Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

Tena walimvyomshikilia Lissu ndio wameharibu zaidi maana hata ambao walikuwa hawaijui no reforms no election sasa hivi wanaijua.
Kabisa mkuu, tiss, wanauwezo mdogo sana, wanampango wa kumzofisha mama
 
Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.

Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Gentleman,
upotishaji kama huu wa kupeana moyo na matumaini dhidi ya waliopoteza uelekeo, ni miongoni mwa utapeli wa kiwango cha juu sana kwa watu waliokata tamaa 🐒
 
Gentleman,
upotishaji kama huu wa kupeana moyo na matumaini dhidi ya waliopoteza uelekeo, ni miongoni mwa utapeli wa kiwango cha juu sana kwa watu waliokata tamaa 🐒
Gentleman najua ww unapiga debe I'li upitishwe kwenye ubunge, kwenye kura za maoni, ila ukweli unajua, sema njaaaa, hajakuacha salama unasariti taifa lako.
 
Jamani thinking tank ya ccm haipo? au kama ipo inawezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata lisu na kufungulia mashata ya uhaini.

Mwokoeni samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kaz HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.
Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi.
Mama sami atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.
Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Mpumbavu kweli wewe, sisi wananchi wa kusini (wenye asili orijino kabisa wa ukombozi wa nchi hii) tunasema hao viongozi wapandishwe vyeo kwa kumdhibiti huyo kibaraka.
 
Gentleman najua ww unapiga debe I'li upitishwe kwenye ubunge, kwenye kura za maoni, ila ukweli unajua, sema njaaaa, hajakuacha salama unasariti taifa lako.
Gentleman,
mimi ni automatic candidate wa CCM, sina haja ya debe kwenye kura za maoni,

In fact,
utaratibu wa kura za maoni kwa sasa ni wa kisayansi zaid, huna haja kutangatanga wala kubabaika 🐒
 
Tanzania tungekuwa ni moja ya nchi zenye sifa kubwa duniani kama hao maraisi wahalifu waislamu wasinge shika nchi....ni ngumu muislamu kuwa MZALENDO KWA TAIFA
Hatari sana Mungu saidia
 
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.

Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.

Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.

Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Swali je unaweza kufa kwa msongo wa mawazo?
 
Back
Top Bottom