CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

mkulimamiwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2025
Posts
2,591
Reaction score
5,315
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
 
Uwanja wa Amani ulindwe kwa nguvu zote.

Wasije wakauchoma kwa mikafara yao kama kule South Africa.
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
Viongozi wenu wa Simba SC wanajua kwasababu wao walipendekeza wiwanja viwili ili kimojawapo kikiwa na dosori kitumike kingine
 
Uwanja utakaofanyika mchezo wa mkondo wa pili wa kombe la mbuzi (CAFCC) baina ya mikia (simba sc) dhidi ya berkane (the orange nation) ulitangazwa na shirikisho la mpira wa miguu barani Africa mapema kabla ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa nchini Morocco kuwa ni NEW AMAAN COMPLEX visiwani Zanzibar,hili lilikuja baada ya CAF kuufungia uwanja wa B.W.M kutokana na kutokidhi vigezo vya kuandaa mechi kubwa chini ya shirikisho hilo.
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁

MBONA WEWE MWENYEWE NI KAMA MTU AMBAYE ULISHATOLEWA KAFARA.
 
Simba SC Bingwa CAFCCL 2024/2025, Hutaki hamia Burundi au andamana, This is Simba SC nguvu moja...💪.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
Una bundle ana unatumiaaa kiswaswadu hujaona majibu ya CAF Ile sio BODI ya ligi mkuu

Somaahioooooooooooooooooooooo
 
Attachments

  • Screenshot_20250519-121348.jpg
    Screenshot_20250519-121348.jpg
    271.9 KB · Views: 32
Uwanja utakaofanyika mchezo wa mkondo wa pili wa kombe la mbuzi (CAFCC) baina ya mikia (simba sc) dhidi ya berkane (the orange nation) ulitangazwa na shirikisho la mpira wa miguu barani Africa mapema kabla ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa nchini Morocco kuwa ni NEW AMAAN COMPLEX visiwani Zanzibar,hili lilikuja baada ya CAF kuufungia uwanja wa B.W.M kutokana na kutokidhi vigezo vya kuandaa mechi kubwa chini ya shirikisho hilo.
Na JANA WAMEWAJIBU BARUA YAOO
 
Viongozi wa Simba wanajua timu yao haina uwezo wa kushinda uwanjani kama mazingira yatakua fair.
Wanacho jaribu kulazimisha ni mazingira ya mechi kuchezwa kwa Mkapa ili wafanikiwe nje ya uwanja.
Pale kwa Mkapa Kuna mazindiko yao na njia zao za kupata ushindi kwa njia ovu.
CAF kuipekeka mechi Zanzibar ni kama wameamua kuchoma moto kilinge cha mganga, lazima apagawe.
 
Uwanja utakaofanyika mchezo wa mkondo wa pili wa kombe la mbuzi (CAFCC) baina ya mikia (simba sc) dhidi ya berkane (the orange nation) ulitangazwa na shirikisho la mpira wa miguu barani Africa mapema kabla ya mchezo wa mkondo wa kwanza wa nchini Morocco kuwa ni NEW AMAAN COMPLEX visiwani Zanzibar,hili lilikuja baada ya CAF kuufungia uwanja wa B.W.M kutokana na kutokidhi vigezo vya kuandaa mechi kubwa chini ya shirikisho hilo.
Huku ni kulazimishana kuosoma namba
 
Hata Wachague Uwanja Gani Kolo Hawezi Kutoboa.

Simba Sc Bado Timu Unayohitaji Kujijenga Hata Hapo Hapo Kwa Mkapa Wataishia Kuona Kombe Linaondoka Na Kwenda Morocco
 
Back
Top Bottom