Mwanamke Mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini Jijini Arusha mei 23 mwaka huu majira ya saa 5 usiku alipata kipigo kikali kutoka kwa mume wake ikiwa ni pamoja na kung’olewa meno mawili na kutobolewa jicho kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu...
SIASA INAHITAJI UWE NA JICHO NA PUA YA BUNDI!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hakuna somo gumu kama somo la Siasa. Sio udaktari, sio uinjinia, sio ualimu, sio uanasheria, sio ukulima. Siasa ndio somo gumu zaidi Duniani. Kwa sababu Kabla ya yote Siasa ilitangulia na Baada ya yote Siasa ndio...
Kwanza vuta picha ya tukio lenyewe kisha sikilizeni hawa vijana, wote hao; wanaoongea na mwandishi na hao wengine wanaoreact! Mkishamaliza poromosheni matusi kama kawaida yenu, nimekaa paleeeeee nayasubiri!
Habarini wadau!
Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni.
Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
Helpful and caring
Na hapo mbwa anafanya hayo yote bila expectations ya award huko peponi.
Wanyama wakifundishwa na kuwa treated vizuri, wanakuwa na umuhimu na wenye msaada zaidi kuliko hata watu.
Love is a universal language
Hello bosses and roses,
Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya.
Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
Wasaalam wanajamvi naendelea na namna maskari Eli eli, afande zawadi na mgambo ajulikanae kwa jina Samwel wanavyoharibu sifa nzuri ya jeshi la polisi wilayani Bunda.
Huyu mgambo ambaye vijana wa mjini wanamuita "Mundu" wa afande li eli kapewa mamlaka ya kutembea na pingu ambazo amekuwa...
Stend imekaa mkao mzuri tatizo kubwa ni management na administration ya stendi.
Kwa ufupi stend inamzunguluko mkubwa sana wa binadam naweza kusema movement ni 1000 men and women per minute.
Kwa wale ambao tulikuwa na maskani sana pale mtaa wa Kongo Kariakoo. Hapa Mbezi stend speed ni kubwa...
Habari,
Napenda ulizia kwa anaejua nini na dhamira ipi inayoonyesha hivi kuwa, sehemu ya jicho kwa chini. Yaani ngozi inayobeba jicho, kucheza ina ashiria nini vile na nini dhamira yake?
Mtoto wa mkazi wa Dar es Salaa, Aisha Sijavala wa, anayesoma Shule ya Msingi Olympio ya Dar es Salaam anadaiwa kupigwa hadi kupasuliwa jicho na mwalimu wake.
Taarifa za mtoto huyo kupasuliwa jicho, zimetolewa na ndugu wa familia ya Sijavala jina limehifadhiwa, ambaye alisema, tukio hilo...
Kama unajua Mpira, unajua fitina za Mpira utajua wazi kuwa Mgunda ndie anayemshauri vibaya Mbraziri ili aharibu timu, kifupi anaharibu timu kwa tamaa za muda mfupi.
Falsafa alizokujanazo Mbrazili toka mechi ya kwanza ni kasi, kutumia wachezaji wote, kufanya sub mapema sana akiona anakosea, ila...
Rais wetu, Mama Samia, kwanza tukupe hongera sana kwa kazi kubwa na inayoonekana kwa Taifa letu, hakika kazi unaimudu na unaiweza kisawa sawa.
Rais tunakuomba pamoja na juhudi zako kubwa za kujenga nchi na kuwa hudumia wananchi wote ikiwemo wafanya kazi wa umma, nikupe siri, tupia jicho kali...
Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka.
Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari:
Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
Mambo mengine (hasa mambo ya hovyo kama ushoga) ukitaka yasienee hutakiwi kuyazungumzia kabisa.
Nguvu wanayo itumia Qatar kupambana na ushoga kwenye kombe la DUNIA itafanya hata wale ambao walikuwa hawajui ushoga ni nini wawe curious kujua ni kitu GANI hicho.
Sasa hivi ushoga unatajwa mara...
Bila shaka MVIWATA Wana ajenda ya kisiasa, na Wana Wana Siasa wao ambao wanaitumia taasisi hiyo kwa malengo ya kisiasa ya kuharibu amani na utangamano.
Taasisi hii inawatumia wakulima kama chambo tu, na inajifanya kwamba ni taasisi ya wakulima, kumbe ukiiondolea blanket(lifting the veil)...
Wakuu nisiwachoshe msinichoshe...kifupi tusichoshane...
Nimeangalia matokeo ya hii sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 asee hali sio hali kwa swala zima la kimahusiano. Kama hatua za makusudi na madhubuti hazitachukuliwa kuhakikisha tunaongeza na kuwekeza kwenye kuzaa watoto wa kiume basi...
Original post and source
Shaffii source yake ikiwa hiyo ya juu.
My Take
Naelewa tatizo sio lugha ila ni kufikiria mambo katika mlengo wa njaa. Yaani inaanza njaa baadae ndio unafikiria.
Dauda na Kitenge nyie ni wazee sasa. Lindeni heshima kidogo mliyokuwa nao. Hizi nafasi kubwa wanazipata...
JICHO LA TATU!
Binadamu ameumbwa na milango mitano ya fahamu, macho, ngozi, masikio, pua na ulimi(mdomo?)Hivi vinamuwezesha kutambua yanayoendelea katika ulimwengu wa mwili!!
Ili kutambua yanayoendelea katika ulimwengu wa roho mtu anatakiwa kupata uvuvio wa jicho la tatu,hili ndilo...
Hii ni Mwaka 2013 Mzee wenger alimuona Big Benz kipindi Hicho akataka kumsajili.
Jana Big Benz katwaa Mpira wa Dhahabu...Huenda labda matajiri wa Arsenal wangekubali kile alichokua anakiona mzee wenger Jana Tungeshuhudia Mchezaji wa Arsenal Akitwaa Mpira wa Dhahabu😂😂
Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita.
Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.