Serikali imesema idadi ya walimu wa shule za msingi na sekondari walioajiriwa ni 8,000 pekee tofauti na 13,000 inayolalamikiwa na wadau. Katibu Mkuu,Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt Laurean Ndumbalo amefafanua kuwa katika kibali cha ajira za walimu elfu 13 alichotoa Rais...