Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

Hii nchi itakuja kujikuta mbeleni imedumbukia kwenye machafuko kwa ajili ya mifumo kulinda watu wachache kwa kivuli cha CCM kama kweli wewe ni mtu wa haki kwa nini hutaki TUME HURU unaficha nini kama tutaendelea kulinda Mafisadi baada ya kulinda nchi tutajikuta pambaya
 
Kweli kabisa mkuu watu wameichoka ccm, mabadiliko ni muhimu sana
 
Mpumbavu kweli wewe, sisi wananchi wa kusini (wenye asili orijino kabisa wa ukombozi wa nchi hii) tunasema hao viongozi wapandishwe vyeo kwa kumdhibiti huyo kibaraka.
Wewe utakuwa sehemu ya machawa hatari kwa nchi
 
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.

Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.

Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.

Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Hii nchi ni ya wanaccm tu, ukiona picha ya rais imewekwa kwenye bendera ya taifa ujue huyo ndiye mwenye nchi.
 
Tanzania tungekuwa ni moja ya nchi zenye sifa kubwa duniani kama hao maraisi wahalifu waislamu wasinge shika nchi....ni ngumu muislamu kuwa MZALENDO KWA TAIFA
Mtu hahukumowi kwa dini yake Bali kwa matendo yake.hapa kamanda umeenda kombo kabisa maoni yako
 
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.

Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.

Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.

Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Wamuokoe rais na nini?
 
Mtu hahukumowi kwa dini yake Bali kwa matendo yake.hapa kamanda umeenda kombo kabisa maoni yako
Experience make perfect....unajua maana yake ...Muslim primitive is useless 😕
 
Waziri wa mambo ya ndani hajulikani kama waziri yupo yupo tu hii wizara haiwezi bashugwa aondolewe
 
Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri !
Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini.

Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana!
Njia ya kumsaidia ni kufukuza kazi HAWA IGP, RPC mkoa wa Ruvuma na waziri wa mambo ya ndani.

Then wamwachie Lisu , mkae mezani mzungumze juu ya Reforms ya tume ya uchaguzi. Mama samia atapumua maana saizi presha itakuwa imepanda sana.

Hii nchi ni yetu sote, Mungu ibariki Tanzania , msaidie Rais Samia afanye mamuzi yenye hekima na busara juu ya ya taifa letu pendwa la Tanzania. By mwinjilist wenu Gabeji.
Afukuzwe yeye...
 
Watu wa rais uwezo mdogo sana wanajua kula tu pesa zake
Ni yale machawa yenye matumbo makubwa kama jaba.
Wakilala usiku ni kujamba tuu badala ya kumshauri huyu mwabamke dhaifu.
 
Hata hivyo mifumo ya ccm ni muhimu sana kuongoza nchi, wenye ccm wanakupangia cha kufanya, wamemwonea sana mama yetu, kila siku wanampa vimemo nn cha kufanya
 
Back
Top Bottom