kafara

Fidyah (Arabic: الفدية‎) and Kaffara (Arabic: كفارة‎) are religious donations made in Islam when a fast (notably in Ramadan) is missed or broken. The donations can be of food, or money, and it is used to feed those in need. They are mentioned in the Qur'an. Some organizations have online Fidyah and Kaffara options.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga mmetoa kafara gani kupata ushindi huu?

    Tukubali tu Yanga hamna hulka ya kushinda mechi ngumu kama hizi. Nilisikia mmepeleka wazee kadhaa huko kuongeza nguvu. Swali langu, ni damu gani mmemwaga kupata ushindi huu?
  2. Azam siyo timu ya kubeza, Kocha Mgunda asiwe mbuzi wa kafara

    1. Azam ni timu nzuri, siyo timu ya kuilalamika sana ikikufunga. 2. Mgunda bado anatafuta chemistry ya timu, apewe muda.
  3. Je, ni kweli kanisa la friiichachi limemtoa kafara Katibu wake ili Sasa lianze kujaa waumini?

    Kuna tetesi kwamba Kuna mtu kafa, na alikuwa Katibu wa kanisa Hilo,habari zinasema alikuwa anakula vya madhabahuni, palepale katika lango la kanisa anapopitia mchungaji. Habari zinasema ni makafara makubwa yanayotokana na masharti ya waganga wa naijeria na afrika magharibi ili kanisa like na...
  4. Video: Dogo wa miaka 15 ampeleka rafiki yake kwa mganga ili amtoe kafara ya utajiri

    Tena kafara yenyewe sio kama hizi zenu za kiswahili ya kwenda kwa mganga akwambie umtoe ndugu yako kafara ukikubali ndugu yako anaumwa tumbo anakufa la hasha ila ni kafara kama ile ya kumtoa kondoo wa sadaka yani mtolewa kafara anachinjwa damu yake ina mwagwa kwenye madhabahu ya mganga husika...
  5. Badilisha mtazamo wangu kama si kweli : Wafanyabiashara wengi wanapofilisika hugeukia ujambazi, utapeli na kafara ili kupata mitaji.

    Yaani mfanyabiashara akishaonja mafanikio ya kufikia hatua flani ni ngumu sana kukubali kushuka hasa pale anapofilisika ama biashara kwenda kombo. Ni ngumu sana kumwambia aanze kuchoma mishkaki, Never ! Kwa hali hii navyoona hapa wengi inabidi wageukie hata ujambazi na utapeli au hata kafara
  6. Awamu ya sita inavyozikwa rasmi kwa kafara la sakata la Ngorongoro

    Wakuu, Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa! Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania. Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu na tunu ya kujivunia ulimwenguni mwote. Wahusika wameamua KUTUMIA udhaifu wa serikali ya awamu hii...
  7. Yanga waligomea mechi, TFF & Bodi ya Ligi wakawachekea, Makata amekuwa mbuzi wa kafara

    Popote pale unapoenda lazima kuwe na wakubwa au watu wenye hadhi fulani zaidi ya wengine, ni kweli pia hata ‘treatment’ yao huwa inakuwa nzuri tofauti na wengine, japokuwa haitakiwi kuzidi na kuwafanya wale wa chini wajione kama wao ni takataka. Ndiyo maana ‘treatment’ ya viongozi wa Serikali...
  8. Kwa 'Kafara' Kubwa na la Hatari tulilofanya ukithubutu kwenda Kuwapokea Gendamarie kwa 'Kiherehere' chako tusilaumiane

    Wewe mwenye Chuki na Simba SC na umeshajiandaa Kuwapokea akina Gendamarie tafadhali hakikusha ukienda Uiage kabisa Familia yako na uache Maagizo Ukifa kutokana na Kafara la hali ya Juu tuliyoifanya Simba SC ambalo halitaacha Kitu chochote kile au Mnafiki yoyote yule mwenye Nia mbaya ya Kuihujumu...
  9. Mdomo umewaponza kwa kuwashutumu wengine wanatoa kafara ndugu zao

    Hakuna kitu kibaya sana kama ulimi. Usipouchunga ulimi wako utakuletea aibu, madhara kwako na kwa wengine. Hii familia imekuwa inaropoka sana wengine wakipoteza wapendwa wao tena katika mazingira ya kawaida tu ya kifo kama ajali au magonjwa. Utasikia tu eti Wamemtoa Kafara. Mtu kafa kwa...
  10. Wazazi wakataa sadaka ya kuchinja iliyotolewa na Waarabu, wakidai watoto wao watatolewa kafara

