Habari zenu wana JF wenzangu,
Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango...