joto

Jōtō Station (城東駅, Jōtō-eki) is a passenger railway station in the city of Maebashi, Gunma Prefecture, Japan, operated by the private railway operator Jōmō Electric Railway Company.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
  2. L

    Watoto mjini Nantong mkoani Jiangsu China wapata mafunzo yenye furaha shambani wakati wa mapumziko ya majira ya joto

    Agosti 8, 2022 watoto huko Nantong mkoani Jiangsu China walijifunza ujuzi kuhusu kilimo katika uwanja wa mazoezi wa “shamba la furaha” katika kijiji cha Hangqiao mjini Rugao. Kwenye mapumziko hayo ya majira ya joto, shamba hilo lilifunguliwa bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari, na...
  3. SoC02 Hatua stahiki dhidi ya ongezeko la joto duniani

    MBINU ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA NA TABIA YA NCHI. Mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ni tatizo linalokumba maendeleo ya katika nyanja zote kama inavyolipotiwa na vyombo mbalimbali vya habari ulimwenguni kote ambapo majanga ya vifo, ukame, njaa yamelipotiwa kutokana na...
  4. L

    Watoto wa China watembelea makumbusho katika mapumziko ya majira ya joto

    Julai 20, wanafunzi na wazazi wao walikuwa wanatazama maonyesho kwenye Jumba la Makumbusho la mji wa Yuncheng mkoani Shanxi, China. Wakati mapumziko ya majira ya joto yanakuja, Jumba la makumbusho la Yuncheng linawakaribisha wanafunzi na wazazi kulitembelea. Katika majira ya joto, majumba ya...
  5. Joto kali lasababisha vifo zaidi ya 1000 nchini Ureno

    Hali ya Joto kali imeendelea barani Ulaya ambapo inakadiriwa watu 1,063 wamefariki kutokana na hali hiyo kati ya Julai 7-18, 2022. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Ureno ambapo Nchi kiwango cha juu cha Joto kilifikia Nyuzi Joto 47C kikiwa ni cha juu zaidi Nchini humo kuwahi...
  6. UN: Mawimbi ya joto kali yataendelea kutokea hadi Mwaka 2060

    Mawimbi ya joto kali yanayoikumba Ulaya Magharibi yatazidi kujitokeza mara kwa mara hadi mwaka 2060. Kitengo cha Utabiri wa Hali ya Hewa cha Umoja wa Mataifa (UN) kimesema hilo linapaswa kuwa onyo katika harakati za binadamu kupambana na mabadiliko ya tabianchi. Aidha, Shirika la Afya Dunia...
  7. TMA: Viwango vya Joto Njombe, Iringa na Mbeya kufikia 4°C

    Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA), imesema kwamba hali ya baridi itaendelea kuwepo ambapo katika mikoa ya Njombe, Iringa na Mbeya baridi inatarajiwa kufikia viwango vya chini vya nyuzi joto 4°C. Akizungumza hii leo jijini Dar es Salaam, Mtaalam wa uchambuzi wa hali...
  8. L

    Joto kali nchini Hispania lasababisha vifo vya watu 510

    Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa na Taasisi ya Afya ya Carlos III ya Hispania, watu 510 wamefariki kutokana na wimbi la joto kali nchini Hispania. Joto kali lilianza tarehe 10 Julai, huku joto la juu zaidi nchini humo likifikia kati ya nyuzi 39 hadi 45.
  9. L

    Utalii kwenye bustani ya wanyamapori Beijing wapamba moto wakati likizo ya majira ya joto inaanza

    Wakati likizo ya majira ya joto inakuja, wazazi wengi pamoja na watoto wao wanatembelea bustani ya Wanyamapori ya Beijing, China. Kuanzia tarehe 15 Julai, wanafunzi wapatao milioni moja wa shule za msingi na sekondari mjini Beijing wameanza mapumziko yao ya majira ya joto.
  10. Joto Uingereza kufikia nyuzi joto 43C Julai 19, 2022

    Uingereza inatarajiwa kuwa na Nyuzi Joto 43C, kesho Jumanne Julai 19, 2022 ikiwa ni hali ya joto kali kuwahi kutokea katika historia ya Nchi hiyo. Mamlaka za hali ya hewa za Uingereza (MET) zimeeleza kuwa leo Jumatatu Julai 18, 2022 hali ya joto inatarajiwa kuwa Nyuzi Joto 40C. Source...
  11. Hali ya joto kali bara la Ulaya (Europe)

