiasi kikubwa...
Ilivyo sasa kwa hii route ya Dar es Salaam na Mwanza ni kitu sio cha kukifumbia macho.
Vijana ku bet ushindani wa mabasi ni kitu kinacho shamiri mnoo usishangae kuina vijana wamejipanga kando ya barabara misili wanasubiri msafara wa Rais.
Isack Robertson (45) mkazi wa Sombetini jijini Arusha amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Arusha akikabiliwa na kosa moja la shambulio la kudhuru mwili.
Mshitakiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo leo Jumatano Mei 31, 2023 mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo Jenipher Edward.
Katika...
Wakati wa kuhudhuria Mkutano wa G7 uliofungwa hivi karibuni mjini Hiroshima Japan, kamishna wa biashara wa Umoja wa Afrika Bw. Albert Muchanga alisema wazi mbele ya waandishi wa habari kuwa zama ya ukoloni ilikwisha, kwa sasa bara la Afrika halitaki kuwa ni chanzo tu cha maliasili kwa nchi...
Si aibu kusema kuwa watanzania tuko vulnerable linapokuja suala la ufisadi barani Afrika hasa kwa experience tunayopata awamu zote tunazopitia.
Tunavyoenda ni ukweli ulio wazi kuwa hiki kipindi ni volatile na tunahitaji jamii nzima kuwa so sensitive na mipango ya serikali. Binafsi na nadhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.