Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.

Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.

Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.

Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
 
Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.

Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Asante sana Mwinjilist
 
Jahazi linalozama kuokolewa kwake ni mtumbwi kuzamaa.
 
Unajidanganya mwenyewe
 
Ilibidi hii itokee ili mabadiliko yaje. Hakuna njia rahisi. Ndio Maana Lissu alijitolea hadi kufa.

Yesu Alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam mauti ya msalaba.

Wafilipi 2:8-10
Ccm madaraka na pesa zimewapofusha macho Hawaoni kabisa
 
Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.

Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Rais samia ndiyo nani huyo au ndiyo ile.popopo mbili zavuka mto.
 
Tena walimvyomshikilia Lissu ndio wameharibu zaidi maana hata ambao walikuwa hawaijui no reforms no election sasa hivi wanaijua.
Mi bado sijaijua nielezee No reform No Election ni nini
 
Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.

Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Chawa wake watakwambia Samia yupo gado na Lissu hachomoki humo ndani.
 
Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.

Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Kwa vichekesho kama hivi fuatilia mada za mla kabeji huyu
 
Back
Top Bottom