jpm

  1. T

    Nape na January: dhihirisheni basi kwamba JPM aliwatema kimakosa!

    Mh Nape! Hatukufichi mkuu, wewe huna chochote mpaka sasa ulichosaidia wananchi kwenye wizara yako zaidi ya kuwakamua tuu kupitia vifurushi huku huduma zikiwa mbovu zaidi, Haujawahi kuwatetea hata kidogo wananchi uwapo kwenye vikao vyenu na makampuni haya ya mitandao na cha ajabu umekuwa wa...
  2. B

    Rais Samia kila akisifia mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli; Nderemo, shangwe na makofi hutawala. Hii ina maana gani?

    Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo; Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
  3. Hivi HESLB waliongeza mikopo kimya kimya kwa baadhi ya wanafunzi?

    Wakuu, kwema? Hii kitu sijaielewa naomba kueleweshwa, nimepita kwenye account ya dogo ya HESLB nimekuta kuna Additional loan ya kama laki 4 kwenye upande wa tuition fees,nimemuuliza dogo nae anaonekana kushangaa tu hajui chochote. Naomba kuuliza hawa first year waliongezewa mkopo kimya kimya...
  4. Zitto amsifia Hayati Magufuli kuleta nidhamu ya kazi kwa kipindi chake

    Mwangalie alivyomsifia kinafiki baada ya kubanwa maswali na wanahabari. Amekubali kuwa watanzania walitaka Rais dikteta tangu awali kutokana na ufisadi na uzembe kazini ila kwa unyonge sana. Zitto anaumia sana kuona watu hata hao wanahabari bado wanamuona Magufuli kama shujaa anakosa amani...
  5. CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

    Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu. Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu. Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
  6. T

    Tuhuma za wizi wa Hayati Magufuli haziniumizi, kinachoniumiza kwanini alizaliwa kwenye nchi hii?

    Ndiyo, Kinaniuma kwa sababu hasa ya waliostahili kuzaliwa hapa! Waliozaliwa kihalali katika nchi hii ndio hao walionipa kutaka nijue ni kivipi JPM azaliwe katikati yao? Na iliwezekanaje yeye JPM akubali kuzaliwa katika nchi hii ngumu ukilinganisha na aliyoifanyia hii nchi, badala yake, kwa...
  7. R

    #COVID19 Nini hasa lilikuwa kosa la Hayati Magufuli kwenye ishu ya COVID-19 ?

    Habari JF, JPM aliamini corona itaendelea kuwepo na tutaishi nayo kama yalivyo magonjwa mengine, kiuhalisia ndivyo ilivyo corona ipo na idadi ya watu waliopata chanjo ni ndogo sana na watu walishapata kinga asilia sasa hivi sio tishio tena. Lakini bado watu wakiwemo madaktari wanalaumu...
  8. P

    Hayati Magufuli huwezi kusahaulika kwa miaka mingi sana kwa Meli kubwa Ziwa Victoria

    Mwaka 1996 wakati ajali kubwa ikitokea Ziwa Victoria mimi nilikuwa Ukraine nikiwa nimemaliza mwaka wa kwanza wa lugha nikijitayarisha kuingia mwaka wa masomo. Nakumbuka namna sisi watanzania tulivyoanzisha mjadala juu ya ajali hiyo iliyoua ndugu na jamaa zetu wengi. Mwaka huu itatimia miaka 27...
  9. M

    Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

    Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini. Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu ya hayati JPM kusimama kidete. NB: Mimi siko genge lolote.
  10. Miradi mikubwa haikuanza kipindi cha Hayati Magufuli pekee

    Habari za weekend wanajukwaa Kumekuwa na kelele nyingi sana kutoka kwa wafuasi wa JPM kwamba miradi itakufa ama miradi haitofanyika sababu JPM hayupo. Na wengine wameenda mbali sana na kusema hakuna aliyewahi kufanya miradi kama ilivyofanyika awamu ya tano. Hapo chini nimeweka mifano tu ya...
  11. Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

    Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini...
  12. Fact: Magufuli destroyed our economy and we were herding to total economic depression

    Thanks God that all is well. In fact our GDP is still very low and it is as 5 times lower that that of Washington DC not speaking about the whole country. Even the low budget of roughly 3.3 trillion reflects the low GDP of this country. Now, contrary to what was expected jpm decided to launch...
  13. Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

    Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
  14. T

    Jiwe la dhahabu lilokamatwa Kenya na kurudishwa nchini kipindi cha JPM umma ulitangaziwa

    Hivi mnajua nyinyi maccm na vibaraka wa kumchafua mpigania haki na rasilimali za Tanzania kujaribu kumchafua JPM ni sawa na mtu kuweka mguu wake kwenye pango la siafu? Mtu aliyekuwa mkweli kutoka moyoni mwake, sote tunakumbuka ile skendo ya Madini yetu ambayo yalidakwa Kenya na kisha...
  15. T

    Mpaka sasa bado ni porojo tu kuhusu ufisadi wa Hayati Magufuli, CCM na wabaya wake mnafeli wapi?

    kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM mnakwama wapi? Huyu aliyekuwa mwamba wa siasa za kiuchumi na rafiki mzuri wa Watanzania wa hali ya...
  16. T

    Siasa zile za JPM, wapinzani wengi ziliwapandisha hadhi ya kisiasa huku wakiwa weupe pee!

    Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya wengi! Utawala unaotia kashikashi wapinzani, ukweli usiopingika, huufanya upinzani usikilizwe na...
  17. M

    CHADEMA mkitaka kupata kura 2025 acheni kauli za chuki kwa JPM

    Nimekuwa nikifuatilia posti nyingi hapa jamii forums zinazomuhusu aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, pia hata mitaani na kwenye vyanzo vingi vya habari ikitokea magufuli ametajwa na kiongozi yeyote kwa lengo la kumfedhehesha basi 90% ya watoa maoni watakuwa upande wa JPM. Sasa rahi yangu kwa...
  18. R

    Kuna haja ya kuanzisha somo la namna ya kumuelewa na kumuenzi Hayati Magufuli

    Habari wana JF, Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile . lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya mapato hatutegemei mpaka leo changamoto hizo ziwepo. hii ina maana watanzania wengi na viongozi...
  19. Rostam Aziz alivyoihonga CCM Channel Ten kumnusuru mdogo wake asifungwe na Hayati Magufuli

    2017 Hayati JPM anaunda timu kuhakiki mali za Chama cha mapinduzi chini ya Bashiru Ally Kakurwa. Kunagundulika matatizo katika hisa za CCM na Rostam ndani ya African Media Group. Wamiliki wa Chanel 10 na magic Fm Rostam anapigwa mkwara anakomaa. 2018 Toyota landcruiser iliyotumiwa na Nape...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…