    Wazazi katika shule ya msingi Baraa iliyopo katika halmashauri ya jiji la Arusha, wamekataa sadaka ya kuchinja, Mbuzi, Kondoo na Ng'ombe zipatazo 135 zilizotolewa msaada Kwa ajili ya kitoweo cha nyama Kwa wanafunzi wa shule hiyo, wakidai msaada huo unalenga kuwatoa kafara watoto wao. Msaada huo...
  11. S

    Uchifu ni ushirikina, ukabila na kafara

    Jamii ya watanzania ilishatoka huko kwenye uchifu! Na huu upuuzi ukiendekezwa utaturudisha nyuma sana hasa kwenye baadhi ya jamii kwa kuongeza ushirikina na uchawi hivyo kupelekea mauaji kila kona ya nchi! Ukitizama nchi ya Nigeria ina matatizo mengi sana kwa kuwa inaruhusu uchifu kitu ambacho...
  12. Namna ya kuwa tajiri mwaka huu, hii biashara inalipa ni kiboko huhitaji kafara!

    Zinahitajika ngozi za nyoka wafuatao; 1- kifutu 55'' to 61'' shs 380,000/= kwa ngozi 2- sawaka 155'' to 655'' shs 200,000/= kwa ngozi 3-nyoka wa kijani(boomslang) 100'' to 155'' shs 400,000/= kwa ngozi 4- koboko 255'' to 400'' shs 600,000/= kwa ngozi 5-moma 100'' to 200'' shs 300,000/= kwa ngozi...
  13. Tukumbushane; Wakumtoa Kafara haujichagulii mwenyewe isipokuwa unachaguliwa

    KAFARA HAUJICHAGULII MWENYEWE; UNACHAGULIWA. Na, Robert Heriel Naomba tukumbushane kidogo, Ili mtu yeyote afanikiwe lazima kafara lihusike, upande wowote ule iwe Kwa upande wa Mungu au upande wa Shetani, Na Kwa wale wasioamini masuala ya Shetani na Mungu basi, tunaweza iweka iwe upo upande...
  14. M

    Kutoka Kambini Baharini: Kuna Mtu kakimbia baada ya Mganga kusema anatakiwa Yeye kwa Kafara ili Mfalme wa Nyika Afe Jumamosi

    Si ulisema kuwa huko ndiko ulikokuwa ukikupenda? Sasa mbona tokea jana unaogopa Kusogelea hiyo Kambi baada ya kuambiwa unaweza ukaondoka duniani Kikafara ili unaowapenda Washinde Jumamosi? Na Mightier nimetonywa kuwa Option ziko Mbili tu ama itafutwe Maiti ya hivi karibuni ikafukiwe Temeke...
  15. C

    Maneno ya Osama baada ya Al-Qaeda kulipua balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya

    Jamaa aliingizwa kwenye ugaidi. Baada ya kuhoji uhalali wa kuua raia katika balozi za Marekani Dar na Nairobi, ambapo waatu zaidi ya 200 waliuawa kwa sababu ya wamarekani 12, kiongozi wa Osama, alimwambia kwa itidaki yao ni pamoja na hakuna raia pale kunapokua na adui yao. Akasema "Hata hivyo...
  16. Kuna tatizo mahali kwenye nafasi ya uongozi nchi hii. Je, kafara la Lindi linahusika?

    Hakuna taifa lolote duniani lililosimama imara bila nguvu za mkuu wa anga! Kuanzia matambiko mpaka makafara na vyama vya kishetani. Hivi vyote vimejenga madhabahu zao kwenye kila ardhi ya kila taifa. Wananchi wake wana dini na imani zao lakini mataifa yamesimikwa kwenye hizi madhabahu viapo na...
  17. Maisha bila kafara hii ngoma haiendi, utaishia kusindikiza wenzako

    Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri Wakuu nimeunganisha doti za sehemu tofauti tofauti ambazo either nimefanya kazi au biashara nimegundua karibu wote wenye mafanikio wanatoa kafara kwa shetani. Mfano 1: Kuna Wachina niliwahi fanya nao kazi miaka kumi iliyopita ya barabara jamaa walikua kila hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…