CAF, Mungu anawaona, mpaka sasa Simba hatujui ni uwanja upi tukatoe kafara zetu yaani!

Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁

1747653083937.png

TFF WAMESHAPEWA BARUA RASMI NA CAF
 
Kwahio kwa definition yako hii uliyoikopi na kupaste hapa, Simba sports club wanatoa kafara ipi na kwa nani? Leta na udhibitisho wa picha na video haswa za rohoni kuonyesha walitoa kafara flan kwa flan kati ya uliowataja hapo. ..
Si bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.
Screenshot_20250308-120214_Chrome.jpg
 
Si bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.
View attachment 3338943

We kiazi mbatata Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema ..umesema Simba wanatoa kafara,, Nimekuuliza definition ya kafara umenijibu...nmekuuliza leta udhibitisho wa picha na video kua walitoa kafara kwa flan kwa flan kulingana na definition yako ya kafara
Si bora hata mngekuwa mnatoa kafara nyie simba ni washirikina wakubwa.
View attachment 3338943
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
Kwa mkapa
 
Uwanja wa Amani ulindwe kwa nguvu zote.

Wasije wakauchoma kwa mikafara yao kama kule South Africa.
We kiazi mbatata Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
Mbona CAF walishasema kuwa utatumika uwanja wa Amaan Zanzibar, kama hamkubaliani bali msipeleke timu uwanjani
 
We kiazi mbatata Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.
Acheni ushirikina.

Chezeni mpira.
 
Wataalam wa mbilingeni tunatokaje hapa?

Ikiwa mpaka mida hii, bado haijulikani kama tutatumia uwanja upi ili tukafanye yale mambo yetu maana kafara za mbuzi zipo ila haijulikani sasa ni uwanja upi utatumika ili kazi ifanyike

Mwaka huu huwenda ni mbaya sana kwetu kama timu, maana kwa, macho ya kawaida, utafhani Mungu anatuumbua sasa

CAF utadhani wanajua mambo yetu na ndiyo maana dana dana ni nyingi mpaka leo hawajaweka msimamo rasimi wa uwanja upi kati ya Uwanja wa Taifa kwa (MKAPA) na ama Amani complex Zanzibar

Tunatokaje hapa?

ikipita siku ya leo na kesho, viwanja vyote huwa chini ya uangalizi maalumu, tutafanyeje sasa?

😁😁😁😁😁
kama vp HATUCHEZI
 
Mda mwingine ushabiki maandazi unamfanya mtu kuwa na akili kamasi,, si mlishaambiwa mechi Ni Amaan Complex? CAF watoe taarifa gani tena ? Fanyeni maandalizi mkacheze huko
 
Acheni ushirikina.

Chezeni mpia
Nimekuuliza swali kulingana na ulichosema...kafara walitoa ipi na walimtolea nani ...refer definition yako ya kafara uliyoikopi na kupaste hapa.
 
La ushirikina South Africa umelikubali?
 
Back
Top Bottom