CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

Two wrongs don't make a right.

Orlando kufanya ushirikina hakufanyi ushirikina wa Simba uwe jambo zuri.
Nyie yanga ndio washirikina waandamizi kwenye mpira wa bongo ndio maana kwenye kila mechi ya derby huwa mnapitia mlango wa nyuma, najua utasema mnafanya hivyo ili kutegua ushirikina wa simba lakini hata ikiwa ninyi ndio mko nyumbani na ndio wenyeji wa mchezo bado mnapitia mlango wa nyuma, sasa kwa kuwa ninyi hadi leo mnaamini katika ushirikina basi mnadhani hadi simba nao bado wanaendeleza ushirikina simba washatoka huko ingekuwa ushirikina unasaidia hivyo basi wangekuwa washabeba kombe lolote la caf hadi sasa
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
Haijulikani kivipi wakati washasema mbugi inapigwa kisiwandui?
 
Back
Top Bottom