kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. Jamaa kutoka kahama katisha Sana na huu wimbo

    Jamaa ana ujumbe mzuri sana, Japo kachanganya na kilugha huu wimbo ni elimu tosha. Sema tu binadamu wagumu. Kuelewa.
  2. D

    Natafuta kazi KAHAMA

    Ndugu zangu nipo Kahama hapa mambo yameniendea ovyo kabisa. Nimepoteza mtaji wote katika biashara za kimachinga sina hata nauli ya kurudi Mbeya nilipotoka kuja hapa KAHAMA. Natafuta kazi yoyote ya halali hapa KAHAMA, niifanye kwa miezi miwili hii, mpaka mwezi wa pili ili angalau nipate nauli...
  3. J

    Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  4. J

    Basi zuri la kwenda Kahama

    Nataka niende Kahama. (1) Natamani kujua, kwa mabasi yanayofanya safari zake Dar - Kahama, ni basi gani zuri? (Yaani sio bovu) Maana kuna kampuni zinalalamikiwa mabasi yao mabovu hasa kwa njia zetu tulizozizoea za Dar - Ruvuma, sasa kwa Dar - Kahama kampuni gani ina mabasi mazuri (ntashkuru...
  5. Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake Ahsante
  6. P

    Kati ya Kahama na Morogoro wapi panafaa kuishi kwa mtu anayeanza maisha?

    Habari wana jukwaa, Naomba kwa mwenye uzoefu na hizi manispaa mbili, Kahama na Morogoro, wapi panafaa kuishi kwa mtu anaeanza maisha mwenye kipato cha kati? Yaani mtumishi wa serikali.
  7. Kahama: Mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto 10

    Kahama Shinyanga mwalimu wa Madrasa amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kulawiti watoto wadogo wa kiume 10 aliokua anawafundisha kwenye msikiti.
  8. Warehouse Operator Kahama at Sandvik

    Location Tanzania, Kahama, Tanzania Sandvik is a high-tech and global engineering group offering products and services that enhance customer productivity, profitability and sustainability. We hold world-leading positions in selected areas – tools and tooling systems for metal cutting...
  9. J

    KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  10. TANZIA Kahama: Watu 19 wafariki dunia kwenye ajali inayohusisha trekta, hiace na lorry!

    Ni usiku (saa nne) wa kuamkia leo Agosti 9, 2022. Gari ndogo IST inatokea Kahama, inaelekea Tinde. ikaparamia trekta lililokua mbele limejaza kuni halafu halina taa za nyuma wala reflector. Watu watatu wakafa kwenye IST! Dereva wa Trekta akakimbia! Wakati uokoaji unaendelea, ikaja Hiace iko...
  11. Serikali mbona mna huruma wakati biashara za utapeli zinafanyika kwenye majengo yenu hapa Kahama

    Narudia tena kueleza haya yaliyopo Kahama japo nilishakuwa mwizi nikakoswa koswa ila huu wizi kama Serikali mnatoa baraka mkisubiri vilio ndio mjifanye kutoa pole. Hapa Kahama kuna hii kampuni sijui Alliance tena imekodi jengo la NSSF na humo ndani kuna TRA na NSSF na pia ikitazamana na...
  12. Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

    Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo. Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama...
  13. Global Alliance inauharibu mji wa Kahama

    Wakuu habari Global alliance wamepanga ktk jengo la NSSF umbali wa mita 100 kutoka yalipo makao makuu ya manispaa Vijana wengi kutoka Wilaya zinazopakana na Kahama wenye umri kati ya miaka 16 hadi 29 wamekuwa wakitolewa maeneo mbali mbali na kupelekwa kahama kisha kupangishiwa chumba, chumba...
  14. Kati ya Kahama na Katoro ni mji gani unafaa zaidi kwa biashara ya Juice Bar

    Wakuu, habari zenu, Samahan mimi nipo Mwanza nina juice bar naona hapa biashara kidogo imekua ngumu nawaza kuhamia mji mmoja kati ya Katoro au Kahama, Naombeni ushauri kwa wenyeji wapi panafaa zaidi kwa biashara hyo na urahisi wa kupata eneo na matunda, pia aina ya watu sehemu izo, ASANTENI
  15. Nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya

    Wale mnaoishi Kahama na viunga vyake naombeni msaada wa maoni yenu, nina mtaji wa milioni 1 naombeni kufahamishwa biashara ya kufanya ili na mimi niweze kuishi mjini vizuri. Natanguliza shukrani
  16. Natafuta kazi ya Mtekinolojia Maabara, nipo Kahama

    Wasifu: Mimi kijana mwenye umri wa miaka 23 kwa sasa nipo kahama. Ni mtaalam wa maabara ngazi ya Diploma na nimehitimu masomo mwaka 2020, Ni mtaalam nilie sajiliwa na Baraza la maabara Tanzanian. Nyaraka nilizonazo; Form IV certificate Nacte certificate Nacte Transcript Cheti Cha leseni...
  17. Wenyeji wa Kahama

    Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza. Naomba kufahamishwa maeneo mazuri pa kulala na bei rafiki pia maeneo kwenye vivutio vya Kahama ili netembee pia, Pamoja na Club au Night club ilio changamka...
  18. TRA Kahama Wababaishaji sana

    Habari za leo wanaJukwaa. Leo nimeenda tangu saa 2 Asubuhi Ofisi yaTRA Kahama kwaajili ya Makadirio ya Mapato. Hadi sasa saa 7 sijapata huduma yoyote. Wafanyakazi wa TRA wanapita pita tu bila msaada wa aina yoyote. Kwa namna hii ndio maana tunahamasika kukwepa kodi. TRA.
  19. Kwa hali ya sasa ungewekeza wapi -Dodoma, Katoro au Kahama?

    Yes wakuu, Ni mwaka mwingine huooo, its always about kupambana na maisha na kutafuta ugali pale palipo na unga mwingi. Naongelea penye kasi kubwa ya ukuaji, nguvu ya manunuzi inayoongezeka maradufu na mzunguko wa pesa unao impress. Recently hii miji imetajwa inayokuwa kwa kasi..Dom, Katoro...
  20. Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

    Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na hawezi kuongea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…