    Wakuu hili joto kipindi hiki ulaya ni kwanini inatokea hivyo, huku kwetu ni baridi na maeneo mengine ni baridi kali kwelikweli, Mbeya, Arusha, Moshi, Kagera, Iringa(baadhi ya maeneo), Njombe(Makete), hali ni tete. Baridi maeneo hayo ni kali mno. Hadi baadhi ya wananchi wa maeneo ya jiji la...
  12. Joto likipanda utasikia ni uchafuzi wa mazingira, baridi likizidi wanafunga midomo hawana majibu

    Habari! Kuna wakati Mimi napingana na sayansi ya mazingira. Mara nyingi hata kwenye mikutano ya kimataifa wanajadili global warming ambayo inasababishwa na shughuli za kibinadamu kama viwanda, kilimo, uvuvi n.k. Lakini kuna misimu mingine ya baridi kwa maeneo mbalimbali duniani inapita kawaida...
  13. Uingereza yatangaza hali ya hatari kwa ongezeko la viwango vya joto nchini humo

    Watabiri wa hali ya hewa wa Ofisi ya Hali ya Hewa ya Uingereza wametangaza hali ya dharura ya Kitaifa, na kutoa onyo la joto kali kwa baadhi ya maeneo nchini humo kwa Jumatatu na Jumanne wiki ijayo wakati halijoto inaweza kufikia viwango vya juu zaidi vinavyoweza kuathiri watu na miundombinu...
  14. Wanawake weusi wana joto kali sana

    Baada ya kufanya research ya kutosha Kwa kutumia sampuli zaidi ya 50 nimejiridhisha kwa 100% kuwa mademu weusi ni watamu na wana joto kali kuliko weupe. Pengine ni kwasababu ya kile tulicho fundishwa kwenye sayansi kuwa rangi nyeupe huakisi mwanga wakati nyeusi husharabu mwanga mimi sijui ila...
  15. Japan yawataka raia milioni 37 kuzima taa kukabiliana na wimbi la joto na uhaba wa umeme

    Serikali ya Japani imewataka wakazi wa Tokyo na eneo linaloizunguka kupunguza matumizi ya umeme kwa kuzima taa zisizo za lazima lakini pia watumie kiyoyozi ili kukabiliana na kuongezeka kwa joto nchini humo Shirika la Utangazaji la Umma la Japani NHK limeripoti kuwa watu 46 jijini Tokyo...
  16. L

    Wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali

    Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
  17. Elimu High School Bure; Je, tunawapa watu mashuka wakati wa joto na kuwanyima wakati wa Baridi?

    Nimeona wamesema Elimu High school itakuwa bure, ni vema na Haki, Lakini hii kuwasaidia watu elfu 70 ambazo wazazi wanaweza kujichanga na kuomba omba wakapata na kule ambapo wanadaiwa mamilioni ya Pesa na kukosa hata mikopo (Kwenye Vyuo) Hawapewi kweli kuna tija? Kwa kila mzazi kutoa elfu...
  18. Tundu laini lenye joto natapika

    Ndio ukweli wenyewe na sina tatizo la mafuta mwilini natoka naingia natoka naingia na lia kwa raha analia kwa sauti.
  19. #COVID19 Afrika Kusini yahofiwa kuwa na Wimbi la 5 la maambukizi ya Covid-19

    Waziri wa Afya wa Afrika Kusini, Dr. Joe Phaahla akizungumza na vyombo vya habari vya habari Aprili 29 asubuhi, alisema Idara ya Afya imeshuhudia ongezeko la maambukizi ya Covid-19 katika wiki mbili zilizopita, haswa katika Gauteng, Western Cape na KwaZulu-Natal. - Ameeleza kuwa nchi ilirekodi...
  20. India yaonya ongezeko la joto kalikutokana na mabadiliko ya hali ya hewa

    Idara ya Hali ya Hewa ya India (IMD) imetabiri kupanda taratibu kwa viwango vya juu vya joto kwa Centigredi 2-4 katika maeneo mengi ya kaskazini-magharibi na katikati mwa India kwa juma hili, bila kutarajia mabadiliko makubwa hapo baadae - Inaelezwa kuwa mawimbi ya joto ni ya kawaida nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…