jicho

  1. Slowly

    Jicho la Mwewe: Kufukuzwa kazi kwa Balozi Mulamula ni matokeo ya ziara za Rais nchi za nje

    Rais amekuwa akisafiri kwenda nchi za nje almost non stop tangu aingie madarakani kwa connection, mafanikio ya safari hizo kuanzia mapokezi, malengo n.k yalitegemea tu namna Waziri wa Mambo ya Nje alivyoyaandaa akiwa bega kwa bega na wenyeji wa nchi husika. Mapokezi mabovu na kuonekana kama...
  2. Chizi Maarifa

    Huu utaratibu usio rasmi kwenye harusi Nyingi Bunge lilipitisha lini hii Sheria bila kutuambia?

    Nimeona ni kama utaratibu ambao hauja ainishwa rasmi ila ukienda katika harusi nyingi lazima utakuta kuna Lijishangazi, Lijidada, Lijimama mdogo moja Balaa sana. Lenye ku present utajiri wa mwanamke wa Kibantu. Hili huwa linakuwa mbele ya msafara na nyuma pia wakati ndugu au maharusi wanaingia...
  3. Gladie Sephania

    SoC02 Wapiganapo tembo nyasi huumia

    Yapata majira ya jioni siku ambayo bibi yangu alirejea toka kazini akiwa na malalamiko sana na akiwa mwenye kuwaza mambo mengi yanayosumbua akilini mwake pasipo kupata ufumbuzi. Ndipo niliamua kumuita bibi yangu nakuanza kumuuliza kitu gani hasa kinamsibu 'Bibi shikamo, pole na mihangaiko ya...
Back
Top Bottom